Thanx God Its My B/Day

IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,455
7,363
Ooooh My God!...siku kama ya leo nikitokea sehemu fulan nilikuja hapa duniani kutalii na kujikuta nalowea,...nimewakuta watu wakarimu na wakorofi pia,wazuri na wabaya,...ol in ol ni hawa watu niliokutana nao ndio walionifanya niweke makazi kwa muda mrefu otherwize ningekua nimerudi kwa hiari yangu ama ningerudishwa kwa nguvu kule nilikotoka.

Na hili nalisema kutoka moyoni......NAWAPENDA WOTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE TENA SAAAAAAAAAAANA.
 
Happbirthday to you, May you have the very Wonderfull Times Forever and Ever.
RG.
 
Happy birthday to you
happy birthday to you
happy birthday dear igweeeeee
happy birthday to youuuuuuu

usisahau kwenda kutoa sadaka ya shukrani kwa mola wako.
 
Happy Birthday Igwe! Nakutakia maisha marefu na yenye mafanikio! btw, hii 'mvua' ya ngapi:lol:?

235010%252525252Cxcitefun-happybirthday574.gif
 
Happy birthday broda!IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!Mungu na akujalie umri mrefu na maisha yenye mafanikio na furaha tele.
 
Happy birthday to you
happy birthday to you
happy birthday dear igweeeeee
happy birthday to youuuuuuu

usisahau kwenda kutoa sadaka ya shukrani kwa mola wako.
asante kwa kunikumbusha mpendwa wangu
 
Back
Top Bottom