The battalions of idiocy are on the march in Tanzania, old haven of global intellectuals

Ooh poor guy, even the word obscure sends you to a lexicon. We have a big problem.
It was an example, there are more than one big word, which are very rare to use in our regular conversation.
That is a message, "its not about how much you know, it about majority of your listener to comprehend your message"
 
Jenerali you nailed it!!! Transparency!!! Hit the point, no blar blar!!! Ndo maana wanafanya kila njia eti wewe si wa kwetu!! Mbona akina Kinana si wakwetu na kina Mataka, na wengi tu? Wape ukweli wakitaka wanyoe nywele. Nchi iko pabaya!!
 
It was an example, there are more than one big word, which are very rare to use in our regular conversation.
That is a message, "its not about how much you know, it about majority of your listener to comprehend your message"
Remember 'jamii forum the home of great thinkers, where we dare to talk openly'
If for certain this forum is meant for the academic giant then language shouldn't be an issue in here.
Read the daily news and the like, you will find jenerali's sayings a rule of the day in such papers.
 
Remember 'jamii forum the home of great thinkers, where we dare to talk openly'
If for certain this forum is meant for the academic giant then language shouldn't be an issue in here.
Read the daily news and the like, you will find jenerali's sayings a rule of the day in such papers.
Dude! what is your argument here? did you copy me or not? english isn't an issue to me at all.
If you do attend many of professional workshop of speech writting/speaking, they discourage the use of big words period. No debate! it is what it is
 
Jenerali anawapiga bao wana JAMIIFORUMS bila wenyewe kujijua.

Siku hizi tumeishia na ushabiki wa CCM vs CHADEMA , Mwanajiji kaaandika weeeee ma articles mpaka naona kachemka.

Kuna thread ilianzishawa humu kuuliza intelligentsia wa wa TANZANIA wako wapi?

kila mmoja aliingia mitini

Yea, wewe pia ni mtu wa kuwakandia wengine kwa kuwa na ushabiki

Thread kama ile yako kuhusu Mwakymbe inadhihirisha our inteligence.

Ovyo sana: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...o-za-ufisadi-dhidi-ya-mwakyembe-pale-atc.html
 
Dude! what is your argument here? did you copy me or not? english isn't an issue to me at all.
If you do attend many of professional workshop of speech writting/speaking, they discourage the use of big words period. No debate! it is what it is

kwake yeye ni maneno madogo na ya kawaida. Makala haikuandikwa kwa ajili ya vilaza wa lugha bali mabalozi na wanaojua lugha. Gazeti lenyewe ni la KiingereZa. Anatuondolea aibu ya magazeti ya Kenya kununuliwa saana Bongo kisa poor English
 
Personally I think the real issue here is that Tanzanians have all the way lived in a life where by democracy was never exclusively practiced. Had it been practiced the area where is marked red would not be the reality we face. How could Tanzania have earned UNESCO award in achieving high literacy level in the seventies and still be counted as an illiterate nation today? The political system has much to answer to justify the state of affairs at this point and time. However, those of us who realize that the occult culture will get no one out of the messy situation to true holistic emancipation have a duty to accomplish. Let us show the way by doing otherwise despite our varied creeds, tribal or political inclinations as well as re assessing our moral fiber.
 
'The way out hapa ni kuiondoa ccm madarakani ili tuwe na a fresh start, ccm ndio wameharibu kila kitu kwenye hii nch. WAMEDUMAZA ELIMU, HIVI UNADHANI KAMA NCHI TUNAWEZA KUFANYA NINI BILA ELIMU??? Nchi zilizoendelea zinathamini elimu na utaalamu, sisi ndo kwanza elimu imejaa mizengwe. wasomi hawana thamani, tafiti zinatupwa kwenye dust bins. Mwanasiasa ndio kila kitu hata kama ni mbumbumbu wa darasa la saba.Yaani ccm wametufikisha kubaya saaana, lakini bado hatujachelewa. Tubadilisheni utawala. '

Binafsi ningependa si tu CCM iondolewe madarakani bali ifutwe na viongozi wake wote washitakiwe na kuhukumiwa kama Saddam Hussein wa Irak.
Hata hivyo, kwa suala hili la ushirikina nadhani dawa si kuindoa CCM bali kila mwanajamii, ashiriki kutoa elimu sahihi ya nini chanzo na suluhu kwa matatizo tuliyonayo, kama magongwa, umaskini,hasara na majanga.Tukianza sasa kuanzia ngazi ya familia hadi taifa, tutapunguza imani za kishirikina miongoni mwetu na kutatua baadhi ya matatizo na changamoto tulizonazo.
Hili si suala la kikabila, kieneo, kisiasa,kidini au 'level' ya elimu kwani uzoefu unaonesha watu wa aina na hali zote wanashiriki na kufuata imani za kishikina kwa wakati mmoja au mwingine.Mfano mzuri ni wasomi na wafanyabiashara na maofisa wa ngazi tofauti jinsi wanavyomiminika kwa masangoma kwa uwazi au kwa kificho.
Hili ni janga la kitaifa kuliko ukimwi.
Asalaam aleykum.
 
lazima uwe kama mkuu wa kaya ndo unaweza cheka. laki kwa mtu makini haya ni makala ya kufikirisha na kutafakari kwa kina na yanatia huzuni.
 
lazima uwe kama mkuu wa kaya aka"dhaifu" ndo unaweza cheka. laki kwa mtu makini haya ni makala ya kufikirisha na kutafakari kwa kina na yanatia huzuni.
It is a serious issue no doubt, but the satire is on those who are supposed to implement a better education system for their people to improve their reasoning abilities, whilst those same individuals are the ones who do not understand the importance of this in the first place apparently.

The joke is explained in their irrational believes (if someone has those kind of believes clearly he isn't educated), what chances do the social have in terms of expecting a better education policies from these leaders. If you understand the premise from the beginning the joke is elaborated all the way to the end.
 
Georgeallen umemuonea fitinamwiko. Nadhani anachomaanisha ni kwamba mwandishi anapaswa kuwaandikia wasomaji badala ya kujiandikia au kuonyesha anavyoujua umombo. Makala ni nzuri ingawa lugha iliyotumika haiwavuti wasomaji zaidi ya kuwafukuza. Nani anataka kusoma akiwa amepakata kamusi ya kiinglishi? Nashukuru baba yenu sijavunjika mbavu zaidi ya kutafakari.
 
Back
Top Bottom