Thanks Sugu and Antivirurs crew

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,891
11,288
Sasa tunasikia tena akina sele, necha, feruz, na wenzao wote ambao walikua wanabaniwa

Clouds are doing this expecting kukomesha vinega, unfortunately, wanatekeleza ilani ya vinega

SAFI SANA VINEGA NA SAFI SANA CLOUDS KWA KUOGOPA VINEGA NA KUTII AMRI BILA KUPENDA

Evil deed is always scared and pretend to act positively = that is exactly what clouds are doing, kulamba matapishi in the name of old school
 
Hehehehhe, wanafuata matakwa ya VINEGA bila kujua wanafanya hivyo. Big up kwa wale wote walio/wanaosupport vinega kwasababu wao hawapo kwa nia ya kunyonya bali kwa nia ya kusaidia. Na matokeo ndo hayo yameshaanza kuonekana.
 
Na hilo ndo lengo la VINEGA. Zamani ilikua ili nyimbo zako zipigwe lazima umhonge anaye endesha kipindi. Lakini sasa hivi unapeleka CD yako na inapigwa hadi inaingia top 20 bila kutoa chochote. hadi mwakani watakuwa wamenyoka hawa clouds. Mia
 
yani leo majority ya nyimbo za vijana wa kibongo ni zile za kipindi....... akina necha, prof J, mchopanga, sele,

what an impact from vinega

unbeliveable jinsi dharau na mabadiliko vinavyoweza ku-swap position kirahisi mno

big up VINEGA!! I MEAN THIS

KUDOS

KUNA MABADILIKO CLOUDS NA WATAKAOUMIA NI UNDERGROUNDS
 
Sasa tunasikia tena akina sele, necha, feruz, na wenzao wote ambao walikua wanabaniwa

Clouds are doing this expecting kukomesha vinega, unfortunately, wanatekeleza ilani ya vinega

SAFI SANA VINEGA NA SAFI SANA CLOUDS KWA KUOGOPA VINEGA NA KUTII AMRI BILA KUPENDA

Evil deed is always scared and pretend to act positively = that is exactly what clouds are doing, kulamba matapishi in the name of old school

Bahati mbaya hao kina sele, nature nk ambao sasa hivi nyimbo zao zinapigwa na clouds (kwa hisani ya vinega) hawajui (kwa makusudi ama bahati mbaya) kuwa hayo ni matokeo ya harakati za sugu na vinega.
 
Haya ni mafanikio makubwa sana ndani ya muda mfupi..........
Wamebana sasa wamelegeza......hakuna haja ya kuoanua, zinapita zenyewe...
 
Bahati mbaya hao kina sele, nature nk ambao sasa hivi nyimbo zao zinapigwa na clouds (kwa hisani ya vinega) hawajui (kwa makusudi ama bahati mbaya) kuwa hayo ni matokeo ya harakati za sugu na vinega.
uko sahihi kabisa mkuu

ila kuna siku wataelewa
 
mtu kama sele bado simwamini kabisaaaaaaaa
yule jamaa ni kinyonga bana leo yupo hivi kesho yupo vile hafai na aogopwe kama ukoma,maana aloyoyasema akiwa moro juu ya mawingu nisingetegemea kumwona pale tena,

Hongera SUGU na jamaa zako,ipo siku tu watakuja lamba miguu yako
 
Back
Top Bottom