Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Aisee Jew, nimefurahi sana kusikia tayari umeshafunga virago na unaelekea huko Bahamas. Nenda kazame kwenye mkondo wa Bermuda Triangle tuondokane na kero zako. Ishallah (God willing)!
kha hapa ni kumtakia mema kweli?