The best leaders ever in Tanzania

Lowasa is the best, not sure about Mrema

Alianzaia ukurugenzi AICC akakwapua fedha za World Bank kwa ajili ya ujenzi wa barabara za wakazi wa AICC. Njoo jionee barabara zilivyo AICC kijenge kwa sasa. Yaliyojiri baada ya hapo unayajua.

Ni adict wa utajiri asiyejali mstakabali wa wananchi ambao wamejisalimisha kwa uongozi wa watawala kwa kutegemea watagawiwa sawa raslimali za taifa.

Kashfa alizo nazo pamoja na mkulu wa kaya ndicho chanzo ambacho wote tunashuhudia kipindi cha maumivu, magumu na machungu ya maisha katika nchi yetu. Kwa msingi huo una maana JK pia ni the best leader ever in tanzania.

Ni mzandiki, mnafiki aliyejivisha ngozi ya kondoo wakati yeye ni chui mawindoni (Urais) kwa gharama yo yote ili akwapue.

Ushauri

Ungeweka vigezo/viashilia vya "best leaders ever" in tanzania tungeweza kufikia mahali tukawa na muafaka.

Kwa vigezo vya uadilifu, utendaji wa kimaslahi kwa taifa hao wote Mrema na Lowasa ni janga la taifa huwezi kuwalinganisha na Sokoine wala Mwinyi
 
amakweli nabii kwao hupigwa mawe. Bora kumfadhili punda kuliko mtu asie jitambua.

Nimejaribu mara tatu kupost jibu langu mtandao unagoma. Sijakata tamaa.

Nabii mpuuzi anayejulikana kwao lazima atapopolewa na mawe. Fadhila ni utumwa kwa asiyewajibika. Lowasa na JK wanajificha nyuma ya fadhila kutimiza mambo yao. Ndiyo maana tunashudia magumu, machungu, makali ya maisha ambayo hayawahi kutokea katika historia ya Tanzania. Ni mifano mibaya ya uongozi wa kibinafsi usio na maslahi ya wananchi na nchi yao.

Tulikwisha ua kujenga viongozi kutokana na hila za uongozi tulionao baada ya JKN
 
dr. Augostino lyatonga mrema na edward ngoyai lowasa, ni miongoni mwa viongozi ambao, wamefanya mambo makubwa yanayo waletea watanzania manufaa mpaka sasa.

1. Dr. (phd) mrema ndie alieneza vituo vya polisi nchi nzima kwa siku saba tu, bila bajeti wala tume au blaa blaa za wataalamu wowote. The best qoute of lyatonga " c c m sio mama yangu, c c m sio baba yangu............"

2. Leo hii watoto wote wa walala hoi, angalau wanapata fursa ya kufika sekondari, washindwe wenyewe.
mnyonge mnyongeni haki yaki mpeni. Nadhani mpaka sasa watanzania mmesha jua ukweli kuhusu richmond. The best quote of ngoyai " nimedhalilika sana,.........................................."


shule feki za kata na mkataba wa city water? Nini mambo makubwa kayafanya mamvi!mtoa mada naomba majibu make mnapenda kuhongwa sana, u rae too cheap heee!au mkikaa vijiweni mnadanganywa na watu waliovuta chao mnabaki kuweweseka na ujinga wa mwizi kama huyu!tuambie kafanya nini nchi hii!au mnashindwa kutoutisha uongozi na ubabe!nakusubiri mtoa mada!
 
nimejaribu mara tatu kupost jibu langu mtandao unagoma. Sijakata tamaa.

Nabii mpuuzi anayejulikana kwao lazima atapopolewa na mawe. Fadhila ni utumwa kwa asiyewajibika. Lowasa na jk wanajificha nyuma ya fadhila kutimiza mambo yao. Ndiyo maana tunashudia magumu, machungu, makali ya maisha ambayo hayawahi kutokea katika historia ya tanzania. Ni mifano mibaya ya uongozi wa kibinafsi usio na maslahi ya wananchi na nchi yao.

Tulikwisha ua kujenga viongozi kutokana na hila za uongozi tulionao baada ya jkn

Acheni chuki binafsi, tuwahukumu watu kwa walio tufanyia, usituletee hadithi za muiba kuku kuuwawa, na wauza MADINI yetu na EPA kupewa dhamana.
 
Lazima watu wanaotuhjumu JK, EL, ALM, Rostitamu, Chenge na wanamtandao tuwachukie na kuwahukumu kwa waliotutendea kwa ubinfsi wao.

Unachefua jamvi kwa kufikiria kuwamwagia mchele kuku ili uwafanye kitoweo. Siku hizo shule si lazima za kata, watu wanajua matapeli wa kisiasa wanavyoenda, haswa hao niliowataja hapo.
 
Mbona vituo vya polisi vya mrema hamviongelei, enyi msio na fadhila. Mnataka mnunuliwe ugali ndio muone mtu ni kiongozi bora. Mtangoja milele. Sisi ugali tuna tafuta wenyewe. Tunacho taka ni maendeleo ya jumla.
 
Kama ni suala la kumtaja kiongozi na kusema amefanya nini mie nasema Mizengo Pinda kakomesha mauaji ya albino.
 
Back
Top Bottom