Tayari DRC na GOSS wameomba wawe wajumbe wasikilizaji wa EAC, Rwanda na Burundi hope they are included, lengo nikuwa na EAF itakayojumuisha Congo na Sudan ya kusini, wasiwasi wangu akina Joseph Koni wasijetoka Garamba na kuhamia kazimzumbwi na akina Nkunga wakahamia Burigi. Hawa watekaji magari wa Runzewe wametushinda, je hawa warloads?
Nadhani ingekuwa busara kufikiria kuunganisha Tanzania, Zambia, Msumbiji, malawi na Zimbambwe kuliko hii EAC. Kimsingi wananchi wakawaida wakotayari kuungana nasi hataleo, kikwazo ni matakwa tu ya kisiasa.