The Declaration of Resolve: We will defeat you!

Eveyone who is against Tanzania Development is touchable..we shouldnt worry. We have a vey strong and long hand if we stay together, we are about to write the new chapter of Tanzania History which have never written before.

Hata wakati mababu zetu wanapigana na wakoloni kulikuwa na wazalendo wengi tu waliokuwa upande wa mkoloni, just to let them know it is a high time we are about to do it again , we are about to rewrite the history again, the time when we said enough to UFISADI
 
not in a long shot.... "we will defeat you" is not Obama's creation! it is semantics of the past.. may some have just heard it from Obama! "we will expose you" Obama never said that, "

Mkuu u sahihi kabisa. Ila hotuba yako yote imekaa Kiobama. Badili lafudhi.
 
Mkuu u sahihi kabisa. Ila hotuba yako yote imekaa Kiobama. Badili lafudhi.

labda Obama abadili ya kwake, ninavyoandika sasa ndivyo ninavyoandika kwa miaka zaidi ya kumi sasa, misimamo yangu ni ile ile. Obama kaja hivi karibuni na watu wanaharibiwa na yeye. Siwezi kumuiga Obama even unconsciously. Ninaamini katika nguvu ya maneno.

NI sawa na watu wanaoamini kuwa niko Upande wa Mengi kuliko kufikiri kuwa Mengi yuko upande wangu! Au wanaofikiri kuwa niko upande wa Mwakyembe au Dr. Slaa kuliko kufikiri wao wako upande wangu. Sababu wao ni watu mashuhuri ambao yawezekana ninawaiga.

Unfortunately, I have been on the same side for the past 10 or so years na ninachosema sasa nimeanza kukisema toka Nyenzi, YA, BCS hadi leo; hawa wamekuja wamenikuta na wakiacha wataniacha nilipo.

just putting things in perspective.. naruka kwa mbawa zangu..
 
Sio suala la kilichosemwa tu. Bali ni suala la kilivyosemwa. Ni vyema awe na staili yake ya kusema.

No. Labda wewe ni mmoja wa wale ambao huchenguliwa sana na Obama hadi kufikia kuzimia. Inawezekana Obama amekuingia sana kiasi kwamba hata ukisoma maandiko ya watu wengine unakuwa unam-picture Obama kama ndiye anasoma hicho unachokisoma wewe!

Unajua unaposoma kitu kichwani mwako unakuwa unasikia sauti fulani ikisoma hicho kitu na wewe na suspect unaposoma vitu unakuwa unasikia sauti ya Obama kwa sababu unampenda sana. Mimi sijaona chochote hapo alichoandika Mwanakijiji kuwa kama anamuigiza Obama. Ungeniambia labda Nyerere hapo ningeweza kukubaliana nawe...Lol
 
Can you revisit and Paraphrase your words in plain Swahili.

"Though it is a thin line between natural pride of heritage and illusions bound for almost Aryan-like "country supremacy", I choose to carefully tread it, on the side of anti-patriotism, at least in the divisive "We shall defeat you" almost evangelical exorcism, if not medieval crusade, presented here."

I real want to know because, In myopic translation you sound as if you are demanding that, we dont have right to challenge the authority leave alone telling it that we will go agains it and defeat it.Are these people God chosen?
If they are why they had to use a help of EPA and not mercy of GOD??

The whole of the ruling class, including balozi wa nyumba 10 za CCM, are replaceable because they are not decendants of royal families, even if they were they are still replaceable.
It also sounds as if you caught some phrases from Bible that insit every individual to adhere to the authority we have because it is from God?!!!!
If that is the case, then my Big Question, how their authority came into being???
Didi they get it straight from HIM??
Did they, in particular time in the past, challenged, pushed to the limit and defeated other authorities??
Did God send them to challenge the authority?

After all, even royal families who rule and demend to be honored no matter what,spilled blood of many other opponent royal families and their followers to remain the only thug on the Throne.

Can you paraphrase yor words for the sake of UPEs?? Please.
 
Can you revisit and Paraphrase your words in plain Swahili.

"Though it is a thin line between natural pride of heritage and illusions bound for almost Aryan-like "country supremacy", I choose to carefully tread it, on the side of anti-patriotism, at least in the divisive "We shall defeat you" almost evangelical exorcism, if not medieval crusade, presented here."

