Thanks God for Giving us Kikwete

He is being praised because other presidents didn't do their duties! they were protecting and encouraging ufisadi!!!
 
Asante Rev. Kishoka,

Nimekuelewa (by The Way Suti Yako Nzuri Kwenye Picha Yako Hahah!) Ninaweza Kuongezea Kitu Kwa Kutoa Mfano Wa Kwenye Biblia. Kaka Zaku Yusufu Au Joseph Walimuuza Mdogo Wao Wakijua Hafai Yaani Hawezi Kuwasaidia Kwa Lolote Lakini Aka-end Up Kuwasaidia Wao Wakati Wa Njaa.

Kwa Kutoa Mfano Huo Nilichokuwa Nataka Kusema Ni Kwamba Kikwete Kweli Anaonekana Sio The Best Katika Position Hiyo Ya Uraisi Ila Ndio Hivyo Alichaguliwa Kama Ambavyo Yusufu Kaka Zake Walimuuza Kwa Kumuona Hawezi Kuwasaidia, Lakini At The End Of The Day Ndioo Hivyo Kikwete Mambo Yanamwendea Out Of Control Na Ndio Mambo Ya Mafisadi Yanakuwa Waziwazi, Kama Yusufu At The End Of The Day Aliwasaidia Kaka Zake Kwenye Njaa.

Wote I Mean Kikwete Na Yusufu Walionekana Hawafai Lakini Mwishoni Wanageuka Kuwa Msaada. Kwa Hiyo Nita-end Up Na Kusema Thanks God For Giving Us Kikwete.
 
Last edited by a moderator:
You guys, we all believe in God, do not bribe god with this cheap rethoric! God is our mentor and a savior, he cannot go with satanic hypocritical verses; let us come lean, the almighty sees us from our own hearts and brains; telling JK is god given; is really one of the issues I cannot assimilate!
 
Do you think what has happened today would have happened during Nyerere, Mwinyi or Mkapa' time? That people will be bold enough to talk and raise their voices unopposed by the government regardless of the degree of allegations of ufisadi, uhujumu or kukosa kuwajibika?

Reverend, during all those eras, people rasied their concerned/grievances. The level of grievances may differ between one era and the other.

But whenever such grievances were aired, the government made efforts to curb them.

In the current era, even though there is a clear media and people's will to task the government, the government is not keen enough to act on these issues promptly and in the right speed.

Personally, i think there are more than one reasons for what is happening today, in terms of whistle blowing on ufisadi.

1. People are very tired. JK was seen as the last resort to get us from our misfortunes. But what we dont see, at least in our naked eyes, is his strong committment to act on these issues. Because if he were, all those accused will be taken to courts by now. Taken to court does not mean judgement. One example, Dr. Balali was sacked by the government (not resigned). How come this very govt doesnt bring him to face charges when the US govt is ready to cooperate ?

2. There has been an increase in awareness in democratisation, in that people FULLY understand what it means to vote for someone. When the candidate fails his/her people, anger and frustrations come out from people.

3. There has been an increase in usage and awareness of internet chat rooms/blogs etc as a way of expressing opinions. This has far been effective especially when we see positive results after issues raised in these chat rooms being tackled.
 
Interested Observer

I have given praises to God and not Kikwete. Most people are taking this as if the intention is to praise Kikwete, Nope!

What I am stating is this, had it been another person as the President, there is a possibility most of things that are surfcaing and how they are being handeled could have been different.

So far, "udhaifu" wa Kikwete is giving Wananchi are strong voice even though tunafichua kila kitu and everything is coming to surface.

Ukimya na "Udhaifu" wa Kikwete is encouragement kwetu na hata unaona matokeo kwa Wabunge na yaliyotokea last 2 Bunge sessions!

Aingekuwa Kikwete, Lowassa asingekuwa Waziri Mkuu Majivuno bin Kiburi ambaye kwa jazba alifanya mambo kizembe na kutuletea Richmond ambayo ilimuangusha! Kuanguka kwa Lowassa pamoja na kuwa ni shinikizo la wananchi, limefungua ule mlango wa kupunguza matumizi ya Nguvu za Serikali na hasa kama Bunge kugeuzwa kuwa Kamati ya Chama.

Wliyoyasema kina Zambi, Kimaro, Kilango na wengine yasingekuwa rahisi na wasingekuwa na uwezo huo kama Lowassa angeendelea kuwa PM.

Kwa kuwa Kikwete "alizembea" kutuliza boli hoja ya Madini, BOT na Richmond, nguvu ya kutaka uchunguzi ziliamka na kuishia kuenguliwa kwa hao Paulo wachafu wanne.

Ndiyo maana nasema, tuna bahati na ni rehema za Mungu tumepewa mtu tusiyemtaka tena kuwa Kiongozi wetu, lakini mengi yaliyo maovu yanajifunua wakati wa uongozi wake.

Blessings in disguise!
 
Last edited by a moderator:
Asante Rev. Kishoka Nimekuelewa (by The Way Suti Yako Nzuri Kwenye Picha Yako Hahah!)
Reverand naona Lusajo ameipenda suti yako..lol!
Lakini nadhani kama sikosei hiyo picha uliyoitumia kenye profile yako ni Marcus Gavey!Am i right?
 
IO,

I have given praises to God and not Kikwete. Most people are taking this as if the intention is to praise Kikwete, Nope!

What I am stating is this, had it been another person as the President, there is a possibility most of things that are surfcaing and how they are being handeled could have been different.

So far, "udhaifu" wa Kikwete is giving Wananchi are strong voice even though tunafichua kila kitu and everything is coming to surface.

Ukimya na "Udhaifu" wa Kikwete is encouragement kwetu na hata unaona matokeo kwa Wabunge na yaliyotokea last 2 Bunge sessions!

Aingekuwa Kikwete, Lowassa asingekuwa Waziri Mkuu Majivuno bin Kiburi ambaye kwa jazba alifanya mambo kizembe na kutuletea Richmond ambayo ilimuangusha! Kuanguka kwa Lowassa pamoja na kuwa ni shinikizo la wananchi, limefungua ule mlango wa kupunguza matumizi ya Nguvu za Serikali na hasa kama Bunge kugeuzwa kuwa Kamati ya Chama.

Wliyoyasema kina Zambi, Kimaro, Kilango na wengine yasingekuwa rahisi na wasingekuwa na uwezo huo kama Lowassa angeendelea kuwa PM.

Kwa kuwa Kikwete "alizembea" kutuliza boli hoja ya Madini, BOT na Richmond, nguvu ya kutaka uchunguzi ziliamka na kuishia kuenguliwa kwa hao Paulo wachafu wanne.

Ndiyo maana nasema, tuna bahati na ni rehema za Mungu tumepewa mtu tusiyemtaka tena kuwa Kiongozi wetu, lakini mengi yaliyo maovu yanajifunua wakati wa uongozi wake.

Blessings in disguise!
Or may be its the Man's way of dealing with the issues!Since he knows that he have to forsake his friends and comrades for the sake of THE PEOPLE!
 
Reverend, during all those eras, people rasied their concerned/grievances. The level of grievances may differ between one era and the other.

But whenever such grievances were aired, the government made efforts to curb them.

In the current era, even though there is a clear media and people's will to task the government, the government is not keen enough to act on these issues promptly and in the right speed.

Personally, i think there are more than one reasons for what is happening today, in terms of whistle blowing on ufisadi.

1. People are very tired. JK was seen as the last resort to get us from our misfortunes. But what we dont see, at least in our naked eyes, is his strong committment to act on these issues. Because if he were, all those accused will be taken to courts by now. Taken to court does not mean judgement. One example, Dr. Balali was sacked by the government (not resigned). How come this very govt doesnt bring him to face charges when the US govt is ready to cooperate ?

2. There has been an increase in awareness in democratisation, in that people FULLY understand what it means to vote for someone. When the candidate fails his/her people, anger and frustrations come out from people.

3. There has been an increase in usage and awareness of internet chat rooms/blogs etc as a way of expressing opinions. This has far been effective especially when we see positive results after issues raised in these chat rooms being tackled.

You speak the points! you are among the brilliant minds!
 
IO,

I have given praises to God and not Kikwete. Most people are taking this as if the intention is to praise Kikwete, Nope!

What I am stating is this, had it been another person as the President, there is a possibility most of things that are surfcaing and how they are being handeled could have been different.

So far, "udhaifu" wa Kikwete is giving Wananchi are strong voice even though tunafichua kila kitu and everything is coming to surface.

Ukimya na "Udhaifu" wa Kikwete is encouragement kwetu na hata unaona matokeo kwa Wabunge na yaliyotokea last 2 Bunge sessions!

Aingekuwa Kikwete, Lowassa asingekuwa Waziri Mkuu Majivuno bin Kiburi ambaye kwa jazba alifanya mambo kizembe na kutuletea Richmond ambayo ilimuangusha! Kuanguka kwa Lowassa pamoja na kuwa ni shinikizo la wananchi, limefungua ule mlango wa kupunguza matumizi ya Nguvu za Serikali na hasa kama Bunge kugeuzwa kuwa Kamati ya Chama.

Wliyoyasema kina Zambi, Kimaro, Kilango na wengine yasingekuwa rahisi na wasingekuwa na uwezo huo kama Lowassa angeendelea kuwa PM.

Kwa kuwa Kikwete "alizembea" kutuliza boli hoja ya Madini, BOT na Richmond, nguvu ya kutaka uchunguzi ziliamka na kuishia kuenguliwa kwa hao Paulo wachafu wanne.

Ndiyo maana nasema, tuna bahati na ni rehema za Mungu tumepewa mtu tusiyemtaka tena kuwa Kiongozi wetu, lakini mengi yaliyo maovu yanajifunua wakati wa uongozi wake.

Blessings in disguise!

I am grasping you points; bless god because he gave us a stupid leader! But the ways I see he is not as stupid as Mwinyi. Among the stupid leaders, Mwinyi was the most! Sorry it may offend some; but even Nyerere said so!
 
Interested Observer Na Mwafrika wa Kike,

Wanasiasa wanauma na kupuliza. Mara nyingine inabidi wafanye hivyo. La sivyo wanaanguka.

Ni vijana wa JK ndiyo waliowapa Slaa na Zitto data. Baadhi ya data walizipata kwa CAG (baada ya baraka ya JK) na nyingine wakafanya utafiti kwa msaada wa vijana wa JK. Kwa upande mmoja, JK aliwatumia.

Kusema sababu ya huu uwazi wa sasa ni kuweko internet si sahihi. Hiki kifaa kilikuweko hata kabla ya JK. Tulikuwa na bcstimes.com, na ilikuwa imepamba moto kweli kweli. Lakini mahasimu kwenye serikali wakaifungia mbali.

Juzi juzi walijaribu watu kuangamiza JF. Naamini JK ndiye aliwakanya akina Mwema waache uhuni wao.

JK si malaika. Mungu anachagua hata wale wasio perfect wakati mwingine. JK ana makosa mengi, hasa kwenye Uchumi. Mimi nilipiga kelele kumpinga mara tu moshi mweupe ulipoonekana kule Dodoma.

JK alisema tumpe muda kabla ya kumhukumu. Tumefanya hivyo. Sasa tumegundua kumbe alikuwa na program ya kuwashukia wezi wakuu wa mali za uma.

Tunasema ni imani yetu kwamba kuna mkono wa Mungu hapa. Ama huu ukombozi unadhani unatoka wapi?

Imani sio ushirikina. Imani ni kipaji toka kwa Mungu. Kama hunacho basi omba tu, atakusikia, na kukujalia. Ni umasikini ulioje kikosa kabisa Imani?
This is what we're all hoping and wishing it to be the case!It still is remained to be seen!Time will obviously be the factor here!

Kama Mh akifanya hivyo then hakuna cha kumlaumu na we wil be behind him supporting and encouraging him!

He will therefore prove himself to be a true patriot and a true man of THE PEOPLE!
 
Professor & Rev Kishoka,
Do you know how the word "hypocricy" came alive; only because the surbodnate want to give favour and those above want to get, and protect each other. Professor you must be on my level, let us be frank: Our mothers are dying our sisters are dying; whom to rescue them? Corruption which want to be protected by this theory which is given by Rev. Pastor Kishoka << REv mind you I gruduated at Kasita those- days>> leave me die alone but not to submit to your rethoric!

A non hypocrite man should not be a farisayo!!
 
IO,

I have given praises to God and not Kikwete. Most people are taking this as if the intention is to praise Kikwete, Nope!

What I am stating is this, had it been another person as the President, there is a possibility most of things that are surfcaing and how they are being handeled could have been different.

So far, "udhaifu" wa Kikwete is giving Wananchi are strong voice even though tunafichua kila kitu and everything is coming to surface.

Ukimya na "Udhaifu" wa Kikwete is encouragement kwetu na hata unaona matokeo kwa Wabunge na yaliyotokea last 2 Bunge sessions!

Aingekuwa Kikwete, Lowassa asingekuwa Waziri Mkuu Majivuno bin Kiburi ambaye kwa jazba alifanya mambo kizembe na kutuletea Richmond ambayo ilimuangusha! Kuanguka kwa Lowassa pamoja na kuwa ni shinikizo la wananchi, limefungua ule mlango wa kupunguza matumizi ya Nguvu za Serikali na hasa kama Bunge kugeuzwa kuwa Kamati ya Chama.

Wliyoyasema kina Zambi, Kimaro, Kilango na wengine yasingekuwa rahisi na wasingekuwa na uwezo huo kama Lowassa angeendelea kuwa PM.

Kwa kuwa Kikwete "alizembea" kutuliza boli hoja ya Madini, BOT na Richmond, nguvu ya kutaka uchunguzi ziliamka na kuishia kuenguliwa kwa hao Paulo wachafu wanne.

Ndiyo maana nasema, tuna bahati na ni rehema za Mungu tumepewa mtu tusiyemtaka tena kuwa Kiongozi wetu, lakini mengi yaliyo maovu yanajifunua wakati wa uongozi wake.

Blessings in disguise!

Reverend, shukrani kwa maelezo mazuri.

Lakini tunapojadili "uzembe" na "udhaifu" wa Mkuu, ni lazima na sisi wananchi, kwa ujumla wetu tujiseme.

1. Ni kwa "udhaifu" na "uzembe" wetu wa Tanzania, mimi na wewe tukiwamo, tumeshindwa kuwajibisha serikali hii ili watu wote wanaohusishwa kwenye ufisadi wafikishwe kwenye vyombo vya kisheria. Ni kwa "uzembe" na "udhaifu" wetu, hakuna sehemu hata moja ya nchi wananchi wameandamana au kuweka pressure kwa wabunge wao, ili nao waweke pressure ili wabadhilifu hawa wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.

2. Ni kwa "uzembe" na "udhaifu" wetu pia, kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama haviwezi kufanya uchunguzi huru mpaka pale tunaposaidiwa na vyombo vya nje, mfano issue ya juzi ya SFO. Kwa nini IGP, au TISS Director, Jeshi na wengine hawasemi kama wanaingiliwa kwenye kazi zao na wanasiasa? Na pale inapoonekana vimeshindwa kwa nini wananchi hawaombi hawa jamaa wawajibike? Kwa sababu haiwezekani leo SFO wampoint waziri wetu halafu sisi tushangilie kujiuzulu kwake. Vyombo vyetu vinafanya kazi gani ? Je, kuna mangapi ambayo yanafanyika lakini hayajulikani kwa sababu tu vyombo vya nje havijasema?

3. Ni kwa "uzembe" na "udhaifu" wetu tumeshindwa kufanya mabadiliko jimbo la Kiteto hivi karibuni, wakati ambapo chama kikuu kilikuwa kinalemewa na shutuma nzito.

4. Ni kwa "uzembe" na "udhaifu" wetu, mpaka sasa, vyama vya upinzani havijaja na mkakati wa ku-capitalize on these issues prevailing against the govt, ili viweze kujiimarisha zaidi, kupata popularity zaidi, na kuvizesha kupata watu capable wa kuwa wabunge in the next election

5. Ni kwa "uzembe" na "udhaifu" wetu watanzania, mpaka sasa hatujaomba uchunguzi ufanywe kuhusu Meremeta gold ambapo bilioni 155 zimeyeyuka, hatuomba uchunguzi wa ujenzi BOT ambapo bilioni 800 zimetumika, hatujashangaa kuhusu upotevu wa mabilioni kupitia mpango wa import service,lakini tumepata msaada wa bilioni 700 (MCC).

6. Linalouma zaidi hata pale mambo yanapokuwa wazi na "mswano" kama ilivyokuwa Richmond, hela bado zinalipwa (150 mil per day) kwa contractor(Dowans). Huu ni nini ?

Labda tujiulize, pengine Mkuu naye ana-capitalize katika "uzembe" na "udhaifu" wetu watanzania, kwamba siku zote ndivyo tulivyo, tunasema mwisho tunaacha, tunasahau.
 
Kuna quotes kutoka kwa Ngabu
1. Waafrika ndivyo tulivyo
2. Viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe-FMES

I love those quotes. Sisi wababaishaji; viongozi wetu wababaishaji.
 
Reverend, during all those eras, people rasied their concerned/grievances. The level of grievances may differ between one era and the other.

But whenever such grievances were aired, the government made efforts to curb them.

In the current era, even though there is a clear media and people's will to task the government, the government is not keen enough to act on these issues promptly and in the right speed.

Personally, i think there are more than one reasons for what is happening today, in terms of whistle blowing on ufisadi.

1. People are very tired. JK was seen as the last resort to get us from our misfortunes. But what we dont see, at least in our naked eyes, is his strong committment to act on these issues. Because if he were, all those accused will be taken to courts by now. Taken to court does not mean judgement. One example, Dr. Balali was sacked by the government (not resigned). How come this very govt doesnt bring him to face charges when the US govt is ready to cooperate ?

2. There has been an increase in awareness in democratisation, in that people FULLY understand what it means to vote for someone. When the candidate fails his/her people, anger and frustrations come out from people.

3. There has been an increase in usage and awareness of internet chat rooms/blogs etc as a way of expressing opinions. This has far been effective especially when we see positive results after issues raised in these chat rooms being tackled.

Korosho,

I agree with you totally and as i have highlighted above. However what we fail to see is our power, people's power through our representatives.

Yes previous administrations ignored all the pleas for justice and accountability. the parliament was silenced using Party mandate.

Hopwever the exposure all the ills of Ufisadi and Uhujumu and magnitude of our voices can no longer be ignored or supressed.

We as people, have found comfort to air our anger more openly and daring than before. I believe one element of this progress and empowerment has been the President Kikwete unwillingness to address swiftly people's concerns by either correcting or silence them.

That is why I say hewala kwa Mungu, that our vilio to him (Mungu) vinasikik kwa kuufanya moyo wa Kikwete uwe mgumu kufanya maamuzi, yawe bora kwa Taifa au kwa faida yake.

Mafisadi wanaanguka kwa kujiaibisha. Ghadhabu za wananchi zinawaangusha. hata kama itachukua miaka kadhaa mpaka haki kamili ichukue mkondo wake, sasa hivi mkondo wa maji umechipua na kujiuzulu kwa hawa jamaa ni mwanzo wa safari!
 
Reverend, shukrani kwa maelezo mazuri.

Lakini tunapojadili "uzembe" na "udhaifu" wa Mkuu, ni lazima na sisi wananchi, kwa ujumla wetu tujiseme.

1. Ni kwa "udhaifu" na "uzembe" wetu wa Tanzania, mimi na wewe tukiwamo, tumeshindwa kuwajibisha serikali hii ili watu wote wanaohusishwa kwenye ufisadi wafikishwe kwenye vyombo vya kisheria. Ni kwa "uzembe" na "udhaifu" wetu, hakuna sehemu hata moja ya nchi wananchi wameandamana au kuweka pressure kwa wabunge wao, ili nao waweke pressure ili wabadhilifu hawa wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.

2. Ni kwa "uzembe" na "udhaifu" wetu pia, kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama haviwezi kufanya uchunguzi huru mpaka pale tunaposaidiwa na vyombo vya nje, mfano issue ya juzi ya SFO. Kwa nini IGP, au TISS Director, Jeshi na wengine hawasemi kama wanaingiliwa kwenye kazi zao na wanasiasa? Na pale inapoonekana vimeshindwa kwa nini wananchi hawaombi hawa jamaa wawajibike? Kwa sababu haiwezekani leo SFO wampoint waziri wetu halafu sisi tushangilie kujiuzulu kwake. Vyombo vyetu vinafanya kazi gani ? Je, kuna mangapi ambayo yanafanyika lakini hayajulikani kwa sababu tu vyombo vya nje havijasema?

3. Ni kwa "uzembe" na "udhaifu" wetu tumeshindwa kufanya mabadiliko jimbo la Kiteto hivi karibuni, wakati ambapo chama kikuu kilikuwa kinalemewa na shutuma nzito.

4. Ni kwa "uzembe" na "udhaifu" wetu, mpaka sasa, vyama vya upinzani havijaja na mkakati wa ku-capitalize on these issues prevailing against the govt, ili viweze kujiimarisha zaidi, kupata popularity zaidi, na kuvizesha kupata watu capable wa kuwa wabunge in the next election

5. Ni kwa "uzembe" na "udhaifu" wetu watanzania, mpaka sasa hatujaomba uchunguzi ufanywe kuhusu Meremeta gold ambapo bilioni 155 zimeyeyuka, hatuomba uchunguzi wa ujenzi BOT ambapo bilioni 800 zimetumika, hatujashangaa kuhusu upotevu wa mabilioni kupitia mpango wa import service,lakini tumepata msaada wa bilioni 700 (MCC).

6. Linalouma zaidi hata pale mambo yanapokuwa wazi na "mswano" kama ilivyokuwa Richmond, hela bado zinalipwa (150 mil per day) kwa contractor(Dowans). Huu ni nini ?

Labda tujiulize, pengine Mkuu naye ana-capitalize katika "uzembe" na "udhaifu" wetu watanzania, kwamba siku zote ndivyo tulivyo, tunasema mwisho tunaacha, tunasahau.

Korosho,

Yote uliyoyasema na siawa na tumeshayajadili kila mara. Ukiangalia mabandiko yangu kuhusu Kiongozi na mambo mengi ni kupigia kelele.

Nilichofanya tofauiti safari hii ni kumshukuru Mungu kwa kuwa na uhuru na uwezo wa kutoa maoni yangu bila woga!
 
I am pleased to see that the Reverend is making some distinction between God and Kikwete. I too see some differences between them.

Our Dear Camerlengo is thanking God for giving us a Kikwete with a hardened heart. He says that he is thanking Him for hardening the heart of His servant. What he is not doing is to thank God for the servant per se.

So, a Kikwete with a hardened heart is good for us. That is at least implied in the Reverend’s thanksgiving. Does that mean that Kikwete is good for us or not?

History is not a collection of accidents. The matters that are going on in the corridors of power in Tanzania are being directly, but remotely, engineered by JK. We need not be afraid to thank God unabashedly for this. Reverend, what God has done to Kikwete’s heart He has done to Kikwete. It is OK to thank Him for giving us Kikwete. It might not be politically correct, but it is the right thing to do.

That Pharaoh of Biblical time whose heart was hardened for the benefit of the people of God was, in the end, good for Israel. God works in mysterious ways. He seems to be using JK at this material time, to liberate us, His people, from the shackles of the endemic corruption of the ruling mafia.
 
Mwalimu Moshi,

Thank God umeyafungua macho ya watu! Labda sasa watapooza makonzi yao kwangu!
 
Pole pole tu, yetu macho. Siku inakuja, na haiko mbali, ambapo JK atamvaa hata Mkapa. Atawatimua mafisadi wakuu wote toka uanachama wa CCM.

He is I suppose, cleaning up the mess
 
Interesting Observer,
I am grasping you points; bless god because he gave us a stupid leader!
So am I!..
But the ways I see he is not as stupid as Mwinyi. Among the stupid leaders, Mwinyi was the most! Sorry it may offend some; but even Nyerere said so!
Kudos on that!..
Mwinyi alikuwa kama muuza Unga on his track to a successful career. Flushed us with disposable cash kununua heshima yake kwa wananchi while uchumi wetu unaporomoka. Na kama mnavyojua ktk familia za kiswahili muuza unga hupendwa na wazazi kuliko mtoto mwenye elimu mfanyakazi ya mshahara...

Kifupi Nyerere alikuwa baba - Bahiri who invested in people and infrastructure..Bad move kwa wadanganyika wanaotaka kuona matunda kila kukicha.
Mkapa was Jambazi, He has some followers..
Kikwete is incompetent and iresponsible..bila shaka many things will unveil kwa sababu weakness hizi mbili zinahusiana na haya yote yanayotokea leo..
Now is this blessing?... Mnnnnnh I doubt...
 
Bob Mkandara,

Mtaka yote hukosa yote!

Tumetaka Rais ambaye atatupa Uhuru mkubwa wa kubwabwaja, tumempata. Sasa nguvu ya wananchi kuleta mabadiliko huanza kwa manung'uniko.

Je ni baraka za Mungu kuwa ni kiongozi mahiri, mchapa kazi, mwajibikaji, makini? well it is debatable tumhoji Mola kwa nini hakutupa Kiongozi Kamili ambaye kamwe tusingeanza kuhoji uongozi wake.

Tukubali tena kuwa manung'uniko yetu yalivyo na nguvu sasa hivi, yata kuwa chimbuko kwa kuchipuka kwa vionngozi mahiri na waadilifu na kuanza kuijenga upya Tanzania kwa nia ya kujenga Taifa na si mtu mmoja au kikundi.
 
Back
Top Bottom