The best tv series of all the time

[FONT=comic sans
ms]To me ''LOST'' serves as the best tv series of all the time
ningependa kujua wale wapenzi wa series mna maoni gani and whats u're
favourite?
MV5BMjA3NzMyMzU1MV5BMl5BanBnXkFtZTcwNjc1ODUwMg@@._V1._SY317_CR17,0,214,317_.jpg

LOST:The survivors of a plane crash are forced to live with each
other on a remote island, a dangerous new world that poses unique
threats of its own.
Starring:Jorge
Garcia
, Naveen
Andrews
, Matthew
Fox
.
[/FONT]

Mimi ziko 3, ya kwanza,Spatacus,Heroes na Traveler
 
Little House on Prairie. Loved series for family values, love, friendship and faith.
 
lost iko poa sana mkuu,ila wengi wanaget lost hawaimalizii,watoto ndo kabisaa hawawezi kuielewa!lakini kwangu 24HRS ndo kila kitu.niliiangalia,nikaiangalia tena na tena na ninaiangalia na nitaiangalia tena tena!sidhan kama nitakuja kuchoka kuiangalia..

Kyle XY.
Probably the best to me.
Ila ilikatizwa na sijui kama itaendelea.
Swali kwako mkuu, umewahi kusoma Iyunga..?(user name yako hiyo)
 
Mwenye kujua jinsi ya kudownload hizi movie kwa free atuwekee hapa procedures wakuu

mimi huwa natumia utorrent kudownload.
Procedure...1.download kwanza utorrent then install in your pc.
2.nenda google then type utorrenttz then click sehemu yenye kuonyesha free movie download
3.ikishatokea type jina la movie or series you want to download and then click search.itatokea jina na size ya hiyo movie then click ambayo unaitaka
4.ukishaclick zitatokea different link za kudownload hiyo movie or episode then chagua mojawapo udouble click
5.after that itatokea page moja ambayo itakupa option ya kuiweka katika utorrent software kwenye pc yako then click launch or ok.itaenda moja kwa moja kwenye utorrent software na kuanza kudownload.
6.unaweza ukaisimamisha ikiwa net imekata na ikaendelea baada ya kurudi
 
thanks mkuu ngoja nijaribu
 
Mkuu hichi ndo nilicho ambulia
"You do not have permission to access this page"
 
mkongwe season 2 yake lini inatoka,
Naona HOMELAND season 2 imetoka. Weekend naisubiri episode 6 kwa hamu sana.
Sijajua missing season 2 itatoka lini,but always am checking on it,ikitoka tu nainyonya!!
Tell me about HOMELAND iko poa nikaitafute leo?
 
mkuu imekaa poa sana, kuna jamaa alitekwa bagdad then akateswa sana na baadae CIA wakaenda kumuokoa, later akaja home kama veteran flan hivi, then jamaa kumbe amekua terrorist so CIA wakawa wanamshitukia kiani hivi lakini hawakuweza ku prove, one day akawa amepanga kumua vice president. season hii amekua double agent anafanya na C.IA baada ya kumkamata na kuextract info. ichek kimtindo nadhani utaifurahi si unajua mambo ya kiintelligencia kama ya Becca winston mkuu.
 
thanks mkuu,i cant wait to see it,naipitia jioni lol!
 
Prison Break-1
White Collar-2
24-3
Lie to me-4
Hustle-5

unaweza ukarudia kuangalia hizi series mara 10 na usichoke kabisa
 
TAUSI bana ndo ilikuwa mambo yote!

Tausi ndege wangu, ndege wangu wa fahari
ndege ume....na sasa....

Kila nnapopitaga ile mitaa ya IFM kule na kuwaona huwa naikumbuka sana hii play!!!
 
Back
Top Bottom