Duuh hii hatari sasa. Wenger pia anachoma moto tairi za Yokohama?

Enzo, Leo Fabregas alianza lakini hakuonekana kabisa alijificha wapi?. Yule mhuni "wetu" naye, Costa alikuwa anajirusha rusha tu kama anacheza ndombolo. Sasa tutafute kisingizio kingine tu.
 
Conte alikosea sana kuamua kubaki na chelsea ileile aliyoikuta nafikiri ni kante pekee ndio kaenda kuingia mojakwamoja kwenye XI yake..
 
MECHI YA JANA NILICHOGUNDUA

1) Kante hamuwezi ozil tangu akiwa leicester jana kaburuzwa

2) ili umpite mustafi unatakiwa upite juu

3) bora aanze coquelin kuliko xhaka

4) chelsea beki aliyebaki ni zouma tu

5) jana hazard angecheza mechi chelsea ingeshinda

6) xhaka a.k.a pweza ndio mchezaji anayependwa zaidi arsenal kila akigusa mpira hata akiwa golini kwake watu wanamwambia shooot

7) ozil hata angekua amejifunga kitambaa usoni angecheza vizuri maana zile pasi za kupiga kushoto na kuangalia kufika kilikua kitu cha kawaida sana

8) baada ya messi yale magoli anashinda sanchezi tu

9) yule the flash (google it) hamuwezi bellerin kwa kukimbia

10) Arsenal imefuta uteja
 
Mourinho alishagundua David Luiz sio central defender. Sasa ukichanganya na Cahil, ni sawa na kucheza with 10 men. Makosa mengine Conte atalaumiwa bure tu.
 
Back
Top Bottom