The Clintons, soon to be in the guinness book of records

Huu uliouonyesha hapa sio uungwana....bali umeonyesha wewe ni mjivuni.....kukosea ni udhaifu wetu wanadamu na kurekebishana au kukumbushana ni jukumu letu vile vle tulioyaona makosa hayo.....
Kama mtoa mada alijikwaa na wewe unafahamu ukweli juu ya hilo kwanini usionyeshe ukomavu kumuweka sawa na sio kuleta malumbano yasio na tija kwenye jukwaa....!!??

Ukubwa sio wingi wa miaka bali uwe chem chem ya busara na hekima na vijana wajivunie utu uzima wako.....

Ewe punguani, nnamuweka sawa kwa kuzuwa anakuja na kejeli halafu wewe hilo halioni?

Naona nawe ni katika wakurupukaji.
 
Mimi binafsi hata chombo cha moto kinachoendeshwa na mwanamke sipandi sembuse kuwa chini ya mwanamke...

Usikute watu kama wewe ndiyo mandondocha haswa.

Unanini zaidi cha kumshinda mwanamke?

Uwe mara ngapi chini ya mwanamke? Umekaa tumboni mwa mwanamke miezi 9 (kama hukuzaliwa njiti). Ukatolewa duniani kwa chini ya mwanamke, hujijuwi hujitambuwi. Ukalelewa na mwanamke miaka 13 (kama si wa bahati mbaya na ukatupwa kituo cha kulelea wasio na bahati).

Halafu leo unajidai eti huwi chini ya mwanamke!
 
Uwe mara ngapi chini ya mwanamke? Umekaa tumboni mwa mwanamke miezi 9 (kama hukuzaliwa njiti). Utatolewa duniani kwa chini ya mwanamke, hujijuwi hujitambuwi. Ukalelewa na mwanamke miaka 13 (kama si wa bahati mbaya na ukatupwa kituo cha kulelea wasio na bahati).

Mmmmm.... ndo maana cwezagi kubishana na mwanamke maana maneno yako /yake nimakali na yanachoma hatar.....
 
Usikute watu kama wewe ndiyo mandondocha haswa.

Unanini zaidi cha kumshinda mwanamke?

Uwe mara ngapi chini ya mwanamke? Umekaa tumboni mwa mwanamke miezi 9 (kama hukuzaliwa njiti). Utatolewa duniani kwa chini ya mwanamke, hujijuwi hujitambuwi. Ukalelewa na mwanamke miaka 13 (kama si wa bahati mbaya na ukatupwa kituo cha kulelea wasio na bahati).

Halafu leo unajidai eti huwi chini ya mwanamke!
Wanawake wenye akili finyu kama wewe ndio mnaofanya watu wahamaki nyinyi kupewa uongozi.....
 
Usikute watu kama wewe ndiyo mandondocha haswa.

Unanini zaidi cha kumshinda mwanamke?

Uwe mara ngapi chini ya mwanamke? Umekaa tumboni mwa mwanamke miezi 9 (kama hukuzaliwa njiti). Ukatolewa duniani kwa chini ya mwanamke, hujijuwi hujitambuwi. Ukalelewa na mwanamke miaka 13 (kama si wa bahati mbaya na ukatupwa kituo cha kulelea wasio na bahati).

Halafu leo unajidai eti huwi chini ya mwanamke!
Unachokifanya ww ni sawa na kumlinganisha mke na mama yako au baba yako na mama yako. Nataka nikwambie kuwa kwa kila jambo kuna wakati wake! Mwanamke ana umuhimu wake kwa wakati wake na mwanamume ana umuhimu wake kwa wakati wake. Suala la wanadamu wote kulelewa ndani ya tumbo la mwanamke ni amri na wala si hiyari! Huwezi kugoma wala huwezi kuchagua wala si upendeleo wako binafsi bali ni amri ya Mola wako. Si suala la kujuvuna wala kujifakharisha hili. Mwanamke kapewa mamlaka ya ulezi na mwanaume kapewa mamlaka ya uongozi. Kwa imani yako bila shaka unaijua aya inayosema "wanaume ni viongozi wa wanawake" bishana na hiyo aya ikiwa kweli ww ni muumini.
Mm kwenye familia yangu nitahakikisha nabaki kuwa kiongozi wa familia yangu kama mwanamume siwezi kumpa nafasi mke wangu aniongoze ila nitampa nafasi kushauri. Hata ktk level ya taifa kuongozwa na mwanamke hainipendezi na ni moja ktk dalili za qiyama wanawake watakuwa wengi kuliko wanaume na watawaongoza wanaume
 
Asante ndugu kwa maelezo murua.....nadhani utakuwa umenipunguzia mzigo wa kumuelewesha huyu mwanamma anayebishana na ukweli.....
 
Na ndio maana dunia inakwenda mrama nyakati hizi......

Mwanamke hana hata sifa moja ya kuwa kiongozi....hata wa ngazi ya familia....leo anakuwaje kiongozi na kufanya maamuzi makubwa kwa niaba ya mamilioni ya watu.......

Hii ni laana kwa ulimwengu mzima....unawezaje kupokea amri kutoka kwa mtu anayekwenda mwezini kila mwezi.....!???
Mwanamke huyohuyo unaemdharau ndio amekuzaa na kukulea.
 
Unachokifanya ww ni sawa na kumlinganisha mke na mama yako au baba yako na mama yako. Nataka nikwambie kuwa kwa kila jambo kuna wakati wake! Mwanamke ana umuhimu wake kwa wakati wake na mwanamume ana umuhimu wake kwa wakati wake. Suala la wanadamu wote kulelewa ndani ya tumbo la mwanamke ni amri na wala si hiyari! Huwezi kugoma wala huwezi kuchagua wala si upendeleo wako binafsi bali ni amri ya Mola wako. Si suala la kujuvuna wala kujifakharisha hili. Mwanamke kapewa mamlaka ya ulezi na mwanaume kapewa mamlaka ya uongozi. Kwa imani yako bila shaka unaijua aya inayosema "wanaume ni viongozi wa wanawake" bishana na hiyo aya ikiwa kweli ww ni muumini.
Mm kwenye familia yangu nitahakikisha nabaki kuwa kiongozi wa familia yangu kama mwanamume siwezi kumpa nafasi mke wangu aniongoze ila nitampa nafasi kushauri. Hata ktk level ya taifa kuongozwa na mwanamke hainipendezi na ni moja ktk dalili za qiyama wanawake watakuwa wengi kuliko wanaume na watawaongoza wanaume

Wacha porojo ndefu.

Bila mwanamke usingejuwa hata kujisafisha mavi yako. Umelelewa na kuongozwa na mwanamke na wengi wenu hadi hii leo mnaongozwa na kulelewa na wanawake.

We are natural leaders.

Tena ukiona mwanamme anaejidai kutamba sana mbele za watu ujuwe huyo kwake ni ndondocha tu na pengine hata ma finger unapigwa na unabaki kuguna tu.

Kumbuka kuwa mwanamme siku zote atabaki kuwa mtumwa wa mwanamke tu, hata afanye nini.

We are the Queens by nature and not by chance.
 
Ni mtizamo tu, zangu zaweza kuwa porojo na zako pia zaweza kuwa porojo, inategemea unazungumza ktk muktadha upi. Ukisoma andiko langu linajieleza wazi kuwa kwa kila jambo kuna wakati wake. Kuna wakati wa kulea na kuna wakati wa kulelewa, kuna wakati wa kuongoza na kuna wakati wa kuongozwa, kuna wakati wa kucheka na kuna wakati wa kulia.
 
Hujalelewa na mama'ko?
 
FYI, haitatokea hata siku moja USA umarekani kutawaliwa na "ke" (female) kweli USA hupenda kutetea haki za wanawake right....!! Lakini ukija ktk utawala wao hupiga chenga za angani..... never mwanamke kuwa presida wa Unco Sam!! ref (historia)

Sky Eclat
afrodenzi
 
images

Sio muda mrefu familia hii itakua kwenye kitabu cha record za dunia, haijawahi kutokea kwa mume na mke kushika nafasi za urais wa nchini Marekani.
Sio rahisi kama mtazamo wako unavyoonyesha.Inaweza kutokea lakini naona Bi.Clinton upepo unamuendea vibaya ,jamii kubwa hawamuamini awali katika tafiti ilionyesha asilmia 60 ya waliohojiwa walikuwa hwamuamini katika tafiti ya karibuni hasa baada ya Mkuu wa FBI kuongea asilimia ya wasiomuamini imefikia 67,pia alikuwa anamuongoza Mpinzani wake kwa zaidi ya asilimia sita lakini sasa wako sawa katika kura za maoni huku Trump akimuongoza katika majimbo muhimu kama Florida .Uchaguzi wa Pence kama makamu pia umemuweka Trump sehemu nzuri kwa hiyo tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom