The doubts of love

Usinitanieee!
Hata kama ni mvuto sa ndo wananing'inia hadi madirishani wanazuga network inasumbua, ilimradi nisikie sauti mara nikipita usiku wanapiga miluzi, "ksiiiii" sijisifii hata kidogo this is a sign of dangerous... ilimradi yangu masikio yangu macho.

hahahaaaa, hizo ksii ksii wanapigiana mashetani wala hazikuhusu.

Una ugonjwa wa kujishtukia.
 
hahahaaaa, hizo ksii ksii wanapigiana mashetani wala hazikuhusu.

Una ugonjwa wa kujishtukia.

usinitanie bwana hawa mi huwa nawasoma na nilichogundua ni kuwa wanapiga hizo ksii ksii wanipime ninachojua sijawahi kugeuka ila nilichokuwa nahitaji nikujua tu mwanamke kunifatilia mimi kiasi hicho lengo kubwa huwa nini?
 
Kujua lengo lake tutajuaje kama hatuko mawazoni mwake?Sema tu ulitaka tujue na wewe unapigiwa miruzi mtaani kwenu sijui!
 
Kujua lengo lake tutajuaje kama hatuko mawazoni mwake?Sema tu ulitaka tujue na wewe unapigiwa miruzi mtaani kwenu sijui!

Usinitanie...! Vyakula vya mjini bila viungo huwa havivutii. Unakuwa mbishi tuuu! Sa ningeeleza vipi ili uweze kutoa ushauri sahihi kama yote hayo ni kutegwa au kusanifiana?
 
Back
Top Bottom