The Blinds will See, Na Sio Miujiza

Mungu ni 'ROHO' halisi kamili kabisa. Ni Takatifu,. Kwa kawaida Roho haishikiki,haionekani kwa macho ya kawaida,ROHO Ipo kila Mahali,INASIKIA,INAONA,HAILALI,HAIPUNGUI,HAIFI,HAIBABAIKI,INAUMBA,INAFARIJI,INAADHIBU,INAJIBU,..nk.
 
Mungu ni 'ROHO' halisi kamili kabisa. Ni Takatifu,. Kwa kawaida Roho haishikiki,haionekani kwa macho ya kawaida,ROHO Ipo kila Mahali,INASIKIA,INAONA,HAILALI,HAIPUNGUI,HAIFI,HAIBABAIKI,INAUMBA,INAFARIJI,INAADHIBU,INAJIBU,..nk. Hivyo Mungu ni kila kitu,WAKATI huu unapumua,hiyo ni kazi yake 'ROHO YAKE' Aliyokuumbia na kukutilia ili upate kuwa hai kimwili,maana yake ni kwamba,ndiyo inayoupatia mwili wako Kuwepo,japo tunajitia kiburi na maringo mengi,kana kwamba tunao uwezo wa kila kitu. Kumbe UKWELI NI KWAMBA SISI SI LOLOTE BILA ROHO(MUNGU.).. Asanteni.
 
Kwanini unafikiri roho hiyo inaadhibu?
 
Kwanini unafikiri roho hiyo inaadhibu?

Inaadhibu kwa kuwa kwanza ina mamlaka yote,yote kabisa kabisa,pili ni Roho itakayo na itendayo mema tu,na ndani yake imejaa mema. Mwanadamu amepewa akili ya kuchagua na kutambua mema na mabaya,hivyo ile Roho itakayo mema itaghadhibika atechaguapo mabaya badala ya mema. Na kwa hayo mabaya ulochagua kwayo utaadhibiwa, hilo halina mjadala,vinginevyo ujitambue na utubu mara moja na uombe msamaha kwa kumaanisha,nasisitiza kwa KUMAANISHA. Notice: adhabu utapewa baada ya kufa mwili na si kabla. Ukiona unapata misukosuko mingi wakt huu,USISEME MUNGU ANANIADHIBU. Hapana hyo si adhabu bali ni MAJARIBU ya Ibilisi na Malaika zake ili wakutenge wewe na Mungu. Ukivumilia mpaka mwisho bila kumkufuru ROHO,HAKIKA UTAOKOKA. Yaani utaepuka ghadhabu na adhabu ya Mungu siku ya MWISHO.
 
Kweli mkuu na hakuna atakayeweza kumkaribia hata nukta moja ktk sience yake
Kweli mkuu .hebu fikiri huyo mwanasayansi kapata wapi akili yake(nani alitengeneza brain).zaidi sana wanatengeneza vitu kwa kutumia vitu ambavyo vilikuwepo tayari,yaan vilivyowekwa na Mungu.Mungu alitupa mamlaka ya kuitawala dunia kwa hiyo uvumbuz ni moja ya kuitawala dunia.Mungu atabaki Mungu daima
.
 
Back
Top Bottom