The Brand New Chinese Fastest Train-350kmh

...kuchapa viboko kama mjerumani katika ujenzi wa reli ya kati, au?!

...Z10 unaweza kutoa mifano tafadhali, thanx!

Ninavyofahamu mimi uwezo wa kuongoza ni pamoja na kujua saikolojia ya kuongoza watu!!!
Kwa kifupi meneja mzuri wa watu ni mtu anayeweza kuwafanya watu wafanye kile anachotaka, anavyotaka kwa ujira anaotaka na bila kusikitika au kunungunika (angalia pale kwa Kakobe watu wanapaki mashangingi na suti kali lakini wanatoa mapesa mpaka mifuko inageuka, wengine wanakuja kwa daladala halafu wanatoa zote mpaka wanakosa nauli ya kurudi makwao, ukiwauliza wanasema mcgungaji amesema Mungu atatupa nauli)
Sina nia ya kujadili kanisa lakini ni mfano mzuri wa ushawishi, angalia makanisa yalivyo mengi na wanakusanya mapesa kibao, watu wanalala makanisani, wanajenga majumba makubwa nk.

Je tunachagua Viongozi wenye uwezo au wenye mvuto wa "handsome boy" au????
 
capt.photo_1261832067023-1-0.jpg


Tuombe Tazara nyingine.
 
Na tutakufa maskini hivi hivi....maendeleo tutaendelea kuyaona kwenye Tv,I'net na pics.......sisi mision zetu ni kurenovate vigogo houses for -----@@@2####$$$$ Tsh!= = TO MILELE POVERTY

Tumesha gawa Reli ya Kati. Zaidi ya hapo, tukawapa wale Magabachori mamilioni kibao, ili kuendesha Reli tuliyowagawia bure.
 
Dr. Slaa alipoahidi kuwa CDM ikiingia madarakani itajenga reli kwa ajili ya treni iendayo kasi kuotoka dar hadi mwanza kwa masaa 3 tu, wamagamba walimcheka hadi basi, sasa sijui wakiona hili huwa wanajisemea nini?
 
Back
Top Bottom