Thank god!!

kijana ni mda sana umekua na mawazo hafifu mno humu jf....na sijui unafikiri nini kuandika ujinga na upuuzi kama huu!!!! hivi kweli unaweza mdhihaki mungu kiasi hiki???? yani unapata mal****a una mshukuru mungu??? JITAHIDI SANA KUWA NA USHIRIKIANO MZURI NA AKILI YAKO NA KABLA HUJAANDIKA CHOCHOTE HAKIKISHA UNA AKILI TIMAMU..... K*** sana wewe!!!!
Huyo kijana anafikiri kila kitu kianandikwa jamvini hata kama ni utumbo wa kuku.
 
Leo ndo nmeamini watanzania wajinga kweli narudia tena ''wajinga kweli'' hawajui kujudge wanaropoka 2 ndo maana mnaibiwa bila kujijua very poor and low IQ punguzeni kuropoka hivi mnafikiria kabla ya kusema????
 
Hebu pisha! pisha hapo... PTUUUUU--
Nimetema makohozi. Halafu naomba MODS waweke 'STUDENTS' CORNER' KWANI NAONA KUNA UVAMIZI HUMU. SIRIAZI ATI.
 
Back
Top Bottom