Thaanks JF People Tumeshinda Na Mbarikiwe!!

Status
Not open for further replies.
Who is she? hivi na hii inasitahili kuwa jukwaa la siasa grrrrrrrrrriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii JF bana Mod???
 
Invisible noma yaani kapiga ban mpaka Le mutuz...Invisible angekuwa waziri mkuu wa nchi hii dhaifu angekuwa segerea...lol

quote_icon.png
By Precise pangolin

Le mutuz vipi ban imeisha lini? Nasikia ulimwaga mitusi hapa jamvin ukafikiri hiyo minguo yako ya kijani mods wange yaogopa

JF ni balaa. Kuna sehemu niliona Mike kaandika kuwa hata ukiwa TANZANITE member, ukichemka unapigwa BAN kama kawa. Itakuwa Le Mutuz. Badala ya kumkoma nyani, alijikuta anamkoma kuku.

Willy mimi hatujawahi kukutana ila movement yako kisiasa inatia mashaka sana. mbona unaweka nguvu sana kupata nafasi sasa umeenda mpaka kugombea vitongoji na wilaya????

Huoni aibu maana hata vijana kama Mkosamali wameshinda ubunge jimboni wakati bado wanasotea bachelor hapo mlimani.

Wewe pamoja na jina la mzee (ur sirname) ubunge wa kupewa wa EALA wamekutosa. ila bado unang'ang'ania tu siasa.
20% aliwahi kuimba kuwa ukitaka kusikika sio lazima uimbe, hata ukipiga marimba utasikika tu.

Kuna njia nyingi sana za kuweza kusikika hapa nchini ukizingatia wakina Shigongo hawana news tokea Kanumba afe. Ungeongea nao wakakurusha then ukawa naenda kwenye mabendi yetu maana ukitoa buku tano unaimbwa wewe usiku mzima na kwenye albam utasikika.

Kwa mtizamo wangu nilipokuona kwenye EALA na Star Tv juzi, kichwa yako ni nyeupe sana kuwa mwanasiasa kwenye nyakati hizi.
 
Uliiponda sana jf ndani ya fb page yako na baada ya kukwambia kuwa wewe ni mroho wa madaraka na huna uzalendo ukaamua kuniblock.Kiongozi wa kweli asiye na uchu wa madaraka huwa anaaccept challenges na kuzifanyia kazi. Ni kweli siasa huiwezi ndugu, kaa chini na ujipange upya.
 
Hongera Le Mutuz mwendo mdundo Big time!!!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
apongezwe jamani kattika mashindano ya kuhonga ameibuka kidedea! viva viva! huree mshindi
 
People tumeshinda Big time na Mbarikiwe sana ndugu zangu.

Le Mutuz Biig Shoow!!

Mkuu kama ni ule uchaguzi wa Kivukoni basi hongera kwa ushindi. Mkuu kama umeshinda basi unaanza kuwa kiongozi hivyo basi na taarifa zako zinatakiwa kuwa ni taarifa zinazotoka kwa kiongozi na wala si kama hii ambayo haieleweki. Big show unamaanisha yule mpigana mieleka wa WWE?
 
quote_icon.png
By Precise pangolin

Le mutuz vipi ban imeisha lini? Nasikia ulimwaga mitusi hapa jamvin ukafikiri hiyo minguo yako ya kijani mods wange yaogopa

JF ni balaa. Kuna sehemu niliona Mike kaandika kuwa hata ukiwa TANZANITE member, ukichemka unapigwa BAN kama kawa. Itakuwa Le Mutuz. Badala ya kumkoma nyani, alijikuta anamkoma kuku.

Willy mimi hatujawahi kukutana ila movement yako kisiasa inatia mashaka sana. mbona unaweka nguvu sana kupata nafasi sasa umeenda mpaka kugombea vitongoji na wilaya????

Huoni aibu maana hata vijana kama Mkosamali wameshinda ubunge jimboni wakati bado wanasotea bachelor hapo mlimani.

Wewe pamoja na jina la mzee (ur sirname) ubunge wa kupewa wa EALA wamekutosa. ila bado unang'ang'ania tu siasa.
20% aliwahi kuimba kuwa ukitaka kusikika sio lazima uimbe, hata ukipiga marimba utasikika tu.

Kuna njia nyingi sana za kuweza kusikika hapa nchini ukizingatia wakina Shigongo hawana news tokea Kanumba afe. Ungeongea nao wakakurusha then ukawa naenda kwenye mabendi yetu maana ukitoa buku tano unaimbwa wewe usiku mzima na kwenye albam utasikika.

Kwa mtizamo wangu nilipokuona kwenye EALA na Star Tv juzi, kichwa yako ni nyeupe sana kuwa mwanasiasa kwenye nyakati hizi.

Ha ha ha teh teh teh!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom