A arigold JF-Expert Member Jun 23, 2011 600 341 Nov 1, 2014 #61 kawatukana matusi mazito sana lakini kwa sababu akili zenu ni finyu mnaona mauza uza tuuu
Augustine Moshi JF-Expert Member Apr 22, 2006 2,554 1,382 Nov 1, 2014 #62 arigold said: kawatukana matusi mazito sana lakini kwa sababu akili zenu ni finyu mnaona mauza uza tuuu Click to expand... Tangu lini ukweli ukawa tusi? Jenerali Ulimwengu kaandika ukweli mtupu. Kumbuka yeye ni Mtanzania pia. Ili kujikomboa, ni lazima kukabiliana na ukweli wa hali halisi, hata kama ukweli wenyewe ni mchungu.
arigold said: kawatukana matusi mazito sana lakini kwa sababu akili zenu ni finyu mnaona mauza uza tuuu Click to expand... Tangu lini ukweli ukawa tusi? Jenerali Ulimwengu kaandika ukweli mtupu. Kumbuka yeye ni Mtanzania pia. Ili kujikomboa, ni lazima kukabiliana na ukweli wa hali halisi, hata kama ukweli wenyewe ni mchungu.