The Blood Remembers

Yahemovich

Senior Member
Jan 20, 2011
170
3
Luv is a game easy to start difficult to end.
I thought I could control luv but sasa siwezi kuyaacha mapenzi, labda mapenzi yaniache mimi.
Na nitamwacha mpenzi/nitaachwa ila mapenzi yako pale.
Stakeholders wajukwaa amini ni vigumu kujitenga na mapenzi?
 
mapenzi yana independent mandate.huwezi kuyakontrol.yakitaka kuja huja na yakitaka kuondoka huondoka
ingawa kuna vichocheo vinavyoweza kuyafanya yadumu au yawahi kutoweka.hata hivyo
kama hayapo kabisa vichocheo hivi haviwezi kuyaleta kwa garama yoyote.

Ni kitu automatic and nono decisional.

Nawasilisha mchango wangu.
 
Mahusiano na kichwa cha habari?Sorry i'm just not getting it...sijui ni ngeli yangu hailipi!

Back to topic...mapenzi hayana ishu!Mi nataka niachane nayo ntarudi kukwambia kama nimefanikiwa!
 
mapenzi! mapenzi! mapenzi!!!!

yamewahi kuniliza mara ngapi mapenzi hata sikumbuki, nimelala na njaa mara ngapi kwa ajili ya mapenzi hata sikumbuki ila ninachojua hakuna mapenzi katika hii dunia ni usanii mtupu!!!
 
Luv is a game easy to start difficult to end.
I thought I could control luv but sasa siwezi kuyaacha mapenzi, labda mapenzi yaniache mimi.
Na nitamwacha mpenzi/nitaachwa ila mapenzi yako pale.
Stakeholders wajukwaa amini ni vigumu kujitenga na mapenzi?

duh title kama filamu za kibongo.....sina cha kuchangia mapenzi yapo kwasababu tupo.
 
Mahusiano na kichwa cha habari?Sorry i'm just not getting it...sijui ni ngeli yangu hailipi!

Back to topic...mapenzi hayana ishu!Mi nataka niachane nayo ntarudi kukwambia kama nimefanikiwa!

I was about to leave the business of luv affair bt it became difficult cause my blood needs to get the warm as it used in sometimes. That is the blood remembers.
 
Wasiliana na Kanumba haraka mtoe bonge la filamu!
 
Back
Top Bottom