I real want to know because, In myopic translation you sound as if you are demanding that, we dont have right to challenge the authority leave alone telling it that we will go agains it and defeat it.The whole of the ruling class, including balozi wa nyumba 10 za CCM, are replaceable because they are not decendants of royal families. It also sounds as if you caught some phrases from Bible that insit every individual to adhere to the authority we have because it is from God?!!!!
If that is the case, then my Big Question is this authority came into being???
Didi they get it straight from HIM??
Did they, in particular time in the past, challenged, pushed to the limit and defeated other authorities??
Did God send them to challenge the authority?

After all, even royal families who rule and demend to hounered no matter what,spilled blood of many other opponent royal families and their followers to remain the only thug on the Throne.

CAn you paraphrase yor words for sake of UPEs?? Please.

Mkuu Madela,

Nilichosema hapo, ni kwamba, kwa kutumia minajili ya utaifa, mataifa huuzwa. Kauli za uzalendo na utaifa zisizo na mipango ya kutuweka sawa tujue itikadi na jinsi gani tutashinda vita hii inakuwa haina tofauti na kutuuzia mbuzi kwenye gunia, hatujui kama ni kanyaboya au ndio kitu kweli.Siku hizi kuna ufisadi hata katika kupambana na ufisadi, kwa hiyo inabidi tuwe makini tujue details za wito huu zikoje?

Muandishi anaposema "tuna" au "tuta" anawaongelea kina nani? Amepewa ruhusa yao? Anawakilisha mawazo yao? Au amejisikia kuwashwa kuandika tu akaamua kuandika vitu kutoka kichwani kama anavyoandika hekaya zake?

Hii "nchi yetu" anayoizungumzia ni nchi gani? Je ni Tanzania? au Tanganyika? maana kuna wengine hawataki Tanzania wanataka Tanganyika, kuna wengine hawataki Tanganyika wanataka Tanzania, wengine hawazitaki zote mbili wanataka East African Federation.Huu ni mfano tu wa kuonyesha kwamba hii miito iliyojaa kaulimbiu zisizojishikiza katika uwazi, na zilizojaa ubunifu wa kutumia maneno, zinaweza kuwa propaganda za kuamsha hisia zaidi kuliko za kuleta uelewa na kutaka kujenga hoja za msingi zinazoweza kutumika katika vita dhidi ya ufisadi.

Hayo maneno uliyoyakazia hapo juu, ingawa mimi si mkalimani mzuri, nasema, ingawa naelewa kwamba mstari unaotenganisha kujivunia asili ya mtu na maruweruwe yendayo kwenye utaifa unaokaribia u-Aryan wa kudai "nchi yangu ndiyo ya kwanza" ni mwembamba sana, nachagua kuupitia kwa uangalifu mkubwa, kwenye upande wa kupinga uzalendo, angalau kwa maana ile ya kugawanya ya "tutakushinda" kama vile walokole wanavyotoa mapepo, kama sio vita vya kidini vya kale, iliyoletwa hapa.

Nina hakika translation imeharibu zaidi badala ya kusaidia, if not in Russian Dostroyevsky is never the same.

Mimi sikatai hii vita dhidi ya mafisadi, ninachokataa ni haya mahubiri yaliyojaa cliche bila kuleta arguments na positions.Mahubiri kama haya yanafaa kuwachota watu hisia bila kukubaliana mnafanya nini, vipi, wapi, kwa kufuata mfumo gani, kwa wakati gani na kwa kutumia mkakati gani yataturudisha hapa bodini kila siku, wakati mafisadi wanafanya vitu vyao.

Ndiyo maana nayakataa mahubiri haya, nayaona kama hekaya za Mwanakijiji tu, tofauti ni kwamba kaacha kuongelea romance na kabadilisha tune kaweka siasa, lakini ukiangalia practicality unaona haipo.Hamna plan, hamna strategy, hamna organization, hamna plan B, hamna intellectual engagement, hamna facts, hamna figures, hamna timeline, ni story juu ya story juu ya story tu.

Na usiseme mimi nina mpango gani, hata kama mpango wangu ni kuikosoa mipango isiyo mipango na hivyo kuiboresha huu ni mpango murua tu.

Lazima tuwe na quality assesment miongoni mwetu kabla ya kuenda kuwavaa mafisadi.Vinginevyo itakuwa kama Rostam na waandishi wa habari wa kibongo katika press conference yake, aibu.
 
Last edited:
A disease is not necessarily a malaise. Many intellectuals were infected, are still being infected and will continue to be infected with 'the disease' or rather the homeopathic medicine you term 'nationalism'.

Without nationalism, intellectualism is nothing but a canopy of a forest whose trunks are not supported by deeply embedded roots. Without nationalism, intellectualism is like a foam that can easily be washed away (or rather be brainwashed).

Without a variety of nations with intellectuals cum nationalists, the world would not only be boring and monotonous, but would be in danger. Each nation indeed has an obligation to defend, and protect herself from this virus called boredom in favour of cultural and social mosaic.

To the contrary,

Without nationalism and its selfish core ideals, almost all the wars, arms races, trade enmity and petty clashes of this world, not to mention economic grievances, would cease to be.

From the cup of nationalism flows the fullnes of pestilence and hunger as one nation fight another, spoil produce for price control, hoards, maim and what have you.

Why, forget about George W. Bush and the Iraq War, one only has to look at EPA and see what the guise of "nationalism" and "national security" can do to blunt the pangs of grand corruption.

And this is the same vehicle you want me to use to fight corruption, how "politician-like" of you guys!

Almost suspiciously benevolent!
 
Thanks Mwanakijiji. You can count on us. I read most of your articles with tears on my eyes. Do not pay attention with Bluray and his like with their vain intellectualism. I think he belongs the class profiting with this looting of our nation. You can not twist history and try to liken every patriotic cause to the great dictatorship in mankind . This is intellectual diarrhoea. They can only commit this crime those who are saturated with the loot they gain from our nation's wealth. Is everyone, who hates mafisadi and agitates for patriotic love of his country another Hitler? or Musolini? This is nonsense. I am sorry, but am also angry .
 
Mkuu Madela,

Nilichosema hapo, ni kwamba, kwa kutumia minajili ya utaifa, mataifa huuzwa. Kauli za uzalendo na utaifa zisizo na mipango ya kutuweka sawa tujue itikadi na jinsi gani tutashinda vita hii inakuwa haina tofauti na kutuuzia mbuzi kwenye gunia, hatujui kama ni kanyaboya au ndio kitu kweli.Siku hizi kuna ufisadi hata katika kupambana na ufisadi, kwa hiyo inabidi tuwe makini tujue details za wito huu zikoje?

Muandishi anaposema "tuna" au "tuta" anawaongelea kina nani? Amepewa ruhusa yao? Anawakilisha mawazo yao? Au amejisikia kuwashwa kuandika tu akaamua kuandika vitu kutoka kichwani kama anavyoandika hekaya zake?

Hii "nchi yetu" anayoizungumzia ni nchi gani? Je ni Tanzania? au Tanganyika? maana kuna wengine hawataki Tanzania wanataka Tanganyika, kuna wengine hawataki Tanganyika wanataka Tanzania, wengine hawazitaki zote mbili wanataka East African Federation.Huu ni mfano tu wa kuonyesha kwamba hii miito iliyojaa kaulimbiu zisizojishikiza katika uwazi, na zilizojaa ubunifu wa kutumia maneno, zinaweza kuwa propaganda za kuamsha hisia zaidi kuliko za kuleta uelewa na kutaka kujenga hoja za msingi zinazoweza kutumika katika vita dhidi ya ufisadi.

Hayo maneno uliyoyakazia hapo juu, ingawa mimi si mkalimani mzuri, nasema, ingawa naelewa kwamba mstari unaotenganisha kujivunia asili ya mtu na maruweruwe yendayo kwenye utaifa unaokaribia u-Aryan wa kudai "nchi yangu ndiyo ya kwanza" ni mwembamba sana, nachagua kuupitia kwa uangalifu mkubwa, kwenye upande wa kupinga uzalendo, angalau kwa maana ile ya kugawanya ya "tutakushinda" kama vile walokole wanavyotoa mapepo, kama sio vita vya kidini vya kale, iliyoletwa hapa.

Nina hakika translation imeharibu zaidi badala ya kusaidia, if not in Russian Dostroyevsky is never the same.

Mimi sikatai hii vita dhidi ya mafisadi, ninachokataa ni haya mahubiri yaliyojaa cliche bila kuleta arguments na positions.Mahubiri kama haya yanafaa kuwachota watu hisia bila kukubaliana mnafanya nini, vipi, wapi, kwa kufuata mfumo gani, kwa wakati gani na kwa kutumia mkakati gani yataturudisha hapa bodini kila siku, wakati mafisadi wanafanya vitu vyao.

Ndiyo maana nayakataa mahubiri haya, nayaona kama hekaya za Mwanakijiji tu, tofauti ni kwamba kaacha kuongelea romance na kabadilisha tune kaweka siasa, lakini ukiangalia practicality unaona haipo.Hamna plan, hamna strategy, hamna organization, hamna plan B, hamna intellectual engagement, hamna facts, hamna figures, hamna timeline, ni story juu ya story juu ya story tu.

Na usiseme mimi nina mpango gani, hata kama mpango wangu ni kuikosoa mipango isiyo mipango na hivyo kuiboresha huu ni mpango murua tu.

Lazima tuwe na quality assesment miongoni mwetu kabla ya kuenda kuwavaa mafisadi.Vinginevyo itakuwa kama Rostam na waandishi wa habari wa kibongo katika press conference yake, aibu.

Inawezekana ni kweli una point ya maana.Mzee MM ameweka wazi kwamba tutawapinga na kuwaonyofoa kutoka kwenye viti vyao, usemi ambao hauna panga wala tusi ndani yake.Wewe unasema tukiwapa Lecture ya nguvu tutashinda, wenzetu hawatoiu lecture yoyote wanafanya kwa vitendo, zaidi wanasmbaza vitisho vya chini kwa chini na wakati mwingine hadharani."Usipojiunga na CCM huwezi fanya biashara ukapata Faida"sijui huko CCM wanatoa mikopo au ushauri wa kibiashara??"Kila mtu atabeba msalaba wake"Wakati yakwao bado tunabeba sisiHayo ni maneno ya mmoja wa waliowahi kuwa mawziri wakuu wa CCM TanzaniaSasa MH frame work yako au approach yako dhidi ya Ufisadi wa wazi unaendelea Tanzania utaiimarisha kwenye frame work ipi?Unaweza kutupa dokezo ili tujue?Kwenye uzalendo humo kwani uzalendo wakati mwingi unazaa udikiteta na ufashisti, kwenye kupinga humo kwa sababu kupinga kunaweza leta mvurugano usio wa lazima. Kuunga mkono mafisadi humo kwani unajua fika ufisadi si jambo la kujivunia.Utaqwezaje kupambana na watu wenye nguvu nyingi sana za kiuchumi kisiasa na kiutamaduni pia walio majambazi wa Kimafia na wanaotettewa na vyombo vyote vya serikali na wapambe wao waliofaidika na Ufisadi, bila kutangaza Azimio la kuwapinga na kuwaondolea mbali?Ukitunza na kulea vizuri mimba ya Ufisadi atazaliwa nabii wa kuwakomboa wana Tanzania kutoka katika utumwa wa mafisadi wachache????
 
Maazimio tumeyasikia sana, kutoka ya Musoma, Arusha mpaka Iringa, na bado tuna umasikini.Tushaazimia sana mpaka tunazimia, sasa ni wakati tuweke kati mkakati na timeline.Mpaka 2010 tuwe na hiki, kwa kufanya hivi na hivi, 2015 tufike hapa (hiyo "tu" yenyewe inabidi iwe well defined).

Inabidi tuwe chama cha siasa, pressure group au tuki support chama fulani cha siasa.

Lakini mimi kama kawaida, organisation yangu iko katika dis-organization, kama alivyosema Max Groucho chama kitakachonikubali mtu kama mimi sintakikubali.
 
The walk should begin now, not a walk few people should take, it is a walk and a risk worth taking before the nation goes into extinction!!!
 
While reading MMKJ post i couldn't help but think of the 2010 elections
and recall MalcolmX's "The Ballot or the Bullet" speech.

I would like to insert some excerpts from the speech and some comments
that i feel fits the heat of the moment.

- We can not disregard the politics in country/community OR question our involvement.
The reasoning bellow couldn't be put any better.

"We must understand the politics of our community and we must know what politics
is supposed to produce. We must know what part politics play in our lives. And until we become
politically mature we will always be mislead, lead astray, or deceived or maneuvered into
supporting someone politically who doesn't have the good of our community at heart."

-Since we are interested in re-bulding our nation and nationalism, the excerpt bellow
is ready for chewing, just replace "black nationalism" with "TZ nationalism" to put it into context.

"the political philosophy of Black Nationalism only means that we will have to carry on a program,
a political program, of re-education to open our peoples eyes, make us become more politically conscious,
politically mature, and then we will -- whenever we get ready to cast our ballot that ballot,
will be cast for a man of the community who has the good of the community of heart"

-i know JF has been pretty good at this.

But we can not just talk or sing. We have to act!

"This is part of what's wrong with you -- you do too much singing.
Today it's time to stop singing and start swinging. You can't sing up on freedom,
but you can swing up on some freedom. Cassius Clay can sing, but singing didn't help
him to become the heavy-weight champion of the world -- swinging helped him become the heavy-weight champion."

- above all, we have got to start by defining what we whant to achieve, that will become our philosophy.

bse,

"Once you change your philosophy, you change your thought pattern. Once you change your thought pattern, you change your -- your attitude. Once you change your attitude, it changes your behavior pattern and then
you go on into some action. As long as you gotta sit-down philosophy, you'll have a sit-down thought pattern, and as long as you think that old sit-down thought you'll be in some kind of sit-down action. They'll have you sitting in everywhere. It's not so good to refer to what you're going to do as a sit-in. That right there castrates you. Right there it brings you down. What -- What goes with it? What -- Think of the image of someone sitting. An old woman can sit. An old man can sit. A chump can sit. A coward can sit. Anything can sit. Well you and I been sitting long enough, and it's time today for us to start doing some standing, and some fighting to back that up."

Yu can read the full text at:

Malcolm X - Speeches - The Ballot or the Bullet
 
Maazimio tumeyasikia sana, kutoka ya Musoma, Arusha mpaka Iringa, na bado tuna umasikini.Tushaazimia sana mpaka tunazimia, sasa ni wakati tuweke kati mkakati na timeline.Mpaka 2010 tuwe na hiki, kwa kufanya hivi na hivi, 2015 tufike hapa (hiyo "tu" yenyewe inabidi iwe well defined).

Inabidi tuwe chama cha siasa, pressure group au tuki support chama fulani cha siasa.

Lakini mimi kama kawaida, organisation yangu iko katika dis-organization, kama alivyosema Max Groucho chama kitakachonikubali mtu kama mimi sintakikubali.

Kama nakuelewa vema tafsiri ya maneno yako ni kwamba wewe ni mtu wa kudadisi mpaka dakika ya mwisho, atakaye shinda ndiye utakaye fungamana naye.Ili mradi sasas hivi mshindi yuko kwenye throne yake , kuna faida gani kumpa moyo na faida mpiga kelele??Siasa ni kilimo lakini kifaa cha kulimia ni kile alichogundua NUHU baada ya kuanza upya maisha kutoka kwenye melikebu.Kifaa hicho nisichoweza ktaja jina bado kinatukuzwa na kuheshimiwa sana na viongozi wa CCM kwa sababu kimesaidia sana kuimarisha utawala wao kuwafanya wanchi wanyonge na wenye njaa.Lakini hujatwambia kitu kimoja nacho ni, maazimio yote uloyataja yalikuwa ni mmawazo ya mtu mmoja na wapambe wake. Watanzania asilimia 99.9%hawakuhusika na uzaliwaji wa maazimio yote iliuyoyataja.Hapa JF tunamwaga mawazo yetu mchana kweupe ili yakikomaa liwe Azimio la wengi na la pamoja, hakuna zaidi.Wazo letu la kukomalia mafisadi na kila aliye nyuma ya mafisadi hao, lipo pale pale kwa sababu limekosa mpinzani mwenye uwezo wa kulipoinga kwa hoja zenye uzito.
 
No. Labda wewe ni mmoja wa wale ambao huchenguliwa sana na Obama hadi kufikia kuzimia. Inawezekana Obama amekuingia sana kiasi kwamba hata ukisoma maandiko ya watu wengine unakuwa unam-picture Obama kama ndiye anasoma hicho unachokisoma wewe!

Unajua unaposoma kitu kichwani mwako unakuwa unasikia sauti fulani ikisoma hicho kitu na wewe na suspect unaposoma vitu unakuwa unasikia sauti ya Obama kwa sababu unampenda sana. Mimi sijaona chochote hapo alichoandika Mwanakijiji kuwa kama anamuigiza Obama. Ungeniambia labda Nyerere hapo ningeweza kukubaliana nawe...Lol

Mwanakijiji nimeanza kumsoma kabla hata sijamfahamu wala kumsikia au kumsoma Obama. Hakuwa anaandika hivi. Ndio maana nilipoisoma hii hotuba yake nikashtuka sana maana huwa sipendi kuona watu mahiri wakiiga wakati wana uwezo wa asili wa kuwa na staili yao wenyewe yenye mvuto. Acha longolongo hapo hakuna Unyerere kabisa, ungekuwepo tungesikia mambo ya nia tunayo, uwezo tunao na sababu tunayo ya kuung'oa ufisadi. Tuache kuiga la sivyo tutaishia kuliwa ili tule!
 
Back
Top Bottom