>*< The BEST of Angeline Jolie >*<

I like Boris Kodjoe... he is not so good as an actor but he is glamour. I love his wife too (Monique kama sikosei). Huyo dada ndio namuona leo, I will be following her.
Mkewe anaitwa Nicole Ari Parker

images
 
Huy binti anakuja juu sana....Ni Muingereza alinzia kwenye TV Series mojawapo ya series alizocheza ni Undercovers ambayo yeye na Boris Kodjoe wamecheza kama lead actors(CIA Agents,mtu na mkewe)...Pia anashiriki TV Series mpya ya Touch ambayo yeye na Kiefer Sutherland(Jack Bauer) ni lead actors.....Kwenye movies kaanza kutoka kwenye Larry Crowne ambapo yupo yeye,Julia Roberts na Tom Hanks..

gugu-mbatha-raw.jpg

Thanks Bala... She is sooo Beautiful... Simfahamu... Sijawahi angalia hio series ambayo yuko na Sutherland nimeisikia tu, sijawahi angalia Touch pia na wala sijawahi angalia Larry Crowne thou ni movie iko kwenye to do list..... Will follow up yote hayo as soon as I can.
 
EMT ndio maana nikasema kua tutabisha sana lakini sitakubaliana na wewe. My judgement on anything kinacho husiana na entertainment napenda I speak my own mind na wala si google opinions za wengine because I have my own opinion to voice. Unless I have no Idea....

Unapo google upande wa Angeline na kukuta hizo comments... lazima ziwe za she is beautiful for that is the first thing that defines her as a person. Hii thread yenyewe uliona mwenyewe the way kila mtu was speaking of her lips and beauty instead of mentioning the movie... but it does not mean she is an average actress... In Holly wood she is an "A List" actress na wala sio average.... hivo I do not agree bado...

BTW Mmefunga ngapi na ni nani against nani?

I respect your view on her but kwenye post yangu there was more issues to address than suala la google . I just put there suala la google as an indication on the first impression other people have on her.

Of course, kwenye mambo ya entertainment it all comes down personal choice ya mtu mwenywe. Hata hivyo, kuna watu ambao wako universally regarded as talent kwenye fani zao. Kwangu Angelina is OK. Simweki kwenye category ya greatest actress.

Kwangu namwona kama mwanamke ambaye ni very popular zaidi kwenye media na watu kwa sababu ya uzuri wake kama alivyo mumewe ambaye nae is OK kwangu. Media ndio inayowafanya waonekane talented but in actual sense they just popular.

Umesema wewe na football hamuivi but you must have heard David Beckham. He was probably one of the most popular footballers in the world, but there is no way he can be regarded as on of the most talented players in the world.

Mechi ipi unaulizia? zilikuwepo nyingi
 
Thanks Bala... She is sooo Beautiful... Simfahamu... Sijawahi angalia hio series ambayo yuko na Sutherland nimeisikia tu, sijawahi angalia Touch pia na wala sijawahi angalia Larry Crowne thou ni movie iko kwenye to do list..... Will follow up yote hayo as soon as I can.
Halafu kwa mbali anafanana na Kerry Washington...
 
Naona Garry Cahill kawau Man Chiteh....

Wamefungwa lakini. I thought the match was more important to Man Man City than Chelsea. Arsenal wameipita spurs kama wamesimama vile. Heee ngoja nihamishie kwenye jukwaa husika mwenye sredi asije akadhani tunaongelea movies mpya za Angelina kiaina.
 
I respect your view on her but kwenye post yangu there was more issues to address than suala la google . I just put there suala la google as an indication on the first impression other people have on her.

Of course, kwenye mambo ya entertainment it all comes down personal choice ya mtu mwenywe. Hata hivyo, kuna watu ambao wako universally regarded as talent kwenye fani zao. Kwangu Angelina is OK. Simweki kwenye category ya greatest actress.

Kwangu namwona kama mwanamke ambaye ni very popular zaidi kwenye media na watu kwa sababu ya uzuri wake kama alivyo mumewe ambaye nae is OK kwangu. Media ndio inayowafanya waonekane talented but in actual sense they just popular.

Umesema wewe na football hamuivi but you must have heard David Beckham. He was probably one of the most popular footballers in the world, but there is no way he can be regarded as on of the most talented players in the world.

Mechi ipi unaulizia? zilikuwepo nyingi

EMT... What can I say Pal? Naomba basi tukubali to me Angeline is better kwako Julia hadi pale tutapoweka pole ya nani zaidi....lol

David Beckham hata isingekua mpira ningemfahamu thru Posh....lol Hivi one of the most talented ni nani? Mess? (maana I hear this name asije akawa ni referee....lol)

I don't know... kwani mechi ipi kwako ilikua muhimu leo?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Halafu kwa mbali anafanana na Kerry Washington...

Kwa mbali saana.... huyu mzuei kuliki Kerry, tena Kerry sometimes lips zake hu appear kama zimemzidi ukubwa...lol Ila I love her acting though sidhani kama nimebahatika kumuona more than 8 movies.....
 
Mkewe anaitwa Nicole Ari Parker

images
Nicole, not Monique. I knew it was a french name... huyu ni actor mzuri, but too bad, I have never seen her in a movie. She has specialised in black american series I think. and she often acts with her hubby.
 
EMT... What can I say Pal? Naomba basi tukubali to me Angeline is better kwako Julia hadi pale tutapoweka pole ya nani zaidi....lol

David Beckham hata isingekua mpira ningemfahamu thru Posh....lol Hivi one of the most talented ni nani? Mess? (maana I hear this name asije akawa ni referee....lol)

I don't know... kwani mechi ipi kwako ilikua muhimu leo?

Julia alikuwa mfano tuu but sikumtumia kama kipimo cha kumpima talents za Angelina. In fact there are more talented actress than Julia.

Kuhusu mpira, Messi yuko talented. Lakini kwenye mpira huwa hawangalii talents tuu but what have you have in the cupboard as well hasa kwenye timu yako ya taifa. He has won many cups with club but inapokuja kwenye timu yake ya taifa bado sana. But he is heading there bearing in mind is only 24 four. Kwa sasa he is the best.

Mechi huwa naangalia zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Tuyaache haya maana nikikuambia kuna mtu kafunga hat trick, nitakuwa nakuzengua bure. :)
 
Everything in bold has nothing to do with this thread. unachakachua mada ya Alter, utapigwa ban...:cool2:
 
Mie niliulizwa na mwenye thread, nikamjibu. Ulitaka nikamjibie wapi? Au ulitaka niuchune ili udai tena nimeishiwa points? Inaonyesha kama kungekuwa na uwezekano wa kuhamisha posts (sio thread) lazima ungekuwa umeshahamisha post yangu kitambooo. Ila admin office sikanyagi hata kama Angelina atakuwepo. Ni mimi wa hapa hapa.
 
Uwezekano huo upo. nihamishe wapi? michezo?
I was just kidding, najua AshaDii mwenyewe ndie queen wa kuchakachua. :)
 
You have watched original sin ... !! Im sure you can give some summry ... wil prompt me to watch it!!

you are very right! original sin ni kiboko. may be kwasababu ya kolabo na banderas. Basi wakaka tunakodolea na denda la lips za jolie na najua wadada shanga huwa zinakatika zenyewe mkimuona Antonio Banderas!

Mimi bana muvi za Angelina na Halle Berry nikiangalia naconcentrate zaidi kwa hawa maactress kuliko theme ya muvi yenyewe, nakumbuka ile taking lives nilipoangalia pale jamaa anamfaudu Angelina nilikaa dakika nne nzima bila kupepesa jicho wala nywele, hii hata wanasiasa wetu hawawezi.

Katika muvi nilioimaindi ya haka kaschana ni The Tourist
 
Julia alikuwa mfano tuu but sikumtumia kama kipimo cha kumpima talents za Angelina. In fact there are more talented actress than Julia.

Kuhusu mpira, Messi yuko talented. Lakini kwenye mpira huwa hawangalii talents tuu but what have you have in the cupboard as well hasa kwenye timu yako ya taifa. He has won many cups with club but inapokuja kwenye timu yake ya taifa bado sana. But he is heading there bearing in mind is only 24 four. Kwa sasa he is the best.

Mechi huwa naangalia zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Tuyaache haya maana nikikuambia kuna mtu kafunga hat trick, nitakuwa nakuzengua bure. :)

I really want to be a soccer fan..... I am seriously considering opening up a thread nielekezwe... niwe conviced about what soccer is really about na ni terms gani nijue na team gani nishangilie.....lol

Hio ya kufunga hat trick ndio iko vipi? :peep:
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mimi bana muvi za Angelina na Halle Berry nikiangalia naconcentrate zaidi kwa hawa maactress kuliko theme ya muvi yenyewe, nakumbuka ile taking lives nilipoangalia pale jamaa anamfaudu Angelina nilikaa dakika nne nzima bila kupepesa jicho wala nywele, hii hata wanasiasa wetu hawawezi.

Katika muvi nilioimaindi ya haka kaschana ni The Tourist

Klorokwini huishi nichekesha wewe..... I bet the people who surround you hua wanaku Miss usipokuwepo. Kwa hio kwa maana nyingine hata ukiangalia movie yake huwezi simulia story ila pose zake picha nzima? lol

Hata mimi napenda the Tourist.... it was superb but imepoa kinamna.
 
Kuna filam moja amecheza nyuma ya mlima kilimanjaro kwa upande wa kenya nzuri sana, tena wanaongea kiswahili ujue huyu dada ni noma.....! Ni picha yenye lugha ya kiswahili ndani yake.....!

hellow wana jf...

leo nipo upande wa an actress anjeline jolie wa holly wood of whom i love too.
Naona ni moja wa actresses mwenye uwezo mkubwa sana kuigiza na huweza cheza
nafasi yoyote ile vilivo. Haijalishi ni nafasi gani na she can do it... Hio hunifanya nisake
movie zake kwa udi na uvumba. Do your share my like/love of her?? If yes picha
zake zipi kwako wazipenda? Scene gani? Quote gani? Nafasi gani wapenda zaidi?
Na movie gani bora zaidi kwako? Alochemka? Na the like.....

among the movies i love :

beyond borders
salt
mr. & mrs. Smith
challenging
original sin
the bone collector
taking lives
the mighty heart
na nyingine nyiingi.....

pamoja saana.

Ashadii.

Back
Top Bottom