aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,630
- 3,578
Huwa nawashangaa sana watanzania wanaofurahia kuiona Tanzania iko katika hali mbaya.
Mkuu huku wao wanagawana posho kwenye maandamano
Huwa nawashangaa sana watanzania wanaofurahia kuiona Tanzania iko katika hali mbaya.
Mkuu huku wao wanagawana posho kwenye maandamano
Mleta mada amei-misplace, ukiingia kwenye source aliyoitoa, Somalia unaikuta kwenye # 5 na GDP $631.87hizi tatwimu bana eti somalia ambako miaka kibao ilikua inaenda bila hata serikal wala shughuli yeyote ya uzalishaji nayo haimo.
Wikipedia wanatumia secondary data (from different sources), so wao kutokuwa credible kunategemeana na kule walikochukua!! Na ndio maana katika maandiko yote ya Wikipedia, lazima chini utakuta wameorodhesha a series of their sources.Wikipedia sio credible source mkuu.
Halafu kuna wapuuzi hapa Jukwaani hawaoni jitihada zinazofanywa na serikali ya CCM.
#Bungeni Leo tunajadili Bajeti ya Wizara ya Kilimo. Waziri kaomba tshs 333bn tu Kwa ajili ya Wizara yenye kuhusisha zaidi ya 70% ya Watanzania. Bajeti ya Kilimo ni 1.8% tu ya Bajeti nzima ya Serikali. Tunajua kuwa Umasikini wa Watanzania upo vijijini na shughuli yao kubwa ni Kilimo. Hata hivyo tunawezaje kuondoa umasikini wakati sekta ya watu Masikini haijaliwi kabisa? Jana #IMF na #BenkiYaDunia wametoa Global Monitoring Report ambayo inaonyesha kuwa Tanzania Ni nchi ya pili kutoka mwisho kwa umasikini katika nchi za EAC, ikiishinda Burundi tu. Taarifa inasema 68% ya Watanzania wanaishi chini ya dola 1.25 Kwa siku chini ya Rwanda 61%, Kenya 43% na Uganda 38%. Ni dhahiri kwa bajeti za namna hii katika Kilimo umasikini, ufukara, udhalili wa maisha utaendelea kuwakumbatia Watanzania.
Halafu kuna wapuuzi hapa Jukwaani hawaoni jitihada zinazofanywa na serikali ya CCM.
Halafu kuna wapuuzi hapa Jukwaani hawaoni jitihada zinazofanywa na serikali ya CCM.
Huwa nawashangaa sana watanzania wanaofurahia kuiona Tanzania iko katika hali mbaya.
Country | GDP Per Capita | |
1 | Congo | $347.45 |
2 | Zimbabwe | $349.61 |
3 | Burundi | $407.73 |
4 | Liberia | $440.66 |
5 | Somalia | $631.87 |
6 | Niger | $687.02 |
7 | Central African Republic | $788.00 |
8 | Eritrea | $795.20 |
9 | Sierra Leone | $820.04 |
10 | Malawi | $906.65 |
11 | Afghanistan | $949.00 |
12 | Togo | $983.25 |
13 | Mozambique | $989.88 |
14 | Madagascar | $1,000.77 |
15 | Nepal | $1,013.43 |
16 | Ethiopia | $1,057.45 |
17 | Guinea | $1,061.91 |
18 | Haiti | $1,108.55 |
19 | Mali | $1,136.27 |
20 | Rwanda | $1,137.06 |
21 | Guinea-Bissau | $1,167.66 |
22 | Burkina Faso | $1,275.19 |
23 | Uganda | $1,311.32 |
24 | Bangladesh | $1,384.53 |
25 | Tanzania | $1,440.68 |
Unajua currency ya Somalia ina thamani kuliko ya Tanzania na Burundi? Usiwadharau
Umepata stroke kichwani bila shaka...a normal human being cant contribute this way!
Halafu kuna wapuuzi hapa Jukwaani hawaoni jitihada zinazofanywa na serikali ya CCM.
Country
GDP Per Capita
1
Congo
$347.45
2
Zimbabwe
$349.61
3
Burundi
$407.73
4
Liberia
$440.66
5
Somalia
$631.87
6
Niger
$687.02
7
Central African Republic
$788.00
8
Eritrea
$795.20
9
Sierra Leone
$820.04
10
Malawi
$906.65
11
Afghanistan
$949.00
12
Togo
$983.25
13
Mozambique
$989.88
14
Madagascar
$1,000.77
15
Nepal
$1,013.43
16
Ethiopia
$1,057.45
17
Guinea
$1,061.91
18
Haiti
$1,108.55
19
Mali
$1,136.27
20
Rwanda
$1,137.06
21
Guinea-Bissau
$1,167.66
22
Burkina Faso
$1,275.19
23
Uganda
$1,311.32
24
Bangladesh
$1,384.53
25
Tanzania
$1,440.68
Poorest Countries by GDP Per Capita | Statistic Brain
Hapo ndipo serikali ya CCM na waungaji mkono wake wanapokuwa kama kobe hawataki kuuona ukweli hata kama kila kitu ni dhahiri kabisa.
Hakuna uhalali wa hii nchi kuwa katika hali ya umasikini iliyonao kwa miaka yote hiyo tangu uhuru. Vinginevyo mniambie tofauti ya wakoloni wa Kiingereza na CCM ni nini?
500K USD ndo maana yake nini?
500,000 USD Per Capita?