The best ISP in Tanzania

Kwa ujumla hawa jamaa wa TTCL wamezidiwa na wateja na sasa wanataka kuwapunguza kwa nguvu ila ni ujinga kupandisha bei, cha msingi ni kupata wapinzani wao ili wawachukulie biashara yote

WAPINZANI WAO WAPO NAO NI ZANTEL , UKIENDA MJINI KULE KATI KATI KUNA RAHA , CTV , ACEX NA WENGINE SEMA TU WENGINE WANAZIDIWA KATIKA MIUNDO MBINU NA VITU VINGINE AMBAVYO VIKO TTCL PEKE YAKE
 
PUNGU

AHSANTE KWA MCHANGO WAKO ILA KUNA MAMBO KIDOGO MIMI NITAPINGANA NA WEWE .

UNAPOSEMA TUWE NA BUNGE MBILI YA WASOMI NI WAO WENGINE FORM 4 NAKADHALIKA TUJIULIZE KWANZA HAWA WASOMI WAMEFANYA NINI KWA MAENDELEO YA NCHI KUNA MBUNGE MMOJA MFANO YEYE NDIO MWANZILISHI WA ethinktanktz.org WAKATI HUO 2001 AKAITUMIA HII FORUM KWA MASILAHI YAKE AKAPATA PESA ZA MISAADA KWA MRADI HUO LAKINI AKAJISAJILI YAHOO NA KIDOMAIN HICHO TU NA MBUNGE YUKO BUNGENI SASA HIVI NA NI MSOMO MZURI TU HUYU NAE TUMFANYE NINI ?

MIMI NASEMA HATA TUKIWA NA MAKUNDI KATIKA MABUNGE HALI ITAKUWA NI ILE ILE TU , WANUNGE WENGI , MAWAZIDI NA MANAIBU WAO WANAHISTORIA MBAYA HUKO WALIKO TOKA HATA WAKIFIKA HAPO BUNGENI HAKUNA WANACHOFNAYA ZAIDI YA KULALA NA KWANZA WENGI WANAKUJA PALE WAKISHASTAAFU KAZI ZINGINE HAPO INAKUWA KAMA KIJIWE TU .

TUNAOMBA MASUALA YA KITAALAMU NA KISOMI YAWAHUSU WASOMI KATIKA FANI AU SEKTA HUSIKA NA KAZI ZAO SIJULIKANE HATA KATIKA MITANDAO NA FORUM MBALI MBALI

SIO MSOMI ANAULIZWA UMEFANYA KATIKA KATIKA ICT NCHINI MWAKO ANASHANGAA HAJUI ALICHOFANYA HALAFU ANAJISIFIA YEYE NI GWIJI ANAJUA HILI NA LILE
 
..tukirudi kwenye mada!

..so far,in tanzania,the best is ttcl!

..wapo wengi[kwa yule aliyedhani hamna washindani!],ila wanatofautia kwa kiwango cha coverage,customer base na products!

..wapo iway,afsat,simbanet,africaonline,raha.com,bol,nk!

..wapo pia celtel,tigo,vodacom,zantel,na ttcl.

..lakini wengi wanatoa huduma mjini/mijini tu!hasa miji mikubwa!
 
Siasa za makampuni zisizo na mwelekeo

Nawaonya ndugu zangu jihadharini na kutafuta toka huduma kutoka makampuni yanayoendeshwa kisiasa au mtaingia mkenge.

Kampuni hizo ni pamoja na zile za simu ambazo unapotumia tovuti zinakuchaji kwa downloading na muda unaotumika badala ya kukuchaji kwa taimu tu.

Hawa ni bomu na hata hawajui biashara wanayoifanya. Ukitaka kuwajua niulizie kwa kunipia ile simu yangu mbovu ya TTCL!
 
Hapa inaonekana labda unatetea maslahi ya kampuni fulani. Kucharge kwa time is far worse than kucharge kwa kudownload. Fikiria mimi nikiingia hapa JF nikakaa masaa mawili nikisoma michango ya watu, sijadownload hata unit moja. Lakini kama wanacharge kwa time maana yake nimeshalipia masaa mawili.

Kucharge kwa time wanaokupendelea ni wale watumiaji mnaodownload masoftware, mavideo ma miziki. Kwa sisi tunaosurf web peke yake na kutuma na kupokea vi e-mail vya kawaida kucharge kwa time ni balaa na hakufai.

Nilishakaa masaa matano kwenye web nikajikuta nimetumia chini ya shilingi mia tano tu!! siri yake ni kuwa nilikuwa nimedownload kidogo sana kwani muda mwingi niliutumia kusoma a PDF document niliyoikuta humo.
 
Araway
Waweza kujiunga na Africa Online, wameanzisha Broadband service kama hiyo ya TTCL lakini wao wanacharge kwa mwezi, Kuanzia Dola 40 na 80 na kuendelea hawana limit za download, hata ukitaka kushusha dunia nzima utashusha tu. Try them.

