The Cycle of Cheaters!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
(BOSS to his SECRETARY):Jiandae,kesho tuna safari ya kikazi!>>>> (SECRETARY to her HUSBAND):Mume wangu,kesho nitasafiri na bosi kikazi!>>>>> (HUSBAND to his GIRLFRIEND):Kesho wife anasafiri,uwe huru kuja! (GIRLFRIEND to her STUDENT):Kesho usije shule,nimepata dharura!>>>>>>> (BOSS to his SECRETARY):Samahani,safari imeahirishwa,mwanangu kesho haendi shule,ninahitaji muda wa kukaa nae! (SECRETARY to her HUSBAND):Kesho nitakuwepo,safari imeahirishwa! (HUSBAND to her GIRLFRIEND):Kesho usije,huyu kenge ameahirisha safari! (GIRLFRIEND to her STUDENT):Kesho uje shule,nitakuwepo kama kawaida!.>>>> To be continued.......
 
Cycle hii ni tamu ikiliwa pamoja na ukimwi kwa kukaanga au mchemsho wa kaswende.. Inaseviwa ikiwa ya moto
 
Halafu samahani kwa poor grammar,i meant circle instead of cycle!
 
Mkuu cycle ni mzuri,ila kwenye hiyo cycle inaonekana mwanafunzi ni kama mdogo sana ila ndo mharibifu wa cycle nzima
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom