MataFire
Member
- Nov 5, 2010
- 18
- 0
Nianze kwa kutoa pole kwa waathirika wote
wa mabom ya Gomz. Poleni sana watanzania wenzangu.
Katika maisha ya mwanadam hakuna kitu kisicho faa kufidia kama
maisha/uhai wa mtu. Nini serekeli itatoa kufidia watanzania walipoteza uhai kule Mbagala na Gongolamboto? Je taarifa ya kamatia ya mabom mbagali, ilifanyiwa kazi kiwango gani?
Mabom ni kama viumbe hai. YAISHI, YANAKULA, YANAKUFA, YANAZIKWA, na YANAPUMUA.
Swali ni hili, katika ghala zetu za jeshi, je! haya yote yanazingatiwa???
Ushauri wangu kwa serekeli ni huu, wataalam watumike zaidi kuliko viongozi. Ilikua busara sana kwa raisi wetu kutembelea kule Gongolamboto jana ila ingekua busara zaidi kama tungesikia wametembele magwiji ya Silaha tanzania.