The Citizen: JK alilishinikiza Bunge kumpa Zitto ulaji

Kama huoni tatizo la bwana Zito wa Chama cha Upinzani kusaidiwa na Bwana Kikwete Mwenyekiti wa Chama Twawala basi bila shaka wewe ni mmoja wa watanzania wanaosababisha tuwe hapa tulipo. mgawo wa umeme, gharama za maisha kupnda na kdhalika. Kama huoni tatizo unaweza kuchukua hatua kweli?? Una tofauti gani na Mheshimiwa ambaye anasema haoni kwa nini WaTZ ni masikini?? Poor You.

your more than poor
kwani zito ni punguwani kama wewe? ni mtu msomi mwenye shahada yake mbunge tena imara mwenye mke msomi,sasa unavyotaka kumfanyia maamuzi zito juu ya kazi zake bado sikuelewi
kama zito mwenyewe haoni hilo na amekubaliana nalo wewe huwezi badilisha lolote lile
tumwache ziti afanya kazi achane propaganda za ajabu,acha kuwa na fikra mgando,nadhani elimu uliyonayo bado haija kukumbowa unafikilia mwisho wa vidole vyako
mbona mkapa alimpa kazi Lipumba ktk ile kamati ya watu saba wa kumshauri rais juu ya uchumi na mambo yalikwenda safi,sasa unataka kuniambia kuwa Lipumba hakustaili kupokea ama kuikubali hiyo nafasi?

acha mambo ya ushabiki ilimradi nawe uonekane ktk mstari,haya mambo hayajaanza leo bana ya watu wa upinzani kupewa nafasi na rais

your brain is like fish brain never think back even for the future
 
maelezo yta zitto yameficha mengi.....haiwezekani jk atoke huko aliko avute waya na amwambie pinda ''mpeni zitto''......kwa upepo wa wakati ule ni ngumu sana hii jk kuifanya na ccm wakakubali.......ccm walikuwa radhi kumpigia yeyote wa cuf lakini sio zitto....ndio maana tumeona hata arusha kimetokea nini juu ya umeya........kuna nini kati ya jk na zitto hadi jk amwamuru pinda kufanya juu chini ili zitto apate nafasi hiyo?.....

maelezo yako Mh.zitto yanaacha maswali mengi sana sio bure ......... i always think beyond the next meal
Nimejibu yale ninayoyajua juu ya suala hili. Nimetoa muhtasari wa matukio. Pinda aulizwe sasa kama ni kweli aliagizwa na Rais! Je alitumia jina la Rais ili kuweka nguvu hoja yake? Maana yeye ndiye aliyeongoza kikao cha caucus ya CCM na kusema msimchague Zitto bali mtu wa CUF. Yeye huyo huyo akaenda kuwaambia 'jamani eeh Rais amesema tumpe Zitto'
Mimi nimejibu yangu. Nimewaambia hata jinsi nilivyofanya kampeni. Regia Mtema ni mwana JF, mnaweza kumwuliza maana yeye ndiye alikuwa campaigner wangu!
Sasa majibu yangu yameficha nini?
 
Sina mahusiano yeyote na familia ya Jakaya Mrisho Kikwete.
Hoja hii ndio naisikia kwako. Kuna maneno yeyote kwamba Zitto ana mahusiano na Jakaya Kikwete?

Hoja hapa kaka ni Namna ya kuupata uenyekiti wa POAC huko mmhh, sio kawaida yangu waache waseme wenyewe. I just wanted to connect the dot as africanism will never end (Angalia psot #68). Kama ukiweza kufafanua will help.
 
the other day same person

Kwa kweli huwa nabaki mdomo wazi nikisoma post za huyu jamaa.

Acha tu wewe kama mimi!! ila naamini katika hii dunia kila kitu kinawezekana, watu kuweza kujitia uwenda wazimu.. huwezi kuamini kama aliyetuma post hizo ni mtu mmoja tena within a very short span of time!
 
Sina mahusiano yeyote na familia ya Jakaya Mrisho Kikwete.
Hoja hii ndio naisikia kwako. Kuna maneno yeyote kwamba Zitto ana mahusiano na Jakaya Kikwete?

kuna jamaa yako anaitwa weberoya aliwahi kuja na mada humu ndeefu na akatwambia una mahusiano na jk......lakini leo naona anasema wewe ni hero wake lkn siku ile alikukanyaga kweli.......

nimeisoma habari ile........inaonyesha zitto alipia simu kwa jk kuomba hiyo post...na jk alivyo akamdairekti pinda kuhakikisha dogo anapata hiyo kiti....hapa najiuliza kuna nini nyuma ya pazia kati ya kikwete na zitto?....kwa nini jk atoe maelekezo hayo kwa pinda?

Edson usijali! Aliyelipia zeze ndiye mwenye stahi ya kulicheza. Zito atakuwa si ZITO tena bali NYEPESI mbele ya JK!
 
kuna jamaa yako anaitwa weberoya aliwahi kuja na mada humu ndeefu na akatwambia una mahusiano na jk......lakini leo naona anasema wewe ni hero wake lkn siku ile alikukanyaga kweli.......

Simjui Waberoya.
Ila kwa maandishi yake humu JF ni mtu mwenye kutenda haki. Pale ninapofanya vizuri ananipa credits. Pale ninapokosea ananikosoa.
Pale anapokuwa na hoja na hana majibu anauliza. Nadhani ndio mijadala ya wastaarabu inapaswa kuwa hivyo. Mijadala kutukanana, kuwa judged, kupeana majina mabaya, kujaza chuki haijengi spirit ya kujadiliana na kupata ufumbuzi wa matatizo yetu. Isipokuwa inafanya JF kuwa kijiwe kama vijiwe vingine vilivyojaa majungu, chuki, wivu na husuda.
Waberoya, toka tumeanza JF amejaribu kuweka mbele heshima ya jamvi na wanajamvi hili.
 
your more than poor
kwani zito ni punguwani kama wewe? ni mtu msomi mwenye shahada yake mbunge tena imara mwenye mke msomi,
Hizo ndizo sifa zako za kutokuwa punguani, basi kama wewe si mbunge lazima utakuwa punguwani.
 
Simjui Waberoya.
Ila kwa maandishi yake humu JF ni mtu mwenye kutenda haki. Pale ninapofanya vizuri ananipa credits. Pale ninapokosea ananikosoa.
Pale anapokuwa na hoja na hana majibu anauliza. Nadhani ndio mijadala ya wastaarabu inapaswa kuwa hivyo. Mijadala kutukanana, kuwa judged, kupeana majina mabaya, kujaza chuki haijengi spirit ya kujadiliana na kupata ufumbuzi wa matatizo yetu. Isipokuwa inafanya JF kuwa kijiwe kama vijiwe vingine vilivyojaa majungu, chuki, wivu na husuda.
Waberoya, toka tumeanza JF amejaribu kuweka mbele heshima ya jamvi na wanajamvi hili.
Mh. Zitto Waberoya ni huyu

msome vizuri kwenye red je unakubaliana naye au unapingana naye na kwa nini.

Mimi nimekuwa nikimfuatilia mheshimiwa Zitto, tangu alipoongoza mapinduzi ya kupindua serikali ya DARUSO mwaka 2002/2003 wakisaidiana na Ridhwan Kikwete na Omar Ilyas. Kipindi hicho nikiwa mmoja wa mawaziri wa serikali, ambayo ilipona kupinduliwa. Na tumekuwa wote ndani ya bunge la UDSM-USRC

Mimi personally nimekuwa muwazi sana na mkweli katika kila kitu kinacholigusa taifa hili na hasa uhuru wa mawazo na maoni ambao umedhihirika kuwa watanzania wengi sio kuwa hawana, bali huwa wepesi sana kuamini mambo na ni waoga kuonekana wanapingana na hali iliyopo.

Mtazamo huu umenifanya nimpende Zitto na JF members wowote wale ambo huwa wanapenda kufikiria nje ya box, au another direction/angle. Zitto amekuwa akinifurahisha kwa kuleta changamoto za kuleta mawazo tofauti na kile ambacho wengi huwa wanafikiria.

