The best tv series of all the time

DALLAS is Back

Old Dallas
th


New Dallas
th

Lakini nadhani it was very popular kutokana na wakati back then competition haikuwa kubwa lakini sasa competition ni stiff viewers wakipungua tu show inakuwa cancelled..., that why even this new Dallas wont do as good

There is only gonna be one Dallas.
 
Unajua mkuu its hard kusema series gani ni the best sababu sometimes inategemea preference ya mtu..., mfano..

Ninapenda sana HOUSE, lakini siwezi kusema kwamba HOUSE is better than LOST au PERSON OF INTEREST au HEROES (au vice versa) why..., because they are two different shows with different plots and storyline..

Mfano huwezi kulinganisha Desperate Housiwives au show kama hio na LOST, lakini unaweza kuilinganisha maybe na shows kama Sex and the City au Two and a Half Men..., (Why you might ask...) sababu zinaendana, na mtu anayependa hizi huenda akachukia shows kama HEROES au MENTALIST

Thats why naweza kusema kwenye category ya comedies; (How I Met your Mother, Bing Bang Theory, Scrub, PeepShow n.k.)
Kwenye kina LOST, unakuta kina HEROES, 24 n.k.
Kwenye kina Merlin unakuta kina Once Upon a Time

Lakini ni vigumu ku-argue kwamba HOUSE is better than LOST au LOST is better than HOUSE (sababu they are quite different and preferences goes into the equation)

Lakini you can argue successfully kwamba either Nikita is better than Revenge, (au vice versa)..., because the theme is somehow same;

Alafu sometimes Actors can make a good plot seems betters (e.g. 24, Heroes, House, Prison Break, Lost, Person of Interest n.k.) au sometimes some actors can make a good story and plot to appear mediocre.., (e.g. The Star in Revenge)
 
OC jamani OC. achana nayo kabisa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
There is only gonna be one Dallas.
Old and New Dallas is just a continuation
Old JR, and Bobby Ewing..., with Christopher and Junior now grow-up..., even Sue Hellen and Lucy are available (still good but with competition and a lot of things to view nowadays..., I don't think most people will bother watching it)
 
" Breaking bad " i meant,vp na traveller umeiona,niliijaribu halafu nikawa sipati mwendelezo,kila ninaye muuliza ananijibu lake
 
" Breaking bad " i meant,vp na traveller umeiona,niliijaribu halafu nikawa sipati mwendelezo,kila ninaye muuliza ananijibu lake

traveller haikupata support kubwa hivyo wakai cancel mkuu,ila ilikuwa ni nyoko
 
Nilisikia ilikuwa inapiga sana Ikulu,na wakati ule Osama ndio yuko kwenye chati,waliona jamaa watawapa mbinu,na pia watawaonyesha weakness zao.wakaamua kuiban,nasikia waliwaachia jamaa watoe hiyo moja warudishe Gharama zao halafu scripts zote zikafungiwa maandazi!,nyingine Joji Kichaka akachambia kwa hasira!
 
Nilisikia ilikuwa inapiga sana Ikulu,na wakati ule Osama ndio yuko kwenye chati,waliona jamaa watawapa mbinu,na pia watawaonyesha weakness zao.wakaamua kuiban,nasikia waliwaachia jamaa watoe hiyo moja warudishe Gharama zao halafu scripts zote zikafungiwa maandazi!,nyingine Joji Kichaka akachambia kwa hasira!

yap nilisikia hvyo kwamba ilikuwa inaexpose baadhi ya mambo ndio maana wakaamua kuipiga pini
 
Kwa wale wapenzi wa NIKITA,season 3 imeshatoka episode 1 na 2.
 
Si kweli mkuu. Traveller ilipigwa marufuku kuendelea kurekodiwa kwa S2.

kwa madai ya kuwa imeakisi sana matukio yanayotokea kweli marekani kwa viongozi wa siasa na hata hiyo season 1 yenyewe ukiidownload kupitia utorrent haikubali.hiyo series ni naikubali balaa na kama mtu anayo hiyo season 1 anasaidie niiangalie tena.
 
Mwenye kujua jinsi ya kudownload hizi movie kwa free atuwekee hapa procedures wakuu
 
Back
Top Bottom