The best security system..

Mlisa

Member
Mar 20, 2012
28
1
Hi niaina ya security system ambayo tunaweza kukufungia ndani ya Nyumba, Duka au Ofisi. Hi security system ina sense movements baada yakuiwasha. Inakuwa pamoja na sensor ya milango kama mtu anataka kuingia. Siyo hiyo tu baliinakuwa na sensor pia ya moshi kama kitukitakuwa kinaungua. Ikisha sense itapiga alarm pamoja nakukutumia SMS au MMS pale popote utapokuwa na hutuma jumla ya number 10 tofauti ukipenda pia hadi ya POLISI. Pia italekodi matukio kwenye memory kwani inakuwa pamoja na camera recorder yake. Tutakupa warrant ya mwaka 1 pamoja na istallation kwa Shs 2 million. Call 0712435316 for more information. Thanks
 
Mlisa hizi ni habari njema, Ungetujuza pia kama nyie ndio watengenezaji wa huo mtambo au mawakala tu? Pia mko katika kiwango kipi cha kimataifa ili kujinadi dhidi ya wapinzani wenu, maana huu ndio uwanja wakufahamika zaidi kama ni biashara endelevu.
 
Yer sisi niwatengenezaji wahi mitambo na kiwango chetu nikizuri SANA kwani nitofauti SANA na yawengine. Ingekuwa vizuri Kama ungenipigia Simu for more information. Haina gharama yoyote ukisha ifunga and it's environment and power saving friendly.
 
Hi niaina ya security system ambayo tunaweza kukufungia ndani ya Nyumba, Duka au Ofisi. Hi security system ina sense movements baada yakuiwasha. Inakuwa pamoja na sensor ya milango kama mtu anataka kuingia. Siyo hiyo tu baliinakuwa na sensor pia ya moshi kama kitukitakuwa kinaungua. Ikisha sense itapiga alarm pamoja nakukutumia SMS au MMS pale popote utapokuwa na hutuma jumla ya number 10 tofauti ukipenda pia hadi ya POLISI. Pia italekodi matukio kwenye memory kwani inakuwa pamoja na camera recorder yake. Tutakupa warrant ya mwaka 1 pamoja na istallation kwa Shs 2 million. Call 0712435316 for more information. Thanks

Hiyo hela sasa!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom