The best tv series of all the time

asee...!

hapa mi ndo nyumbani arif....!

napenda kila series kiukweli....!lakin hasa hasa SUPERNATURAL kwa sasa...!kuna ile inaitwa THE VISITORS na mmoja inaitwa MUTANT X...!i like them series

zipo zile VAMPIRE DIARY...EVENT....SPARCATUS etc

yani mi ukishaweka maseries kwenye luninga hainaga kuondoka hiyo arif
 
chalii angu tafuta kitu cha MISSING,JERICHO na SOPRANOS ni soo hutaenda job eti arifu!!
 
images
images
 
Prison Break,The Wire. Mbona hamsemi za Kiswahili? au Mnasubiri mademu waje na Sunset beach?

Lost mie ndio ilikuwa ndio ya kwanza ila namie nika Lost kabisa sikuitizama tena.

lost iko poa sana mkuu,ila wengi wanaget lost hawaimalizii,watoto ndo kabisaa hawawezi kuielewa!lakini kwangu 24HRS ndo kila kitu.niliiangalia,nikaiangalia tena na tena na ninaiangalia na nitaiangalia tena tena!sidhan kama nitakuja kuchoka kuiangalia..
 
Hebu tutaje zinazoboa sana.. Mi iliyoniboa sana kuliko zote ni ROME

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
asee...!

hapa mi ndo nyumbani arif....!

napenda kila series kiukweli....!lakin hasa hasa SUPERNATURAL kwa sasa...!kuna ile inaitwa THE VISITORS na mmoja inaitwa MUTANT X...!i like them series

zipo zile VAMPIRE DIARY...EVENT....SPARCATUS etc

yani mi ukishaweka maseries kwenye luninga hainaga kuondoka hiyo arif

kiongozi hapo ndo umefikaa. Now kuna mwonekano mpyaa in seas 8, with Dean freshly outta Purgatory, Another word of God found this one about the demons and the prophet of the Lord(yeah that kid) got it. (which makes the demon lord Crowley hot on their asses) kuna mpaka epsd 4 just awesome
 
lost iko poa sana mkuu,ila wengi wanaget lost hawaimalizii,watoto ndo kabisaa hawawezi kuielewa!lakini kwangu 24HRS ndo kila kitu.niliiangalia,nikaiangalia tena na tena na ninaiangalia na nitaiangalia tena tena!sidhan kama nitakuja kuchoka kuiangalia..

Mie sikubahatika kuitizama 24hrs ila wengi nimewasikia wa kiisifu kengine nimestukia hizi Series wale ma Star wa Series wanakuja kukosa nafasi kwenye Movie sana sijui ni kwanini? nimekumbuka mdau hapo juu na Soprano ukitaka ufuatilie kama huna shughuli nyingi ukae kwako weekend uanze kutizama DVD hasa Soprano.
 
Back
Top Bottom