Ntuzu umefufuka bandugu? Nimekuona unapitia kurasa.
Ulikuwa Bukoba kukusanya michango kutoka kwa wahanga wa tetemeko au ulifika kuwafariji? Ulipanda punda au ndege-pangaboi?
 
Nonda niaje mkuu????

Hbr wazee wa the blues???

Ratiba ndio imeanza wakuu
Pouwa mukuu.
Conte na Konte zimekuja na Yokohama mpya. Lakini anafanya umafia wa kiitaliano, wengine wanamtumbua taratibu, polepole.

Conte anasema ze blauz ni kubwa, ukubwa wake ni sawa na katuni ya bolodoza iliyochorwa kwenye karatasi. msimu huu pia ni wa kuuguza majeraha na maumivu kwa Mentor, Enzo, Nando. Root na Ntuzu. Furaha kwa Nonda et al.
 
Tehe tehe tehe

Nonda hujaacha tu ule ugonjwa wako?

Bhandugu nimekusalimia tu lkn mineno imekutoka km maji ya mitaro ya huko Gomz...

Mambo niaje lkn aisee?

Muache Conte afanye kz yake aiseee
 
Pouwa mukuu.
Conte na Konte zimekuja na Yokohama mpya. Lakini anafanya umafia wa kiitaliano, wengine wanamtumbua taratibu, polepole.

Conte anasema ze blauz ni kubwa, ukubwa wake ni sawa na katuni ya bolodoza iliyochorwa kwenye karatasi. msimu huu pia ni wa kuuguza majeraha na maumivu kwa Mentor, Enzo, Nando. Root na Ntuzu. Furaha kwa Nonda et al.
Nonda, saturday i battle with Hull city# u'r warmly welcomed to see DAVID LUIZ MOREIRA MARINHO.
 
Ntuzu umefufuka bandugu? Nimekuona unapitia kurasa.
Ulikuwa Bukoba kukusanya michango kutoka kwa wahanga wa tetemeko au ulifika kuwafariji? Ulipanda punda au ndege-pangaboi?
Nonda mi nipo sn tu lkn napita kimya kimya maana moto wetu ni kazi tu sasa ile mambo ya kushinda mitandaona utakula vumbi hakuna pesa za deal siku hizi
 
Nimegundua wewe ndio kati ya wale waliokuwa wakipata fedha za bure, sasa kaizari amezizuia na zile kidogo ulizihifadhi pia anazitaka ndio sababu sasa hapana kazi tu. Nimekuelewa, chapa kazi, wenzako wanaichapa Chelsea.
 
Nonda, saturday i battle with Hull city# u'r warmly welcomed to see DAVID LUIZ MOREIRA MARINHO.
Nando, Taayarisha kitambaa cha kufutia machozi. Titakutumbua hiyo jumamosi. wiki 3 sasa tunachezea kichapo, wiki hii tunageuza kibao. I have only bad news for you! LoL
 
Nonda mi nipo sn tu lkn napita kimya kimya maana moto wetu ni kazi tu sasa ile mambo ya kushinda mitandaona utakula vumbi hakuna pesa za deal siku hizi
huna lolote ushaona Yokobus haina soko na inakupotezea muda na timu yenyewe umeanza kuijua 2010

Nando, Taayarisha kitambaa cha kufutia machozi. Titakutumbua hiyo jumamosi. wiki 3 sasa tunachezea kichapo, wiki hii tunageuza kibao. I have only bad news for you! LoL
Mkuu hasira zangu zote nazimalizia kwa hawa watoto(hull city) baada ya hapo napeleka jeshi kwa mwimba taarabu mourinho on next weekend#HABARI MNAZO#
 
Nimegundua wewe ndio kati ya wale waliokuwa wakipata fedha za bure, sasa kaizari amezizuia na zile kidogo ulizihifadhi pia anazitaka ndio sababu sasa hapana kazi tu. Nimekuelewa, chapa kazi, wenzako wanaichapa Chelsea.
We Nonda yani bado tu uko na hayo?

Twende jukwaa la dini tukajadili mambo ya Mungu.
 
Umepata Mungu mpya? Yule wa uzao wa (mazao ya) mungu umemwachia Pope Francis?

Kweli kaizari amefanya tuisome namba, tumeisoma namba sasa tunamkumbuka Mungu.
haya ndio mabadiliko tuyatakayo!

Mods wameninyima kibali cha kuingia jukwaa la dini, wanaogopa kuchilimishwa na kuchilimushwa.
 
Mkuu hasira zangu zote nazimalizia kwa hawa watoto(hull city) baada ya hapo napeleka jeshi kwa mwimba taarabu mourinho on next weekend#HABARI MNAZO#
Nimetamani kulia, nimejishitukia nacheka, tena kwa sauti ya he heee, khe kheee kheeeee.
Domokaya bin mpayukaji anajiandaa kumalizia hasira za kufungishwa virago kutoka daraja bovu. Mlimfukuza kama kibaka wa Manzese.
Aisee, Chelsea kwa umafiaso.
 
Umepata Mungu mpya? Yule wa uzao wa (mazao ya) mungu umemwachia Pope Francis?

Kweli kaizari amefanya tuisome namba, tumeisoma namba sasa tunamkumbuka Mungu.
haya ndio mabadiliko tuyatakayo!

Mods wameninyima kibali cha kuingia jukwaa la dini, wanaogopa kuchilimishwa na kuchilimushwa.
Tehe tehe tehe Nonda Mazazi ya Mungu huyawezi kaka ata chitabu chenyu cha kili kua Mungu ana Mwana.....

Tehe tehe
 
Wahindi walitangaza "mungu" wao ameibiwa na watatoa zawadi iliyonona kwa atakayetoa taarifa zitakazopelekea kupatikana kwake, haya deal hilo la kupata pesa.

Teh teh. Wacha hizo bana. Mou anawaleta Pogba,Mata na Ibrahamovic kuja kulikarabati Daraja bovu.
Kaeni mkao wa kulia machozi ya damu.
 
Bora tufungwe na timu zote lkn sio kufungwa na Baba Mou....

Ila no zako za simu mbona hua haunipi? Au unaogopa kwenda Mabwe?

tehe tehe tehe
 
Tehe tehe tehe Nonda Mazazi ya Mungu huyawezi kaka ata chitabu chenyu cha kili kua Mungu ana Mwana.....

Tehe tehe
Wewe utakuwa umekisoma kitabu chetu na chenyu kinyume nyume. Ndio sababu ulipata ufahamu wa "kichina"/mystery kama mnavyouita utatu.

Vipi lini Conte anasindikizwa mlangoni na begi lake na nafasi kupewa yule kocha wa England kwa siku 67? Anko Sam.
 
Bora tufungwe na timu zote lkn sio kufungwa na Baba Mou....

Ila no zako za simu mbona hua haunipi? Au unaogopa kwenda Mabwe?

tehe tehe tehe
Kuna kijana amenitonya kuwa wewe ni mjukuu wa kamanda 0. Intelijensia ya vitu vya ncha kali.
 
Back
Top Bottom