Thabeet to give up eligibility to enter NBA draft

Naomba nikuulize swali hukusu hicho ulichosema.

Jinsi mimi ninavyo andika na jinsi press ya Marekani inavyoandika na kufuatilia mienendo ya watu, ni yupi yuko vociferous zaidi?
Nina uhakika anapitia humu......na kama hapitii basi marafiki zake watamwambia.....

unamshaurije kijana wetu?
 
Naomba nikuulize swali hukusu hicho ulichosema.

Jinsi mimi ninavyo andika na jinsi press ya Marekani inavyoandika na kufuatilia mienendo ya watu, ni yupi yuko vociferous zaidi?

Hata press ya Marekani inakuwaga vilified inapoanza kuwaandika na kuwakosoa watu unfairly....

Kwa hiyo iwe wewe au press ya Marekani..unfair is unfair...

Plus, wakati mwingine press ya Marekani inakuwa kama iko katika biashara ya kuua character za watu. e.g. New York Times na alleged affair ya John McCain na msaidizi wake
 
Last edited by a moderator:
Nina uhakika anapitia humu......na kama hapitii basi marafiki zake watamwambia.....

unamshaurije kijana wetu?

Aaaaah, mlisema Thabeet haingii kwenye ma forum ya Kibongo bana, anaongea kwenye uwanja.

Sasa mimi mwenye kikorosho leo nitakuwa na ushauri na kijana wetu bana?


Hata press ya Marekani inakuwaga vilified inapoanza kuwaandika na kuwakosoa watu unfairly....

Utai villify press? Utatumia spika na kipaza sauti barabarani? Ushawahi kusikia press imeingia in trouble? Ushasikia press imekuwa fired? The most vicious and controversial press people are the most paid. Kuna neno "fair" kwenye American press? Tafadhali bana.

Sasa ngoja uone moto wake hao press Thabeet akishaingia kwenye fish bowl, kwenye kumi na nane za press ya Marekani kama unaona mimi ni "unfair" na "condescending."
 
Utai villify press? Utatumia spika na kipaza sauti barabarani?

By uttering slanderous and abusive statements against them anyway you can. Refusing to cooperate when solicited for interviews or even worse the reporters getting a beatdown

Ushawahi kusikia press imeingia in trouble?

Yes. Andika mambo ya ovyoovyo. Iba maandiko ya wengine n.k. uone. Angalia mauzo ya NY Times au ratings za MSNBC.

Ushasikia press imekuwa fired?

No...but losing credibility, yes. Paying settlements etc. And it's double whammy if you pay a settlement.

The most vicious and controversial press people are the most paid. Kuna neno "fair" kwenye American press? Tafadhali bana.

Life isn't fair so nothing is fair in this world. Lazima kutakuwa na mtu anayeonewa tu...regardless.

Sasa ngoja uone moto wake hao press Thabeet akishaingia kwenye fish bowl, kwenye kumi na nane za press ya Marekani kama unaona mimi ni "unfair" na "condescending."

Rinky dink journalists, bloggers, and critics wataandika na kuzungumza jinsi anavyovaa-miwani, kapelo, kata-k, n.k. Wataalamu wa mpira wa kikapu watajadili uhodari wake kwenye kwenye court unless akivuka mstari na kuanza ku act kama kina Plaxico Burress
 
I guess kuwa amekwisha ahidiwa somehwere kwenye NBA. Kama mwaka jana alisita kuingia NBA baada ya kushuriwa na akina Mutombo, na safari hii anafanya haraka, ni lazima kuwa ameshaahidiwa kitu. Tumuombee kusudi asijebadilishwa tabia kutokana na pesa nyingi pamoja na kampani mbovu akaingia katika mambo mabaya. Atunze composure yake kama ilivyokuwa siku zote tangu alipoanza kujulikana.
 

Tumuombee kusudi asijebadilishwa tabia kutokana na pesa nyingi pamoja na kampani mbovu akaingia katika mambo mabaya. Atunze composure yake kama ilivyokuwa siku zote tangu alipoanza kujulikana.

"Atunze composure" ipi? Amejipiganisha kwenye fainali za NCCA. Hana composure.
 
"Atunze composure" ipi? Amejipiganisha kwenye fainali za NCCA. Hana composure.

Wewe lijamaa sijui ukoje aisee...dogo alijipiganisha kivipi? Mpira wa kikapu ni contact sport...pushing and shoving are part of it. Nobody swung at anybody and nobody got thrown out of the game.

Waamuzi walirudia kuangalia tena hiyo shoving and pushing na hawakuona mtu mwenye kosa leo wewe unakuja na madai yako eti "amejipiganisha"...boy, you're something else.

Halafu nini cha ajabu ku push and shove katika basketball? Inawatokea hata wachezaji nyota kama Michael Jordan, Magic Johnson, Shaq na wengineo.

Unashangaza kwa kweli!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom