6ddaf7862d837fb619699a524d6a4d98.jpg
4c98648b1708cbe14edf8266a054d60b.jpg
 
Hivi chelsea ilikuwa inahitaji beki wa kulia au kushoto ?? . huu ujio wa Alonso unanishtua kwa sababu tulikuwa tunahitaji mbadala wa ivanovic,
 
Chelsea have re-signed David Luiz from Paris St-Germain for £30m
3Gduepif0T1UGY8H4xMDoxOjBzMTt2bJ

The surprise deadline deal is complete! Chelsea confirm David Luiz has re-joined the club from PSG on a three-year deal
 
Chelsea kwa muda mrefu imekuwa ikihangaika kumpata beki wa kushoto.
Ujio wa Alonso utamrudisha Azpilicueta kwenye nafasi yake ya beki wa kulia.
 
kwani ivanovic si yupo au yeye alikuwa upande gani
Ivanovic anacheza beki ya kulia, Azpilicueta naye ana mudu zaidi upande huo huo wa kulia, lakini alilazimika kucheza beki ya kushoto. Alonso anamudu zaidi beki ya kushoto, hivyo Azp. atarudi kwenye nafasi yake na Ivanovic itabidi asubiri
 
Fab sio wa kuanzia bench kwenye timu yeyote Ile EPL sijui mipango ya Conte ila bado jamaa tunamuhitaji sana
 
Back
Top Bottom