Zitto ni kweli anapenda sifa, kama binadamu mwingine yeyote yule, ila unapotaka sifa kwa kusimamia haki na ukweli na hasa unapopigania haki basi sifa hii ni sifa timilifu na inapendeza. Omar Ilyas naye alikuwa mmoja wao wa wanaopenda sifa ila kwa sasa naona amekua kidogo, nadhani Salim A Salim amemkuza.

Si nia yangu niwaharibie hawa jamaa , ila ni hali yangu kueleza ninachowaza baada ya kuwafuatilia hawa watu tangu enzi hizo. Sijajua status ya Omar Ilyas kwenye issue nzima za udini, siwezi kumtuhumu, personally nimemuona ni mtu mzuri tu na anayependa wote pasi kujali udini ila bado ni rafiki wa Zitto!

Tuendelee: Role model wa Zitto ni Salim A. Salim, rais bora kwake yeye ni Kikwete, MD bora aliyewahi kumsema yeye ni Rashid Idrisa yule wa TANESCO.

Tie, cord, umoja, Urafiki wa Zitto, Ridhwan, Omar Ilyas ni mkubwa sana kuliko maelezo, hili group lililotaka kuipindua serikali ya Kayombo-DARUSO, ili wao wapate madaraka si tu ni la hatari bali la kuangaliwa sana. Ridhwan amekuwa akijitetea sana yeye anataka ku-practise sheria hili hali kutaka uongozi amekuwa akitamani tangu siku nyingi sana.

Ukiwa rafiki na Ridhwan umekuwa rafiki wa Kikwete!!! Huwezi kuwa adui wa JK ukawa rafiki wa Ridhwan, JK si tu anampenda Ridhwan kama motto, bali kama mwanaCCM mwenzie aliye tayari kulinda interest zao.

Si ajabu Zitto kuwa alikuwa mmoja wa wanakamati ya bunge ya kuchunguza madini, maana JK anampenda Zitto, ambaye ni rafiki wa Ridhwan!

Alichotamka Juzi ni mwendelezo wa kumuonyesha JK kuwa yuko ‘NAYE' na yuko mbali na chadema na kuwa yeye hakuwa na mawazo kama wanachadema wengine!!!. Hakuishia hapo tu bali alisema JK amefanya mengi Kigoma! Hivyo hakuona sababu ya kutoka nje ya bunge, kwa hiyo hakwenda kabisa, Huu ujumbe haukuwa kwa wananchi, ulikuwa unaenda kwa JK rafiki yake! Hata kama JK kafanya mambo mengi huko jimboni kwake Kigoma ni wajibu wake kama rais na haikuwa zawadi.

Kilichonifanya nijiulize je what makes Zitto na JK kuwa marafiki? Je Zitto na JK walikuwa wanajuana kabla ya JK kuwa rais? Definitely Yes!

Je swali gumu na baya ambalo halina ushahidi ni je Zitto kuwa inclined kwa JK, Salim na kuwapenda baadhi ya viongozi wa kiislam je ni mdini?..........I mean chunguzeni hili. May be not! Kindly don't conclude! What Salim teaches Zito?? Salim is CCM, is Salim and JK close friends? Cause Ommy and Zitto are close friends, Ooh! Ommy ni personal assistant wa Salim, Nauliza Kama Ridh, Zitto, Ommy ni marafiki then Salim and JK ni maadui? Find out please. However, we all know JK ni mdini, maana alianza harakati za udini tangu akiwa UDSM miaka hiyo….na hili fuatilieni

Nani anayejua Zitto ana mtambo wa kusaga kokoto na alipata tender ya barabara ku-supply kokoto? Is he defending his interest indirectly?

Au ni kuwa ni great thinker ambaye anaishi kwa falsafa zake ambazo hatuzijui! Je mnafikiri Zitto kuwaambia waandishi wa habari yaliyojiri ndani ya chadema alikuwa hajui watu watamrudi? Who is greater to him? JK, wananchi wake Kigoma, mali au?

I mean we should be careful na watu kama Zitto yes they are bright, mmh! But they might be dangerous for the opposition existence. But we should examine him carefully and not judge him. Nimegusia tu swala la uislam maana mpaka leo kuna baadhi ya waislamu wanaofikiri kuwa wanaiweza kuigawa nchi hii kidini, na kuna wakristo wanaofikiri wanaweza kuigawa nchi hii kidini.

That's bringing another bitter question how far do we believe these opposition leaders? I mean all!

That said, I am just thinking
 
Kama unapewa favors kiasi hicho unaweza kusimamia hoja tena kupinga ufisadi wa serikali?I doubt it.
Favors zipi nimepata? Is it a favor for me to be a Chair of parliamentary committee? It is my right as an MP and not a favour.
I have been a chair before, I am a Chair now and god willing I will be a Chair in the future!
 
zitto, kwa wakati ule na uchaguzi ule ulivyokuwa na kash kash.....walah mtu jhawezi kuamini hiki ulichosema kuwa jk aliamuru upewe nafasi ile....halafu na ccm wakakubali...hapo hapo ulipopata nafasi hukutaka kujua sababu zilizopelekea jk aamuru upewe nafasi ile eti kwa sababu ulichokuwa unakitaka umekipata......hata kumuuliza pinda ..imekuwaje usiku mzima upige kampeni za kuchagua mtu wa chama kingine halafu lilipochomza jua ukabadili msimamo wako?....au aliyekwambia kuwa jk ndoa kasma upewe nafasi ile unatak kusema hakukupa sababu?!....ndio maana wengi humu tunajiuliza kwa nini jk afanye hivi?........ni hapo tu......

Zitto,

Hii ni nasaha kutoka kwa mtu mzima.

Huwezi kutumikia nchi hii ipasavyo ukiendelea kuwa chadema. Hawana kheri wala hawaioni michango yako. Si uongozi si wapenzi. Sababu, nna uhakika wewe ni mtu mwenye fikra na unaelewa ni nini.

Nakuasa, ondoka Chadema haraka iwezekanavyo, nenda CCM kafanye mabadiliko yanayohitajika huko. Huko una "chance" kubwa ya kufanikisha nia yako ya kuwatumikia waTanzania.

Na kama ni vigumu kwenda CCM, anzisha chama chako na sisi tutakufata na kukuunga mkono.

Ingawa mimi si CHADEMA wala sina mapenzi na chadema lakini ukweli ni kwamba nimekuwa "fan" wako baada ya kukusikiliza na kukuona kuwa ni "kiongozi" na una ari ya kweli ya kuwatumikia wa Tanzania.

Hiyo ni nasaha yenye "options" mbili, ya kwanza ndio the "best option" kwa mtazamo wangu.

Mkaanzishe chama cha kidini
 
Favors zipi nimepata? Is it a favor for me to be a Chair of parliamentary committee? It is my right as an MP and not a favour.
I have been a chair before, I am a Chair now and god willing I will be a Chair in the future!
Nyingine ni hizo Waberoya alizodai cjui mara tenda za kokoto nk.

However hayo sidhani kama yanaendana na the current topic.

Back kwenye point ya mjadala huu,kama siyo favor ya Rais kupiga hiyo simu pengine usingechaguliwa kuwa mwenyekiti wa hiyo kamati ya bunge.

Unadai kwamba ulikuwa na uhakika wa kura tano za ccm,na ukaja na theory kwamba JK aliingilia maybe ili kulinda aibu endapo hao wanchama watano wa ccm wangekupigia kura.

Sasa regardless of your reasonig which i can not neccessarily dispute,huoni kwamba kitendo cha mwenyekiti wa ccm kupiga simu kushinikiza ni favor kwako mwanachadema?

Favor umepewa kwenye utaratibu wa kuchagua mwenyekiti wa kamati,ambapo imepelekea wewe kuwa mwenyekiti.Sikusema kuwa huna haki ama it is not your right kuwa mwenyekiti,ni two different issues hapo Mh.

Sasa kwakujua JK alifanya hiyo favor,ni kivipi utaweza kupingana naye kwenye issues?
 
Favors zipi nimepata? Is it a favor for me to be a Chair of parliamentary committee? It is my right as an MP and not a favour.
I have been a chair before, I am a Chair now and god willing I will be a Chair in the future!

god ====miungu

God=== Mungu
 
Simjui Waberoya.
Ila kwa maandishi yake humu JF ni mtu mwenye kutenda haki. Pale ninapofanya vizuri ananipa credits. Pale ninapokosea ananikosoa.
Pale anapokuwa na hoja na hana majibu anauliza. Nadhani ndio mijadala ya wastaarabu inapaswa kuwa hivyo. Mijadala kutukanana, kuwa judged, kupeana majina mabaya, kujaza chuki haijengi spirit ya kujadiliana na kupata ufumbuzi wa matatizo yetu. Isipokuwa inafanya JF kuwa kijiwe kama vijiwe vingine vilivyojaa majungu, chuki, wivu na husuda.
Waberoya, toka tumeanza JF amejaribu kuweka mbele heshima ya jamvi na wanajamvi hili.

Kiongozi mimi nikubaliane nawe ktk hili kwani humu Jf watu hupenda sana Mijadala ya kutukanana,kuwapa watu majina mabaya,na kujaza chuki
na haya yote hutokea pindi unavyokuwa umekwenda kinyume cha matakwa ya mtu furani,sasa hii haijengi bali inabomowa,hatuwezi kukubaliana kwa kila jambo liwekwalo humu Jf,sisi sio vilaza wala punguwani tuna akili zetu timamu tuna uwezo wa kuchambuwa na kudadabuwa na kutoa mshindo nyuma.

tusifanye Jf ni kijiwe cha majungu na umbea,tuifanye Jf iwe ni sehemu ya watu kujifunza na kuleta mada zenye kuleta mafanikio sasa na baadae
 
Favors zipi nimepata? Is it a favor for me to be a Chair of parliamentary committee? It is my right as an MP and not a favour.
I have been a chair before, I am a Chair now and god willing I will be a Chair in the future!
I think the problem is not that you are the Chairperson of parliamentary committee but the problem is the way you got it.
 
Mhhhh! kama haya ni ya kweli CHADEMA inabidi iwe makini mno maana mapandikizi ndani ya chama hicho yanaweza kabisa kukimaliza chama hicho na kupoteza umaarufu mkubwa mbele ya Watanzania wengi ndani na nje ya nchi.
 
Nyingine ni hizo Waberoya alizodai cjui mara tenda za kokoto nk.
However hayo sidhani kama ni big deal.
Back kwenye point ya mjadala huu,kama siyo favor ya Rais kupiga hiyo simu pengine usingechaguliwa kuwa mwenyekiti wa hiyo kamati ya bunge.
Unadai kwamba ulikuwa na uhakika wa kura tano za ccm,na ukaja na theory kwamba JK aliingilia maybe ili kulinda aibu endapo hao wanchama watano wa ccm wangekupigia kura.

Sasa regardless of your reasonig which i can not neccessarily dispute,huoni kwamba kitendo cha mwenyekiti wa ccm kupiga simu kushinikiza ni favor kwako mwanachadema?

Favor umepewa kwenye utaratibu wa kuchagua mwenyekiti,ambapo imepelekea wewe kuwa mwenyekiti.Sikusema kuwa huna haki ama it is not your right kuwa mwenyekiti,ni two different issues hapo Mh.

Sasa kwakujua JK alifanya hiyo favor,ni kivipi utaweza kupingana naye kwenye issues?
Kwa hiyo lolote linaloandikwa humu unaliamini? Nilimtaka Waberoya athibitishe madai yake ya kokote hakuweza. I also challenge you the same.
Jua kuna uwongo na uzusho mwingi sana humu JF. Jua kuna kuna kupakana matope sana humu. Ndio maana watu wanatumia majina bandia. Mimi natumia jina langu halisi tofauti na wewe, unaweza kusema lolote and go away with it.
 
Back
Top Bottom