Thats why?

Ijuganyondo

Member
Jan 13, 2011
62
1
Jamani wanajf nimerealize kwanini mwl.nyerere alimkatalia kikwete kuwania urais 1995 pale chimwaga,mwl.aliona mbali, hv ingekuwaje kama mkwere angeshika nchi tangu enzi hizo?
 
Soma CV ndo utajua.
why alitolewa ukuu wa mkoa ktk chama na kupelekwa mikoa ya kusini ktk ngazi ya wilaya
 
mmmh!tena alitupwa hko pande za nachi...ila kwa sasa jamii ishaelemuelewa mwalimu kwa yale maamuzi ya 95
 
Back
Top Bottom