That painful feeling of being ignored!!!

Ukiwa ignored jiulize kwa nini mie nakuwa ignored badala ya kuwa ignore watu?
 
Ukiwa ignored jiulize kwa nini mie nakuwa ignored badala ya kuwa ignore watu?

Ukifanya hivyo, unaweza end up kwenye depression! The best way ni kumtafutia makosa anayekuignore ili umuone hana thamani!
 
Sasa si nataka wajue, nisipo waambia
wanaweza dhani I don't care. Lol
How are you lakini? Umepotea JF kiaina...
you should have more birthdays per year. lol

ha haa haa really?
how many b days?
 
Siku ya Brithday yako ulikua so active online...
Maybe one every week hivi, tukuone that active. lol
BTT:Inauma kua ignored wewe, asikwambie mtu.

nimegundua
a lot of time tunahisi we are ignored
but sio kweli
ni hisia zaidi
 
nimegundua
a lot of time tunahisi we are ignored
but sio kweli
ni hisia zaidi
That is what Vanilla is suggesting hapo juu...
But sometimes pia mtu alie kua anajali sana
ghafla anaweza shusha kiwango cha attention
Unabaki kujiuliza kama wewe ndio umekua demanding
Au kama kweli amepoteza interest na wewe...
I am not talking about love relations peke yake
Sometimes hata a friend, a sister/brother etc.
 
yes
na mwingine ana sababu zake
hataki kusema
usipomuuliza ndo basi tena
na ukimuuliza mpaka ubembeleze hadi mwisho

halafu anakuja kukwambia eti
'nilikupigia simu hukupokea juzi'
dah kumbe wewe hukuona hata missed call....
 
Hahahahaha, hii inanikumbusha ile thread yako
about watu wanao susa na kununa bila sababu.
 
yaani mimi ni very careless with phone
so napata lawama often....
Kama kweli you care basi anza kubadilika sasa.
Hata mimi sim sio sana kiiiiivo. zamani ye, but now...
Kuna kipindi I had a friend, hadi 200 sms/day
wakati huo hamna cha BB wala nini, ni live sms
Ila leo naweza toka for hours nikaacha sim.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom