Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Drc congo umaskin umesababishwa na mataifa ya ulaya kwa kutengeneza vta ila waibe dhahabu...tanzania ni rushwa na uongoz mbovu
We are not doing enough as a nation.GDP yetu iko chini sana na hatuwezi kupiga hatua bila kuangalia policies zetu upya.Purchasing power iko chini sana sana.Tuna population kubwa lakini imefukarishwa(impoverished).Purchasing power ya potential consumers iko chini ni lazima sera zetu zilenge kuathiri vipato vya households