hapo naona kuna namna, leo asubuhi nimesoma ABS news familia ya huyu jamaa wamekataa asifanyiwe uchunguzi wowote juu ya jinsia yake, du yaani huyu jamaa ni utata mtupu
Na kimechukua medali ya dhahabu vilevile.
Kuna haja na Usain Bolt na yeye afanyiwe uchunguzi maana anaweza kuwa UFO.
Isije kuwa yule Clark Kent wa Smallville ana mdogo wake aliyeangukia Jamaica na sasa jamaa kawa mkubwa na speed lake si la kushindana na Binadamu wa kawaida.
Duuu huyu mwanaume aisee duuu....issue ni ngumu mnoo...
...Anaitwa Maria Mutola huyo a.k.a Mozambique One!!Mbu, mbona huyu ni mwanaume kabisa kwa nionavyo!..du!
Kheeeee heeeee heeee...Eeeeh!Ab-G said:
Sikonge
Is Samenya Married? ama ana affair yeyote ya jinsia yeyote?
Sikonge
Is Samenya Married? ama ana affair yeyote ya jinsia yeyote?