The best series 2012

Jotojiwe

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
335
130
Wadau habari za jmosi.
Natumai kuna wapenzi wa kuangalia tamthilia za kizungu humu jamvini, mi'ningependa kujua zile zilizo zaidi japo nizitafute, nilikua nafuatilia the legend of the seeker nikaishia season 3 na sijui kama zimeshatoka nyingine. Naomba mniupdate tafadhali.
Shukran wakuu
 
wewe unapenda za aina gani kwani maybe we should start from there ndo watu wakwambie ukazitafute coz kama unapenda action and i suggest a drama series utaona siyo nzuri , so which kind of series do u like drama. action, comedy, thriller, adventure or romance
 
،،SUPERNATURAL،، all the way,yaan hii ki2 ni noma.
 
1. Smallvile
2.dexter
3.revenge
4.ringer though hii wameishia season 1
5.The traveller
 
itafute game of thrones utasema yeah! kuna jamaa anaitwa tyrion utamtaka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom