Mnapewaje Mshahara kabla ya Mwisho wa mwezi!?
Mnapewaje Mshahara kabla ya Mwisho wa mwezi!?
Mnapewaje Mshahara kabla ya Mwisho wa mwezi!?
Huo mshahara aliupeleka Zitto? wewe umelipwa na serikali, si huyo zitto ndio alisema serikali haina hela ya kuwalipa sasa imekuwaje? Wewe unatakiwa kumshukuru KIKWETE bila yeye huendi choo, sio Zitto.