Kama habari itakuwa ya kweli...Gazeti ni The Citizen on Sunday la leo tarehe 20 Machi 2011 ukurasa wa mbele ambayo ndiyo habari kuu. Kichwa cha habri cha stori hiyo ni: 'How Kikwete saved the Day for Chadema'
Mkuu, Heshima mbele!
Habari tamu sana lakini hukutoa chanzo na Wana JF wameitafuta kwenye The Citizen hawaioni. Unaweza kutuwekea chanzo cha habari ikiwa haitoki "Redio Kifua"?
Tunamwomba Zitto aingie humu JF na atujibu masuala haya:
1. Je ni kweli aliwasiliana na JK kuomba ulaji katika POC?
2. Kwa nini alifanya hivyo?
3. Je hakuona kwambakwa yeye kupewa Uwenyekiti wa POC na JK kunamaananisha kwamba atakuwa anafanya majukumu yake kwa masilahi ya JK (aliyefanikisha kuipata nafasi hiyo) na serikali ya CCM kwa ujumla -- na siyo kwa masilahi ya umma wa Watanzania kwa ujumla?
Umeiweka vizuri hii. Ajitokeze atueleze kwa nini amtegemee JK kwa ulaji. Kwa nini Wabunge wengine wa Chadema hakakufanya kama yeye. Ni dhahiri JK na CCM yake walikuwa wakiogopa wabunge makini wa CDM kama Tundu Lissu, Mnyika na Halima Mdee kuingia katika kamati hizo kwani caama hicho tawala ingekuwa ni kamasi tu zinawadondoka hadi mwisho wa uhai wa Bunge hili. Kwa Zitto wamepata ulaini kweli kweli.
hakuna cha aibu zto baba usisikie mamneno ya watu,we kamuwa tuuuuu,kwani bwana zito kusaidiwa na kikwete kuna shida yeyote ile?
mimi sioni kama kuna tatizo
Tunamwomba Zitto aingie humu JF na atujibu masuala haya:
1. Je ni kweli aliwasiliana na JK kuomba ulaji katika POC?
2. Kwa nini alifanya hivyo?
3. Je hakuona kwambakwa yeye kupewa Uwenyekiti wa POC na JK kunamaananisha kwamba atakuwa anafanya majukumu yake kwa masilahi ya JK (aliyefanikisha kuipata nafasi hiyo) na serikali ya CCM kwa ujumla -- na siyo kwa masilahi ya umma wa Watanzania kwa ujumla?
Ama...Nimecheka sana hii habari!naona kuna watu mnamlaumu Zito , kosa lake ni nini hasa? kama ilivyoandikwa citizen ndiyo hii?
great thinkers think!!
Jamani ... ameamka nao huyu nini? mbona unaandika utumbo mtupu?Mr. I always like to think independently,
je asipokuja JF utamfanya nini? n je maswali uliyouliza hatuwezi kupata majibu kwingineko? kama taarifa hii hakuitoa zito, kwa nini tupate majibu mengine kwa zito?
Swala la Zito ni very complicated ndani ya chama chake na nachelea kusema tumelitengeneza wenywewe.
Ukweli unabaki palepale hata kama zito leo hii ataamua kuwa fisadi kama wengine wote, Hakuna mnaloweza kumfanya!!! mtaishia matusi tu na kejeli..hii ndiyo hula yenu
Kwa sisi wengine ambao tunashindwa kuvutwa na upepo naweza kusemakama Zito ana tatizo basi ni tatizo la chama chake choote
Hii habari Citizen wanasema wameitoa ndani ya chadema!! what a shame! ina maana ndani ya chadema kuna vitu viwili
1. Kuna uchafu unaendela kiasi cha kuwa hata zito akiufanya wengine hawawezi kumuadabisha kwani nao wanayoyao
2. Kama CDM haiwezi kumchukulia hatua basi ni dhaifu sana, kama wanaogopa kuwa wakimfukuza Zito watakipasua chama basi ni sawasawa na Pinda alivyosema tukikamata mafisadi nchi itatikisika! I insist there is a problem somewhere!
Haya ni mswali magumu ya kichama, ukija kiserikali
1. Je leo naweza kumpigia simu JK na akanipa cheo ninachokitaka?? Kama Zito aliomba na kukiwa hamna chance ya chadema kupata nachanganyikiwa ,aidha Zito anaihitaji kusifiwa! na kama anahitaji kulaumiwa basi ppoint za hapo juu apply!
2. Kama Zito alimpigia simu JK AIDHA na tunavyojua ni serikali imeshindwa kabisa hivyo Zito anaingia kama expert! serikali imeonyesha udhaifu na bila akili na msaada wa Zito Ngeleja chali!
Au wengine tungeweza ku-view hili swala kuwa SI MARA YA KWANZA KWA ZITO KUJITOKEZA KUONYESHA ASPIRATION FULANI KATIKA VITU FULANI SI MARA YA KWANZA
1. Zito alikuwa mtu pekee kuzungumzia swala la Dowans nyakati zile ambazo hakuna aliyeweza kusema chochote kile mpaka kiongozi wa nchi! aliyosema wote tuliyasikia, dowans ile , leo tunajua status, na hakuna siri! Kwangu mimi Zito is an hero...Yes kama mjasiriamali basi nacheka sana kuwa kumbe JK akipigiwa simu tu anatoa cheo?? This made my day! kesho napiga simu kutaka uwaziri mkuu! Pinda hawezi. Kipindi kile neno la rais lilitakiwa sana na sentensi au tamko la ZITO LILIONEKANA KAMA NDIYE RAIS...historically noted! na wengi mnafanya kosa hili tena na tena!
2. Hata sasa udhaifu wa cabinet na baadhi ya watenda kazi wa serikali hamna kitu ni zero na wakitokea akina Janaury makamba na akina Zito wakaonyesha wanaweza WANAPEWA TU, kwani leo hii JK akamteua say MKJJ kuwa bosi wa NSSF nani atabisha?? au atakuwa kanunuliwa, hatuna tabia ya wakenya ya kujiuza au KUUZA CV na ability zetu, kila siku mtabaki kusema yule analinda mafisadi!
Mwisho though is painfully to say this CHADEMA losed his status
1.Wasingerudi bungeni mpaka leo hii mpaka kieleweke swala la aktiba ambao leo hii ...kimya!
2.wangekomaa kutomtambua JK kuwa rais wa nchi hii
Sasa matumbo ya njaa ya hawa wabunge wa chadema ndiyo yanasababisha haya yoote, ndiyo wale wapi? hamjaona juzi wamepewa mil.90 na wamekaa kimya, mnataka tuwanyoshee vidole wachache tu!!!
Haya endeleeni kumtukana Zito lakini msisahau Hoja, kama hoja ni kupiga simu na kupata cheo...na sio kuwa JK alimbembeleza Zito then we are not judging this fairly!
Please Zito whereever u are if this information is true, receive my warm congrats, Thank God you have exposed JK once again!. Naomba namba ya JK nataka cheo fulani!!
You talk too much you end up with nothing.Mr. I always like to think independently,

Huyu jamaa huwa kama anakurupuka vile mara nyingi huwa haeleweki anauliza anajijibu anauliza tena anajicheka LOL!! ni kama limbukeni fulani mimi huwa namuona kama yuko Obsessed na CDM he can't think independently ujio wa CDM umemchanganya sana hakupenda wala kutegemea CDM itakuwa hivi.Jamani ... ameamka nao huyu nini? mbona unaandika utumbo mtupu?