Thamani ya wazalendo kwa CCM

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Napata utata sn juu ya hili.tunahimizwa kuwa wazalendo lakini tunavunjika sana moyo kwa yale yanayowakuta waliotutangulia
1.Sokoine
2.Kambona
3.mwakyembe
4.imran kombe
na wengine mnaweza kuwaongeza hpa!ccm inapenda wazalendo!wana thaman gani serikalini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom