The 10 most beautiful East Coast female radio presenters

Nakupa the benefit of the doubt kwa sababu tu conventional wisdom has it that; "Beauty is in the eyes of the beholder" otherwise take 2 out of 10!!!
 
Sara Dumba DC sijui wilaya gani vile?

Bonge la mtangazaji mzoefu halafu ana sauti ya kinanda vile. Mwaka 1990 nilikuwa kijijini nasikiliza redio ndogo kama simu ya mshindi, sarah alitangaza vizuri sana, wakati huo hata wale waliokuwa Dar hapakuwa na Television, nao hawakuona kitu except kusikiliza radio.

Labda kwa wale waliokwenda kuona live!
 
haiya, wacha nijaribu ku demistify hii uwongo huwa mna peddle yakuwa Kenya hamna warembo.. sijui kupost picha lakini acha nijaribu

View attachment 62696View attachment 62694View attachment 62695

wengine happa, ilikuwa kwenye anniversary ya skylux club mjini nairobi, picha ni za kwenye mtandao

View attachment 62698View attachment 62699View attachment 62700View attachment 62701View attachment 62702View attachment 62703View attachment 62704View attachment 62710


Haiya, watoto wa watu warembo.

Smatta hamna kitu hapo bado ni yale yale! ...
 
Ha ha ha wajameni kuna wanawake wazuri sio wote wabaya kihivyo ila mi namkubali Cyntia Anyango wa KBC ana sauti na kasura kazuri wajameni kha!
 
Kuna dada mmoja huwa yuko Citizen habari saa tatu usiku kweli ni murembo...
Kwanza yuko smart sana ..pili sauti nzuri ,tatu ni mrembo
 
Kwenye TOP presenters nilitegemea wangejaa Waganda na WATZ.Kenya madem wazuri ni wa kutafuta na hili halina ubishi.Hao wadem waliowekwa hapa ni wa kawaida mno
mkuu kichwa cha habari kinasema hivi "The 10 MOST Beautiful East Coast Female Radio Presenters"
 
kwa kenya in general hakuna 'mademu bomba' yaani kama wale tuliowazoea hapa dzm kuanzia face, shingo inaendana na mabega, mgongo, kiuno, mapaja ,miguu, pozi na mwendo vinaendana

Anaweza kuwa na sura nzuri lakini kuanzia kiunoni kwenda chini hakuna kitu, mara nyingi wanakuwa wamekaa upande.

Nipo Nairobi Nimejaribu kutafuta mapigo ya dzm hata mchana kweupe bado sijapata kabisa! natajaribu kutembelea vyuoni wiki endi hii labda nitapata kitu moto...
 
Kuna dada mmoja huwa yuko Citizen habari saa tatu usiku kweli ni murembo...
Kwanza yuko smart sana ..pili sauti nzuri ,tatu ni mrembo
Jamani kuna turbo moja pale NTV jamani jamani si mchezo hilo ni double diff inahitaji scania 110 kuvuta na si vi landrover
 
Weka picha yake kama unayo tuthaminishe.
Kaka sinapicha yake ,ila nunua king'amuzi uangalie NTV hasa kwenye taarifa ya habari ya saa tatu usiku, utasuzika na roho yako, pia ninachohusudu ma she wa Kenya kwao neno MKOROGO/KALALAITI ni msamiati
 
Beauty is in the eye of the beholder, yeey
And you don't know King Kong wife, she no idiot
- Shaggy and Rayvon (Big Up)

Kwa hali hii nadhani they meant "beer holder" maana one needs to be drunk kwanza ndio uzuri utokelezee. Lol
(It's a joke, they are beautifu and I'm sober)
 
Ndio maana wanaume zao wakijaga bongo wanadata! Kwa kweli kenyans are so normal!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom