TGIF: Sababu iliyomfanya JK atake Urais (Picha)

Its time sasa wananchi wa ubungo tuandamane kwa niaba ya watanzania wengine, manake mitambo ya Dowans yule dada wa Richmond iko hapa jimboni mwetu tena inagusana ukuta na makao makuu ya TANESCO. What a mockery! Ingekuwa kwa wenzetu ule ukuta wa Dowans sasa ungekuwa na grafitti kila mahali- ONDOA MITAMBO YA KIFO! Yani wakati mwingine huwa nikipita pale nazitafakari nadharia za non violence protest; lakini wavaa tai ukiwambia pawekwe mahema pale nje dowans; kwamba hakuna kulala mpaka waseme milioni 152 analipwa nani kwanini, watakuona umepagawa...

JJ

muandamane kisa mitambo ipo jimboni kwenu ? sasa ulitaka hiyo mitambo iwe jimbo gani ? na hao watu wa hilo jimbo nao ambao mitambo ingekuwa kwao, ulitaka pia watumie akili kama yako ya kuandamana ? are you serious ?

Pili umesema inagusa ukuta na makao makuu ya tanesco, je unaweza kuconfirm kwamba hiyo ni health hazard kwa tanesco ? mbona wao wamekaa kimya ?

Wewe MNYIKA sasa naona unaanza kutoa baby tears, hata mitambo ikiwa jimbo la ubungo ulalamike, kwanza kama nani ? mbunge ANAYEWAKILISHA jimbo mbona yupo kimya ? na usiniletee siasa zako za kila siku kwamba katoka chama tawala ndio maana yupo kimya, tanesco je wametoka chama tawala ?

Haya mambo ya baby/crocodile tears hayana mpango, inaonyesha tu just how lost you are !
 
Mweeeee

Umenikumbusha mbali sana. Unakumbuka Rais Kikwete akilihutubia taifa alisema kwamba mitambo ya Richmond iliwa tayari imeshafika bandarini? Ikawa usiku, ikawa mchana mitambo haikuwepo bandarini mpaka ilipofika mitambo kanyaboya kupitia pale airport kwa dege kubwa lililopigwa picha nyingi kama ile ya Bush? Hivi ni mimi pia niliyekula dili na kumfanya Rais atoe taarifa potofu? Halafu Rais Kikwete aliporudi toka Marekani alisema alikutana na watu wa Richmond, moja ya safari zake za mwanzoni mwanzoni; hivi ni mimi nilikula dili naye akasema hayo? Hivi ni watu gani hao wa Richmond aliyekutana nao wakati huo akasema mambo poa?....LOL

JJ

Typical African Minds ! dege kupigwa picha nyingi imekuwa balaa kwako ? haki ya Mungu Mnyika, are you serious ? Such minds like yours will cost our nation an extremely plenty of opportunities !
Tutajuaje kama ulikula dili au la ?
 
Dada

Dili wapi? inaelekea hao wauza masoko walijua kabisa Rais akiona bei ndogo atatabasamu; wakaamua kumfariji kwa vibao kanyaboya; alipondoka wakaweka bei halisi inayolingana na kuvurugika kwa utangamavu wa kiuchumi.

Sasa sijui Kada Mpinzani anataka kusema mi ndio nilikula dili na CCM wapandishe kodi ya mafuta hatimaye bei kupanda, nikala nao dili tena la ufisadi sekta ya nishati amabayo imesababisha bei ya umeme kupanda na hatimaye nikala dili na BOT kushusha thamani ya sarafu na kuongeza kiwango cha mfumuko wa bei. Kwa hiyo nikala dili na Rais Kikwete kuhakikisha maisha bora kwa kila mtanzania yanakuwa bora maisha. Kaziiiii kwelikweliliiiiiiiiiiii(Joke).

JJ

Wewe this statement just shows how much you'd rather deal with politics as politics and not politics as a way to benefit the many ! Bei hiyo ya mafuta imepanda tanzania pekee ?

Unajua tanzania inatoa mafuta wapi ? wewe waulize vibaraka wako wanaoishi ughaibuni watakwambia bei ya mafuta ipoje, au ccm hiyo hiyo ndio iliyopandisha bei ya mafuta marekani ??

una uhakika thamani ya shilingi imeshuka ? unajua mnyika utakuwa unajiaibisha bure nikikuletea article inayoelezea kupanda kwa shilingi na hiyo article ilitoka in the last 2 months.

Au chadema ndio mnasema kwamba thamani ya shilingi imeshuka ? Sasa subiri huu msemo wako utakavyokuandama !
 
Mnyika itabidi wewe kama Mwana ubungo uandamane kwa kweli. Nchi inakutegemeeni vijana kama nyie
 
you bet !! tena namsubiri aanze hayo maandamano kama mwana ubungo ! maana najua wana ubungo hawatopachika neno "Chadema" katika maandamano yao ! Good for him, i gave him a green light !
 
Vipi jamaa uko Comoro ameenda ama zilikuwa speculation?

610x.jpg

April 7th 2008..
 
you bet !! tena namsubiri aanze hayo maandamano kama mwana ubungo ! maana najua wana ubungo hawatopachika neno "Chadema" katika maandamano yao ! Good for him, i gave him a green light !

Kada, kama issue ya matatizo ya umeme unaiangalia kwa mtizamo wa chama, basi nchi hiyo iko mbali sana kutoka kwenye maendeleo. Vipi kama nawe ungeongoza vijana wa CCM kupinga mkataba wa Richmond? Nilidhani wana ccm wanaitakia nchi yetu mema pia?
 
ukweli ni kwamba aliweka hizi picha ameweka kwa nia yakuonyesha upande fulani wa JK lakini its no secret the man anapenda U-TOP. Tunamjua.lakini kupenda utop sio ishu.. je huo utop unautumia vipi??? hilo ndi tatizo letu.. nasio kupenda madaraka.. hakuna mtu anae gombania asiependa madaraka. Mtu hawezi akawa career politician alafu asipende madaraka...
 
wnilikuwa nakuangalia kwenye kioo sasa umewasili !

Kwanza aliyekwambia suala la umeme ni la kichama nani ?umesoma vizuri nilichoandika au ndo mambo ya kudandia treni kwa mble ndo mjini shule ?

Niongoze vijana wa CCM kupinga mkataba wa richmond ? akili yako finyu hapo na nadhani you could have saved each JamboForum's member a minute of their lifetime kama usingesema hivyo ! Does it take kuwa kwenye chama ili niweze kusikika ? je nisipokuwa kwenye chama sitosikika hadi niwe ccm ? sasa to set it clear, ndio nilishafanya hayo maandamano na kwa taarifa yako na wananchi wa kawaida, maandamano yalianza ubungo !

Ila nisichotaka mimi ni hawa watu wanaokuja kurubuni kwa kutaka maafa yatoke ili wao wabenefit na vyama vyao, i dont play that shyt and i'll never do ! Get it ? Sipo CCM wala upinzania, kama unaona nipo kwenye chama, thats according to your instincts !
 
ukweli ni kwamba aliweka hizi picha ameweka kwa nia yakuonyesha upande fulani wa JK lakini its no secret the man anapenda U-TOP. Tunamjua.lakini kupenda utop sio ishu.. je huo utop unautumia vipi??? hilo ndi tatizo letu.. nasio kupenda madaraka.. hakuna mtu anae gombania asiependa madaraka. Mtu hawezi akawa career politician alafu asipende madaraka...

aliyeweka hii thread hapendi hayo yote unayesema ?? Tena yeye hata angeweza angetaka aitwe His excellency Field Marshall Reverend Dr. Mwanakijiji. Kama anabisha ASEME asingependa hiyo tittle ???? Yaani hapo kupigiwa saluti, makofi, kuitwa nabii, magari makubwa yenye rims na kila kitu ! binafsi napenda, nichagueni tena nitakuwa zaidi ya JK.

Nauliza swali moja tu na sitaki maelezo mengi, NANI HUMU ASIYEPENDA ANAYOPENDA JK ? sitaki maelezo mengi wadau !
 
wnilikuwa nakuangalia kwenye kioo sasa umewasili !

Kwanza aliyekwambia suala la umeme ni la kichama nani ?umesoma vizuri nilichoandika au ndo mambo ya kudandia treni kwa mble ndo mjini shule ?

Niongoze vijana wa CCM kupinga mkataba wa richmond ? akili yako finyu hapo na nadhani you could have saved each JamboForum's member a minute of their lifetime kama usingesema hivyo !

Bila kuniita kuwa nina akili finyu usingeweza kutoa point yako? Je kuna matatizo kama vijana wa ccm wakiandamana kupinga chochote?

Does it take kuwa kwenye chama ili niweze kusikika ? je nisipokuwa kwenye chama sitosikika hadi niwe ccm ? sasa to set it clear, ndio nilishafanya hayo maandamano na kwa taarifa yako na wananchi wa kawaida, maandamano yalianza ubungo !

Inaweza ku take anything kufanya voice yako isikike hata na vyama vya siasa vikiwemo. unakumbuka ulichosema kwenye ile thread kuhusu ruzuku ya vyama?

Ila nisichotaka mimi ni hawa watu wanaokuja kurubuni kwa kutaka maafa yatoke ili wao wabenefit na vyama vyao, i dont play that shyt and i'll never do ! Get it ? Sipo CCM wala upinzania, kama unaona nipo kwenye chama, thats according to your instincts !

Anayerubuni watu wapate maafa ni yupi hapa. Analeta mkataba wa maafa wa richmond au anayewaonyesha watu maafa yaliyoletwa na huo mkataba?
 
aliyeweka hii thread hapendi hayo yote unayesema ?? Tena yeye hata angeweza angetaka aitwe His excellency Field Marshall Reverend Dr. Mwanakijiji. Kama anabisha ASEME asingependa hiyo tittle ???? Yaani hapo kupigiwa saluti, makofi, kuitwa nabii, magari makubwa yenye rims na kila kitu ! binafsi napenda, nichagueni tena nitakuwa zaidi ya JK.

Nauliza swali moja tu na sitaki maelezo mengi, NANI HUMU ASIYEPENDA ANAYOPENDA JK ? sitaki maelezo mengi wadau !

Siwezi kujibu swali lako mpaka nijui Kikwete anapenda nini.....
 
kwani mzee the whole concept ya mtoa mada ni nini ? au hukuelewa, vizuri zaidi mtoa mada alisema jk anapenda makofi, (sasa sijui hilo nalo kosa au la )
 
Bila kuniita kuwa nina akili finyu usingeweza kutoa point yako? Je kuna matatizo kama vijana wa ccm wakiandamana kupinga chochote?

Inaweza ku take anything kufanya voice yako isikike hata na vyama vya siasa vikiwemo. unakumbuka ulichosema kwenye ile thread kuhusu ruzuku ya vyama?

Anayerubuni watu wapate maafa ni yupi hapa. Analeta mkataba wa maafa wa richmond au anayewaonyesha watu maafa yaliyoletwa na huo mkataba?

just three words, I OWN YOU !
 
Dada

Dili wapi? inaelekea hao wauza masoko walijua kabisa Rais akiona bei ndogo atatabasamu; wakaamua kumfariji kwa vibao kanyaboya; alipondoka wakaweka bei halisi inayolingana na kuvurugika kwa utangamavu wa kiuchumi.

Sasa sijui Kada Mpinzani anataka kusema mi ndio nilikula dili na CCM wapandishe kodi ya mafuta hatimaye bei kupanda, nikala nao dili tena la ufisadi sekta ya nishati amabayo imesababisha bei ya umeme kupanda na hatimaye nikala dili na BOT kushusha thamani ya sarafu na kuongeza kiwango cha mfumuko wa bei. Kwa hiyo nikala dili na Rais Kikwete kuhakikisha maisha bora kwa kila mtanzania yanakuwa bora maisha. Kaziiiii kwelikweliliiiiiiiiiiii(Joke).

JJ

utakuwa unafanya uamuzi mzuri iwapo utaunga tela na kufuata huu uamuzi alioufanya huyu kijana !kuliko kuja na kufurahisha baraza hapa !

Link hii hapa, http://www.bongo5.com/index.php?option=com_content&task=view&id=4191&Itemid=97
 
Mweeeee

Umenikumbusha mbali sana. Unakumbuka Rais Kikwete akilihutubia taifa alisema kwamba mitambo ya Richmond iliwa tayari imeshafika bandarini? Ikawa usiku, ikawa mchana mitambo haikuwepo bandarini mpaka ilipofika mitambo kanyaboya kupitia pale airport kwa dege kubwa lililopigwa picha nyingi kama ile ya Bush? Hivi ni mimi pia niliyekula dili na kumfanya Rais atoe taarifa potofu? Halafu Rais Kikwete aliporudi toka Marekani alisema alikutana na watu wa Richmond, moja ya safari zake za mwanzoni mwanzoni; hivi ni mimi nilikula dili naye akasema hayo? Hivi ni watu gani hao wa Richmond aliyekutana nao wakati huo akasema mambo poa?....LOL

JJ

Hii habari na maneno ya Kikwete kuhusu Richmond yako kwenye record. Ni swala la muda kabla na yeye hajafikishwa mahakamani kwa uhusika wake kwenye mkataba wa Richmond.

Asante Mnyika kwa kukumbusha hili!
 
Ninaenjoy uoga wako wa kulog in and off kila dakika mbili au tatu. Yaani unataka uonekane uko off kumbe unasoma hapa. Vipi kama ukikaa on all the time ili ijulikane nani anaown mwenzake?

Sasa muoga niogope nini ? Una nini wewe ? sura ya bati, jicho kufuli au ? come on man, kama kuogopa ningeogopa tokea zamani nilipotishwa hapa hapa kwamba nipo under surveillance mzee, kwa kifupi nakuhakikisha wewe na wengine humu kwamba siogopi chochote, and keep in mind kwamba I OWN YOU ! I DO OWN YOU !

just get used kuniona nalog on and off repeatedly maana thats my style ! au hupendi style yangu ?

I OWN YOU !

Jamani watu, i now officially OWN Mwafrika ! Kumbuka kuwa online 24/7 haimaanishi you'll own me cuz that wont happen, nipo hapa nitalog off and on ninapotaka na sio unapotaka !

adios'.
 
Anyway,

Si ajabu mnabishana kitoto na mtoto mwenzako hapa jamboforums maana mko hapa kuharibu mada na kuleta ubishi usio na mwelekeo.

Katika hili endelea kubisha na kuleta michezo yako. Nilijaribu kutoa ushauri kwako. Na kwa response yako, nimeamini kuwa wewe unanimiliki kwa sababu hata mungu ni mtanganyika.

Asante kwa hili, turudi kwenye mada na kinachoengelewa kwenye topic hii!
 
Back
Top Bottom