Thanks God...............

well, well, well.. naona umeshaingia kingi tena, siku nyingine akikutenda usije kunisumbua kununua matishu ya kukufuta machozi. Sawa mama?

hatabiriki huyu.....kwanza nina mpango wa kummimina mazima......halafu umeniuzi.....
 
kale kameshiba, kameenda kulala. Huyu mwenzake anahitaji concern yetu aisee.. Save the children!

sawa bana.....ila kale nilikuwa nakapenda kweli.....
unifikirie kwenye hilo tafadhali....
 
hatabiriki huyu.....kwanza nina mpango wa kummimina mazima......halafu umeniuzi.....

Nani hatabiriki?......bebi unataka kunitema kisa fitna za TANMO?..ujue tumetoka mbali sana mimi na wewe..na bado tunaenda mbali sana..plz usifanye hivyo...
 
DARISALAMA NDO MNAONGOZA KWA VALENTINE DAY. mnajiona wazuungu kuliko wazungu wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom