TGIF: Ujiko Tujipe Wenyewe: JamiiForums Yapepea!!

hiyo aina ya viatu alivyovyaa na ADIDAS nini? Vile ambavyo kiboko ya fagasoni amazindua hivi karibuni?
 
Nyingine ntapiga na wewe tukiwa lile eneo letu, then wadau hapa watulinganishe...

Picha ya kwanza nilikuwa home office, hata nikiweka hizo trays nilizoona watu wananishauri niweke za IN and OUT naweza kushindwa ku-manage.

Rev Masanilo alishafika ofisi ambayo si ya nyumbani, anaweza kuelewa mpangilio wa ofisini upoje

Pale pa sikuzote nime upgrade...napatikana kuleeee baharini



Kaka unajitahidi sana kujietetea lakini the jury is still out, utetezi wako ukaa kima KI MARANDO & COMPANY au ki MKONO ADVOCATES au ile kampuni ya PASCAL MAYALA ADVOCATES au akina IMMA...inshort kikosi chetu cha CSI kinaendelea kuangalia mambo mengine

nashauri upige simu akina LINKLATERS au FRESHFIELDS BRUCKHAUS DERINDER au if the worse become worst wacheki akina CLIFFORD CHANCE na kama huna pesa wapigie simu akina ALLEN & OVERY!

Masanilo na wewe naona mtakuwa hamuna tofauti sana maana waswahili tunasema...ukitembea na muuza samaki basi na wewe utanuka shombo!

Gym muhimu, mie ningekuwa wewe zile za saidia mkono mtupu haulambwi ningekuwa najichotea kwa ajili ya dept hiyo na inaingizwa kwenye mahesabu

Mtu suti utafkiri umevaa FULL MOUNTY

400_F_23797646_LMbLvpuzOsg58g71M8D4e38NqVqGI3AT.jpg
 
kazi kubwa imefanyika mpaka kuifikisha JF hapa ilipo. HOngera nyingi sana kwa waanzilishi. kama kawaida, pioneers wa kila kitu chenye kuleta changes lazima hupata mshikemshike wa status quo ambayo huwa haitaki kubadilishwa. lakini kama historia isemavyo, huwezi pingana na mabadiliko, hususan yale yaliyo mema. kwa vile nia ya dhati kabisa ya JF ni kuleta hali bora katika nchi yetu, si ajabu kupata mafanikio makubwa kama haya yaliyofikiwa. si ajabu basi mpaka hata status quo inataka kuitumia JF kuzuia kasi ya mabadiliko.

Pamoja na kuweza kufanikiwa hivi, lakini bado mabadiliko ya kweli ya Mtz hayajapatikana. Dhulma, ukosefu wa maendeleo na umasikini vinazidi kuongezeka. hivyo basi JF bado ina safari ndefu sana ya kuleta na kufanikisha ukombozi wa kweli wa Mtz ili Tz ya kweli yenye maisha bora kwa kila mtz iweze patikana. Pamberi nde chimulenga - aluta continua mapambano bado yanaendelea.
 
kuna mtu kasema eti tununue viatu vya BORA

hivi kiwanda cha bora bado kinafanya kazi?

mimi na prefer safari books za jamaa wa BATA unaona kabisa quality ni nzuri japo ni nchi jirani
 
JF JF
kwetu wengine tongotongo zinatoka na hili kwea watawala ni msiba.
Allah atupe nguvu na inshaalah malengo yatatimia
 
Congrats
Sioni members kutoka Arabic countries? kwa nini?
tunaomba uweke hapa complete outreach expansion strategy.
 
Back
Top Bottom