Thamani ya Sex Kushuka TZ - Nani wa Kumlaumu?

huwezi kudiscuss issue kwa dhana au viashiria ambavyo hujafanyia utafiti, no research no right to speak maaan. Do your homework first.

Unaweza kuwa sahihi katika hilo lakini kwa umri wangu, pamoja na mapungufu ambayo naweza kuwa nayo, uzoefu wangu ni utafiti tosha, ukichanganywa na mazungumzo yangu na kina mama na kina dada wenye kufunguka juu ya hili, kila nipatapo nafasi.
 
Hakuna wa kulaumiwa maana wote tumetenda dhambi tunasitahili toba ya kweli kutoka kwa Mungu muumbaji.
 
Hakuna wa kulaumiwa maana wote tumetenda dhambi tunasitahili toba ya kweli kutoka kwa Mungu muumbaji.

Ni sahihi. Lakini suala kwamba ni Eva ndiye aliyemfundisha mwenzake Adam kwamba ile kitu ina umuhimu zaidi ya haja ndogo, JE unalizungumziaje? Kwa mtazamo wangu, we hijacked sex from women na kuanza kuwa control from it. Vinginevyo wao ndio wabunifu wa suala lile and they deserve intellectual property rights au patents, whatever is relevant so that they remain respected as innovators of this noble activity.
 
Siku hizi usasa umezidi mkuu, naona yale maduka ya kuuza ngono kama yalivyojaaa pale Uholanzi yatafunguliwa muda sio mrefu hapa kwetu bongo.

Lakini ili kuweka mambo hadharani ni bora yafunguliwe kwa sababu kujificha kutapungua na watu wataona ni kitu cha kawaida sana kuliko hivi sasa!

Wenyewe wanaita 'Red lights' unaingia unakula mzigo unalipa na kuondoka ....bora hilo!!
 
Wadau,
Tanzania ya leo ni tofauti kabisa na Tanzania ya miaka ya nyuma, hasa kwa Dar-es-salaam. Mwanamke kulala na mwanaume imekuwa ni kitu cha kawaida sana, sio kama zamani. Zamani mwanamke kulala nae sio kazi ndogo. Utaambiwa subiri nikafikirie, jibu wiki ijayoooooo! Pengine tungesema tatizo kwa sasa ni low self esteem na low self confidence kwa kina dada, lakini hata huko vyuoni nako ambako tunategemea kina dada zetu wasomi wawe tofauti, wao ndio wamepitiliza kabisa. Hao ndio wanao ongoza kwa mambo yote ya aibu mjini DSM. Makazini ndio usiseme, ni kawaida kwenda chooni na kusikia mke wa mtu anapiga mayowe ya mahaba. Kwa kweli tofauti na zamani, suala la sex halina thamani tena. Kwenye ndoa ndio kabisa, ni jambo la kawaida kwa wake za watu kulala na vidume vyao vya zamani, hata kama huko walipoolewa kuna kila juhudi za kuwaridhisha. Swali langu ni je, hali hii ya ngono ya ovyo ovyo na rahisi rahisi ni nani wa kulaumiwa zaidi kati ya wanaume na wanawake? Kwani humu kumekuwa na thread nyingi sana za kulaumu wanawake hawajatulia, mara nyingine wanaume hawajatulia, lakini huwa hakuna mjadala wa kusaidiana kupata majibu kuhusu chanzo la tatizo hili, hasa kwa kuzingatia kwamba huko nyuma hali haikuwa hivi.
Utandawazi+unyago
 
Kwa kweli namba moja wa kulaumiwa ni simu. Huyu kifaa anaitwa simu amekuwa channel au barabara ya kuleta huu mtindo mpya wa ngono. Ukiishaanza kuchat na mwanamke matokeo yake mtaishia kungoana tu hamna kingine.

tatizo ni simu au moyo wa mwanadamu?

Jeremiah 17:9
"The heart is deceitful above all things, and is desperately wicked; Who can know it?"
 
huwezi kudiscuss issue kwa dhana au viashiria ambavyo hujafanyia utafiti, no research no right to speak maaan. Do your homework first.

ninaamini huyu mleta maada ana tatizo lililompata yeye binafsi. ndo maana anapojadili anaona tatizo lipo kwa mwanamke , huenda "katendwa" huyu. sasa anaamini wanawake wote ni "watendaji"
 
tatizo ni simu au moyo wa mwanadamu?

Jeremiah 17:9
"The heart is deceitful above all things, and is desperately wicked; Who can know it?"

Tujuavyo moyo hufuata maamuzi ya nafsi na pia nafsi huchukua kwenye mwili. Kichocheo kikubwa cha mambo haya kwenye ulimwengu huu wa sasa ni simu
 
Wakulaumiwa ni aliyeta haya mambo ya utandawazi coz wake kwa waume tumetake advantage na kujikuta kwenye mapinduzi ya mapnz kutoka kwenye analogi hasa kwenye utongozaji hadi kwenye digitali.
 
Hakuna kilichoongezeka leo ambacho hakikuwepo zamani, sema siku hizi taarifa husambaa kwa kasi zaidi na sehemu za maficho ni chache.
Siku hizi Dar na Arusha ni kama ziko mtaa mmoja, zamani zilitenganishwa na safari ya siku mbili au tatu. zamani tukio la mbeya lingejulikana baada ya miezi siku hizi, haaa.
kinachotokea mwanza husikika mbeya ndani ya dakika chache, hivyo matukio kuonekana mengi zaidi.
 
Utandawazi at work by Cantalisia
 
ni kweli thamani ya kitumbua imeshuka ila inatunufaisha siye tusiopanga kuoa hivi karibuni
 
Wakulaumiwa ni aliyeta haya mambo ya utandawazi coz wake kwa waume tumetake advantage na kujikuta kwenye mapinduzi ya mapnz kutoka kwenye analogi hasa kwenye utongozaji hadi kwenye digitali.

Mapinduzi yameshamiri haswa kwani hata kina dada ambao hamjaolewa, siku hizi mnatupanga kwenye foleani ndefu kweli kweli. Mna wanaume wa aina kadhaa: Yupo yule wa kumtambulisha kwa wazazi (mwenye heshima), mwingine wa kumtambulisha kwa mashiga na pia kwenda nae club (handsome, mrefu, ana swagger), mwingine wa kumchuma pesa (kibabu cha serikalini), mwingine wa kukufikisha kileleni (huyu hana lolote zaidi ya kukupa mambo makali kama ya kwenye sinema za matusi. Na kwa huyu mpo tayari kumvisha, kumnunulia bia, kumpa gari ulilonunuliwa na kibabu chako, aendeshe n.k).
 
Back
Top Bottom