Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,108
Habari wadau, samahani naomba mnisaidie kwa hili kwa wanaojua ama kama kuna aliyewahi kushiriki.
Mwaka 2008, kulikuwa na show moja ya TV apprentice Africa, niliipenda sana hiyo show na nilitamani pia kushiriki lakini sijawahi kusikia wala kuona nini kiliendelea baada ya 2008. ningependa kujua namna ya kushiriki na what is going on with, nilipenda the show was full of entrepreneurial skills, naomba mwenye kujua anijuze nitashukuru sana
Watanzania tunahitaji vipindi vya namna ile kwa wingi sana