The Boss: "King Of MMU - 2011"

attachment.php
 
Where's the party at? Nyumba ndogo huree, huree, huree! Ha ha ha kweli hii ndo jf!
 
Kwanza ningependa kumshukuru Superman kwa kuandaa mashindano haya kila mwaka
natumaini kwa kadri tunavyoendelea na mawazo ya mambers yakizingatiwa basi
shindano hili litaweza kuwa sehemu nzuri ya jukwaa letu la MMU......

pili niseme asanteni saana wale wote walio ni nominate na kunipigia kura
asanteni kwa kweli kwa sababu kuna members weengi wenye pointi za maana zaidi
but mliguswa na mimi ..upendo wenu na mimi umenigusa

tatu nitoe hongera maalum kwa Kongosho kwa upendo na mkuubwa kwangu aliounesha

nne nitoe asante maalum kwa MBU ambae mimi binafsi nilim nominate na kumpigia kura,
threads za MBU za 'mafaniko kimaisha' na 'fainali uzeeni' binafsi ni threads
ambazo hazilingani na thread zozote nilizowahi kusoma, kuna kitu priceless ndani yake...
MBU you are so great and i mean it....

mwisho niseme kwa mimi kushinda taji la 'KING OF MMU 2011' ichukuliwe kuwa ni vijimambo vinavyo spice up
JF kwa ujumla na haina maana najua zaidi au ni mtaalam wa kila kitu mmu

i hope nitaendea kujifunza kutoka kwa members wengine na mimi kutoa mchango wangu kama kawaida...

natumaini nitaendelea kukosolewa bila woga nikitofautiana na watu bila mtu kusema

'aaah huyu ndo King of MMU bana' ili na mimi niendele ku have fun like the rest hapa

bila kujilazimisha niwe mtu wa busara sana ambazo pengine sina lol

nitaendelea kuwa hivi hivi jamani..lol

mwisho but not least Dark City....asante sana....i am humbled by your comments for real...thank you...

niseme kwa ufupi tu niko so humbled na JF na wana JF kwa all this week kwa heshima

mliyotupatia sio mimi tu bali ASHADII,MBU,BAK,EMT,ASPIRIN,LIZZY.FAIZAFOXY na wengine woote....

i am still finding the right words to express this....

but kwa ujula asaanteni sana......i owe you all big time...

THE BOSS ......
 
Pamoja sana kamanda.
Kinababa tunaomba makofi kwa speech ya mfalme na kinamama tunaomba vigelegele
 
Back
Top Bottom