Africa Online,wanatumia modem au wanatumia kitu gani?
 
wana jf naomba ushauri wenu! ni enternate connection gani mnatumia ambayo inaweza kuwa cheap zaidi na mimi nijiunge nayo? kwa sasa natumia ttcl mobile lakiniwao wamepandisha gharama kutoka sh 50 kwa mb adi 100 kwa 1mb. inaniwia vigumu kuweza kudawnload pages kwa wingi, mnaniacha sana mwenzenu.naomba kama kuna mdau anayeweza kunisaidia japo kwa ushauri nipo tayari kuupokea.
nawakilisha


Mheshimiwa vipi ulishapata pa kuunganisha mtandao wako?? Tujulishe nasisi huenda umepata ya bei nzuri with good speed! nasisi tunahitaji mkuu.

Kama hujapata jaribu na BOL ( Benson Online) pale opposite na ubalozi wa ufaransa, niliwahi watembelea wanasema wanatoa unlimited internet service for about Tsh 60,000/= per month, you pay in advance for three months 180,000/- and is wireless.
 
TTCL mimi binafsi nilienda kutaka wanionganishie internet nyumbani! nikajaza forms , nikachora ramani...wakasema they will call in a week (this was july 2008!!!)..hadi leo sijawasikia..kwa sasa natumia zantel..way more convenient...nawashauri muende huko...lakini kama kuna wadau wanajua dili nzuri zaidi please keep us updated coz the age of ict is here...we cant run!
 
TTCL mimi binafsi nilienda kutaka wanionganishie internet nyumbani! nikajaza forms , nikachora ramani...wakasema they will call in a week (this was july 2008!!!)..hadi leo sijawasikia..kwa sasa natumia zantel..way more convenient...nawashauri muende huko...lakini kama kuna wadau wanajua dili nzuri zaidi please keep us updated coz the age of ict is here...we cant run!


Zantel cost zake zikoje??
 
Hivi WiA wanatumia WiMax network from their base to clients?
www.wiatz.com


wiamax_diagram1.gif


Hizi technologies zinavyozidi kuwa nyingi zinanitia uvivu kweli.
Haitoshi ukimwambia mtu mtandao fulani unatumia 3G technology. Hawa service providers wana mbinu niziite danganyifu, wanapo-market service zao.

  • Ukiambiwa unlimited speed ujue kuna limit kwenye kiasi unachoweza ku-download kwa mwezi.
  • Ukiambiwa unlimited download, ujue speed ni ndogo. Na kama speed ni kubwa basi ujue ni "shared" (tatizo la shared ni pale wateja wao wanapoongezeka).
  • Ikiwa ISP anatumia V-SAT, usisahau kuuliza kuhusu upload speed - chances are that it is shared and may be undesirable to your needs.
Shared downlink or uplink should state the lowest speed you're guaranteed to have. Hii itakusaidia usijikute unalazimika kuhama ISP pale network yao itapoanza kuwa exhausted.


Hawa jamaa watatoa msaada kwa end users wakiweza kuitangaza na ku-maintain website yao:
www.africansignals.com
African Signals is a site dedicated to finding out and showing local rates for mobile phone and internet connections around Africa.
Vodacom (South Africa) wana:
WiMAX, 3G, HSUPA, HSDPA 1.8/ 3.6/ 7.2, EDGE, GPRS/ GSM
 
Last edited:
service internet kwa njia ya wireless toka CATTS-NET ni USD 250 kwa miezi sita.
 
Huduma ya Internet ya TTCL inaendeshwa kizamani mno, ukichelewa kulipia just for one day wanaikata na reconnection charges ni 25000/ mimi nimeikacha na sasa nipo Zantel, nenda Zantel modem ni 150000/ pay as you use the service, hakuna ubishoo wala nini mwanangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hi everyone
anyone using africa online the night package only?whats the speed like?any recomendations
 
kwa kifupi viongozi wa tanzania hufikiria very stupidly!!
wanadhani wakipandisha gharama za vitu kila kukicha ndio kukua kwa uchumi ...,au ndio sense of superiority..,au ndio kupanda kwa GDP!!mie nashindwa kuelewa kabisa yani hivi wanatumia ubongo au??

asilimia 70 ya consumer comodities tanzania ziko kwenye price range ya europe or even more!!!sasa najiuliza kitu kimoja...,does tanzanians earn more than europeans??

why the hell do we even try to compare??kuna tatizo gani kilo ya mchele ikauza shilingi mia moja??hata kama europe inauzwa sh 2000??
yani crude oil ikipanda 2% kale kacnhi ketu watu wanapandisha bei 100%!!why???

najua east africa hakuna internet/telecommunication backbone(which is under construction indian ocean) but why the hell do we go for expensive alternatives always???why??

hakuna sababu nyingine zaidi ya wizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom