That moment....

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,997
Asalam Aleykum, [Shalom]

Katika maisha kila tuendapo/ tuwapo --> iwe shuleni, nyumbani, kanisani, msikitini, kwenye semina, (fb, thlr, twt, jf...)}social forums na kwingineko;

Tumeshauriwa na kufundishwa kukumbatia mtazamo chanya (embracing positive attitude and opinion) na pia kujifunza kuendelea kuishi baada ya misukosuko ya maisha kutukumba (the art of moving on). Hata kumekuwa na msemo ambao nimeupenda sana,
'Life is like a bicycle-to maintain the balance you have to keep moving '

Sasa, wengi tunapopigwa chini/ kibuti/ kumwagwa/ kupewa cha mbavu...huwa tunajitahidi kuficha mitazamo yetu kuhusu tukio zima kwa watu wengine. pengine tunajaribu sana mpaka sisi wenyewe tunakuwa hatujui sababu zilizopelekea kitendo hicho wala kuzianalyse kujua wapi kwenye mapungufu turekebishe hata kufikia sehemu mtu ana idadi kubwa sana ya kukataliwa then anahisi amelogwa.

Pamoja na hayo ukweli ni kwamba mtu akikataliwa self esteem huathirika sana! na kuendelea kupuuza hukufanya 'psychologically' ujishushe sana subconsciously (bila kujijua)...

Ndio maana utaweza kumuona msichana mzuri, kavaa vizuri sanaa na yuko juu intelectualy but cha ajabu ukionyeshwa anavyojihisi inside utashangaa! kumbe ni maneno tu wanaume wasiokuwa na decency wamemropokea!

Hali kadhalika mwanaume anaweza kujiona hafai hata akaenda kumuoa msichana ambaye hawaendani simply because ndiye aliyemkubali bila shida (kumbe wengine walimkatalia tu simply because alitumia approach mbaya kwenye kutongoza)

Ila at the end of the day, don't you just love it when someone aliyekukataa anarudi kukubembeleza muwe pamoja? Yani hata kama huna mpango wa kurudiana naye U wont want to miss this moment kwa kweli!

Kama ni mdada hapa atalazimisha sanaaa umtongoze na wewe unafanya hivyo ukijua amekwisha juu yako kumbe anataka akupige chini ili the triumpant smille ije on her lips!

Sadly we live in this world now because of the pride we embraced since then... Good day fellas
 
Asalam Aleykum, [Shalom]

Katika maisha kila tuendapo/ tuwapo --> iwe shuleni, nyumbani, kanisani, msikitini, kwenye semina, (fb, thlr, twt, jf...)}social forums na kwingineko;

Tumeshauriwa na kufundishwa kukumbatia mtazamo chanya (embracing positive attitude and opinion) na pia kujifunza kuendelea kuishi baada ya misukosuko ya maisha kutukumba (the art of moving on). Hata kumekuwa na msemo ambao nimeupenda sana,
'Life is like a bicycle-to maintain the balance you have to keep moving '

Sasa, wengi tunapopigwa chini/ kibuti/ kumwagwa/ kupewa cha mbavu...huwa tunajitahidi kuficha mitazamo yetu kuhusu tukio zima kwa watu wengine.....

Sadly we live in this world now because of the pride we embraced since then... Good day fellas

Hapo penye bold nyeusi nakubaliana na wewe kwa asilimia mia! Ila hapo penye red, huwa ni vigumu sana mtu kuchukulia poa kutegemea na ni kwa level gani mpigwa chini alii-invest moyo wake kwa huyo aliyempiga chini baada ya kudanganywa, na ni miaka mingapi na resources kiasi gani amezitumia kwa kipindi chote hicho alipokuwa na huyo aliyempiga chini ...

Ni muhimu sana, watu tujitahidi sana kuwa wakweli ktk mahusiano ili kumfanya mwenzi wako ajue hatma ya uhusiano mlio nao ili kukwepa pata shika kama hizi! Natamani kama watu wote tungekuwa transparent kwa kiasi hiki huenda migogoro ya mahusiano ingepungua sana!
 
Well said Pet Cash, nitarudi kuchangia kesho; now l am deadly tired.
 
Back
Top Bottom