Huu mfumo bado ni mpya kwetu. Bado tunauboresha, tukikutana na timu kubwa ndivyo mapungufu yanakuwa mengi, na ndivyo Conte atakavyoyarekebisha. Cahil ni dhaifu ndio maana Alonso anaonekana dhaifu pia, Alonso anatumia muda mwingi kumsidia Cahil upande wake. Nafasi ya Cahil awekwe Zouma

Kwa hapa namtetea Cahill. Cahill ni dhaifu lakini Alonso ni dhaifu zaidi yake.
 
15241311_1143105485743795_3148120989790145415_n.png
 
Hahahahaaa

Mentor bhana umenichekesha kweli.

Lkn pamoja na kua huyu jamaa ana tabia za ugomvi na vurugu, ktk hizo vurugu na city alikua ni MTU Wa amani akiwasihi wote watulie wawe na amani

Amebadlika sana aisee.

Yaani nilivyoangalia video clip inayomuonesha akitoka spidi kuja eneo la tukio akilini mwangu nilikuwa nikiwaza kuwa "sasa kipele kimepata mkunaji" halafu eti akafika akawa anampoza Fernandinho...duh sikuamini!

Viva Conte...nahisi sasa tunaweza kuwa na kocha atakayevunja rekodi ya kukaa nasi kwa muda mrefu!
 
sijui nani amemcansell huyu jamaa yaani zaidi ya mechi 6 bila yellow card imenishangaza sana
 
counselling aliyopewa diego hadi kuacha vurugu zake zile nadhani akiendelea hivyo timu itafanya vizuri
 
Unajua watu hawakukosea kusema Maji hufata mkondo.

Conte sio kocha Mwenye kupenda vurugu au magomvi au bifu za kipuuzi. Sasa mkiwa na manager Wa hivyo lazima Ata nyie staff wake muwe hivyo.
 
Hadi "cahili" kwenye post match interview aliliongelea hilo, conte kambadilisha sana diego, huwa anamwambia acha miguu iongee, ndo maana hata kwenye zile vurugu akina fenandinho wanaleta ubabe wa ki-old school, yeye diego akageuka "mpatanishi".
 
Kunguru kukunyea Muhimbili sio kama ana shabaha
Kabahatisha tu
Anye decisive goal cant derail MAJOGOO's clear path to be a new KING of EPL 2016/17!
Just a matter of time tu mtanyooka hapa wote
I pay due respect for Conte,ni kocha mzuri mtakuwa wa pili!

Hii ni kawaida ya majogoo kila mwaka utasikia huu ni mwaka wetu
 
Keeper aiicheza chini ya kiwangi na ni kitu cha kawaida kwenye soka
Lovren na Lcas hamna match
Lkn mtaalam Matip yupo fit sasa
MAJOGOO hatupotezi tena hadi nachukua kombe langu May 2017

Kauli za kishujaa kama hizi nazipenda sana ntakuwa hapapa kukukumbusha unapokutana na West Ham, au nawe unadhani utampiga 5?
 
Back
Top Bottom