The Egyptian Army Speaks........

Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,138
1,117
Egyptian Army to the Egyptian people:

...........
In its statement, carried on Egyptian media, the military said: "To the great people of Egypt, your armed forces, acknowledging the legitimate rights of the people... have not and will not use force against the Egyptian people."

Source BBC
 
Inachukua miaka mingi somo hili kuingia vichwani mwa askari wetu....viva Egyptian Army
 
Askari wetu ni maroboti na wanapewa vyeo kwa favour wakati Egypt wanastahili na wanajua wajibu wao na jeshi lao ni la 10 kwa ubora duniani kwa mjibu wa BBC News
 
In its statement, carried on Egyptian media, the military said: "To the great people of Egypt, your armed forces, acknowledging the legitimate rights of the people... have not and will not use force against the Egyptian people."

Inachukua miaka mingi somo hili kuingia vichwani mwa askari wetu....viva Egyptian Army
IGP Mwema, UWT, na JWTZ yetu chini ya kiongozi wetu Denis Mwamnyange mpo mpaka hapo.

Raia tunapolalamikia mambo mbambali ya nchi yetu na hata kufikia mahala tukasukumana, kamwe haiwapi a disciplined professional force in uniform or plaincloth haki ya kutuona raia wenzenu maadui na kuingiza ushabiki wa kupenda kwenu binafsi itikadi fulani fulani kutugonganisha.

Hapo ndipo uzalendo wa dhati unapojiibua yenyewe tu na kumea kama maua mazuri porini kipindi cha mvua kubwa na jeshi husika kupata heshima kubwa na ushirikiano mbele ya macho ya jamii yake.

Nchini Misri ilikua ni utamaduni wa aina yake kuona askari anapotimiza wajibu wake KIKATIBA kumlinda Bosi wake (Mlipakodi) hata pale ambapo ni wazi bosi kachukia hakuna mfano wake.

Hapa kweku majeshi yetu hawatambui kwamba sisi ndio mabosi na watu kma Mubarak au Kikwete ni watumishi wetu tu. Si ajabu hapa kwetu Bosi lazima tungeuaua kama kule Arusha na mtumishi wetu namba moja (Kikwete) na timu yake wakalindwa!!

Jamani kila mara tuwe tunajikumbusha wajibu wetu, kutambua washikadau wetu wote na jinsi gani KATIBA inavyotuelekeza kuhusiana naye katika sura mbalimbali; tuache kufanya tu kazi kwa mazoea.

Jeshi la Misri heko, Polisi wao warudi shule baada ya kupata aibu ya mwaka mbele ya macho ya ulimwengu.
 
Umenena!
 
Egyptian Army to the Egyptian people:

...........
In its statement, carried on Egyptian media, the military said: "To the great people of Egypt, your armed forces, acknowledging the legitimate rights of the people... have not and will not use force against the Egyptian people."

Source BBC

Hilo ndiyo jeshi la wananchi. Siyo hapa bongo ambapo kuna jeshi la viongozi.
 
Kwetu itachukua muda ukizingatia kwamba uaskari unachukuliwa kuwa kazi ya wababe, wasioshirisha akili na waliofeli. To hell with this awckward thinking and viva egypt
 
Sijui kama askari wetu na wanajeshi huwa wanatazama hizo BBC au CNN na stesheni zingine mahiri kwa habari zaidi ya kuwa busy kufuata maagizo ya mabosi zao
 
In its statement, carried on Egyptian media, the military said: "To the great people of Egypt, your armed forces, acknowledging the legitimate rights of the people... have not and will not use force against the Egyptian people."

Inachukua miaka mingi somo hili kuingia vichwani mwa askari wetu....viva Egyptian Army
It will take forever
 
Viongozi wetu ni wavivu hata wa kusoma katiba yetu, ingawa ni mbovu mbovu kwa sasa lakini ina maneno machache yenye busara, kama... Kila mamlaka ndani ya nchi yatatokana na wananchi...., haya matumizi mabaya ya vyombo vyetu vya dola dhidi ya wananchi ni ujinga, ulimbukeni, ukosefu wa busara na kufilisika kisiasa.

Huwezi kutumia majeshi ya ulinzi wa nchi kuwauwa raia wa nchi wasio na hatia ambao ndio uliotakiwa kuwalinda. Hii ni sawasawa na kuwaua kondoo unaowachunga kwa mishale. Hongera jeshi la Misri.
 
Back
Top Bottom