The boss, nimekudondokea!

Status
Not open for further replies.
Boss mkali....yaani ile thread yote ilikuwa gear tu za kuinua soko lake.

Sasa anajifaidia
umeona eeh! watu walijifanya kutoka kipovu, maadili yamevunjwa kumbe hakuna maadili wala mchumbaake maadili.Lawyer nimestukia
 
Mkuu ukitaka wakuPM anzisha sredi ya "nyumba ndogo" tu watakumind kichizi. (na hii ndio siri ya mafanikio ya The Boss)

halafu 'lawyer 'unazembea kazi aisee
kuna member jumla wa nne sasa wamejaribu 'kuiiba' ile thread ya nyumba ndogo
bila paw sijui ningekuwaje....nashangaa lawyer huchukui hatua
leo mmoja anajiita Globu nae kaja nayo tena
tutapoteza pesa za 'copyrights 'aisee
 
umeona eeh! watu walijifanya kutoka kipovu, maadili yamevunjwa kumbe hakuna maadili wala mchumbaake maadili.Lawyer nimestukia

Boss alikuwa anawacheza watu shere, mimi nilistukia nikasepa fasta. Hata ushahidi skuutaka

Maana akina mama walikuja juu utasema Boss ndo anawapa kijio!
 
Boss alikuwa anawacheza watu shere, mimi nilistukia nikasepa fasta. Hata ushahidi skuutaka

Maana akina mama walikuja juu utasema Boss ndo anawapa kijio!

ha ha ha wewe..
usije niweka ignore list tu lol
 
halafu 'lawyer 'unazembea kazi aisee
kuna member jumla wa nne sasa wamejaribu 'kuiiba' ile thread ya nyumba ndogo
bila paw sijui ningekuwaje....nashangaa lawyer huchukui hatua
leo mmoja anajiita Globu nae kaja nayo tena
tutapoteza pesa za 'copyrights 'aisee

Lizzy akikuwepo online basi Lawyer nashindwa kuconcentrate aisee!
Lakini kesho nakuja kamili, waambie jamaa waombe razi kabla ya tarehe ya harusi yako na kongosho.
wakuu nalog out aisee, nyinyi endeleeni kumsubiria bihalusi.
 
ha ha ha wewe..
usije niweka ignore list tu lol

Hehehe Boss mimi nilipata masuala kadhaa. Maana wanawake wamekasirika "waume" zao wamewadhalilisha kwa kuanzisha na kuchangia thread. Nikajiuliza huyu "mume" ndo Boss au?

Ila nilichuna nikaogopa kuimbiwa "naunikome mie" lolz
 
TB unataka copyright? lazima uthibitishe kama ni idea yako mwenyewe
kazi yako mwenyewe,iwe original,je umetumia skills zako,nguvu na labour?
isiwe umecopy mahali popote kama ukikidhi viwango hii utakuwa na haki ya copyright infringment claim
ntakusaidia bure bila hata peny mahakamani lol
halafu 'lawyer 'unazembea kazi aisee
kuna member jumla wa nne sasa wamejaribu 'kuiiba' ile thread ya nyumba ndogo
bila paw sijui ningekuwaje....nashangaa lawyer huchukui hatua
leo mmoja anajiita Globu nae kaja nayo tena
tutapoteza pesa za 'copyrights 'aisee
 
Haya BOSS umetunukiwa! :):):)....Kazi kwako! :):)

Last edited by a moderator:
Yaani kongosho kaonyesha njia! Ngoja nikamfungukie mtu,manake nimegumumia hadi moyo una majipu sasa!

Hahahahaha lol! Kumbe mko wengi mnaoumia mioyo yenu huku mmekula kobisi :):)....haya banaaa kila la heri King'asti ya nini kujitesa roho bure!!!!

Last edited by a moderator:
ninakukabidhi rasmi Kongosho
umfundishe mistari yenyewe lol

btw..uliona ile thread ya ujenzi?hukunijibu lol

Kwenye mistari wala usijali, sivumi ila nimo. Mie malenga kama Shaban Robert, Marjan Rajab au Jim Reeves. Ila kama mpezi wa akina pasua kichwa Rihana nta-import ujuzi.
 
lol! hebu nipe vimistari nika-paste. im talking to the mirror now, mambo ya practice hehehe
Hahahahaha lol! Kumbe mko wengi mnaoumia mioyo yenu huku mmekula kobisi :):)....haya banaaa kila la heri King'asti ya nini kujitesa roho bure!!!!

Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom