The Best Way to Gently calm down your Wife/Girl---Tips

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Wakuu,
Nadhani itabid Tupeane Mawazo/Techniques za kuwatuliza hawa Viumbe especially wanapokuwa wame Panic au wana hasira Juu yetu, you can face this katika matukio tofauti tofauti, i think its better tuka share Baadhi ya Matukio
I am starting with this which happen btn a Furious wife (Not mine, my friend's) with a Husband, She called her Hubby.

Wife:"Where the hell are you????!!!!!"
Hubby: "Darling, You Remmember that Jewellery Shop where you saw a diamond Necklace and Totally felt in Love with it and I didint have Enough Money that time and i said Baby it will be Your's one Day, Yoo Remember it???".
Wife: (With a smilling & Blushing "Yeah, I remember that My Love"

Hubby:"I am in the chicken shop next to it ....:tongue:"

More Tips are welcome Please......
 
Wakuu Mtutu unahusika vp by the time wife yuko Furious, inabid umtulize kwanza, akisha calm down ndo Unapiga Mtutu mwanzo mwisho..... sasa before mtutu lets share the best ways kumuandaa ili U apply sanaa ya Mtutu...hiyo ni next step, thanks for Going further
 
tena wakati ana hasira hasa ndo unampiga na mtutu, hasemi kitu unamwona kama anataka kupoteza fahamu hivi

baada ya hapo mpe jewerly zako sasa.

Wakuu Mtutu unahusika vp by the time wife yuko Furious, inabid umtulize kwanza, akisha calm down ndo Unapiga Mtutu mwanzo mwisho..... sasa before mtutu lets share the best ways kumuandaa ili U apply sanaa ya Mtutu...hiyo ni next step, thanks for Going further
 
Wakuu Mtutu unahusika vp by the time wife yuko Furious, inabid umtulize kwanza, akisha calm down ndo Unapiga Mtutu mwanzo mwisho..... sasa before mtutu lets share the best ways kumuandaa ili U apply sanaa ya Mtutu...hiyo ni next step, thanks for Going further

Shiiiii! Usimwambie mtu. They are NEVER furious ukijua kuitumia fimbo ya nyama na kuwaheshimu.NEVER.You will always be right in every thing to their eyes, mind and soul. Lakini usilewe sifa na kuitumia kama FIMBO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom